Sio vijisababu, ni ukweli uliopo kwamba machafuko ya 2008-2009 yalitukuta kwa kushtukiza, haikuwahi kudhaniwa kwamba Kenya inaweza kuingia kwenye machafuko ya nchi nzima, tulikua tumezoea vurugu za maeneo maeneo. Lakini uchaguzi wa 2017 ulijaa taharuki maana wapinzani walikua wamesema hawatatumia mahakama tena baada ya kilichowatokea 2013 wakati mahakama kuu iliwapiga chini.
Waliapa kwa vyovyote vile lazima waichukue dola, taharuki ilijaa nchi yote, Wakenya wakaficha hela, taarifa zinasema walificha Sh225bn, hela ndefu sana hiyo ukilinganisha na yale madafu yenu
Kenyans hid Sh225bn under the mattress in 2017 polls
Pamoja na kuficha hela, wawekezaji wengi wakasitisha shughuli na kusubiri kitakachozaliwa. Watanzania wakafungua mada kila siku za kusubiri kwa hamu. Mungu akatuponya kama nchi na tukakwepa huo mtego.
Kwa Tanzania nimekuwekea link inayoonhesha 2016 ndio mlishuka zaidi ya miaka yote, utawala mpya unaharibu kila kitu ilhali haujakumbwa na machafuko ya aina yoyote, umeanza kuleta vijimaneno vya kukwepa.
Haya nakuwekea na picha kabisa.
View attachment 771100