Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Zari Hassan almaarufu The Boss Lady amelalamika kuhusu Shirika la Ndege Kenya kwa wizi uliotokea na kusababisha marashi yake ya thamani kutoweka.
Zari anadai kuwa, kilichomchochea kulikashifu KQ ni kutokana na kupoteza chupa kadhaa za zawadi hiyo ya marashi, ambayo alinunuliwa wakati akiadhimisha siku ya kuzaliwa.
Zari anadai sio mara ya kwanza anapoteza bidhaa zake lakini mara hii aliamua kufungua mdomo na kukemea vikali wizi wa wakenya.
Kupitia ujumbe waliouchapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram, Zari anateta na kulilaumu shirika hilo la ndege kwa kutokuwa makini.
"Suti yangu niliyonunua ghali ya kuvaa kesho kwenye mkutano pia siioni," Zari aliteta.
Kisha alimalizia kwa kusema: “Nimekasirishwa sana na shirika la Kenya Airways, mmempoteza mteja wenu. Nataka mrudishe vitu vyangu ili tumalizane kwa amani.
Maoni yangu
Wakenya Afrika Mashariki nzima ndio wanaongoza kwa wizi, wameibiana wao kwa wao na kuamua kuhamia kwa wengine. Hili si ambo la kufubia macho kabisa. Sisi Afrika Mashariki ni wamoja, tupendane jamani. Mbona sisi Watanzania tunawapenda mpaka tunawagongea dada zenu! BADILIKENI