Kenya ya wezi: Zari The Boss lady alalamika kuibiwa marashi,nguo na vito vya thamani na shirika la ndege

Kenya ya wezi: Zari The Boss lady alalamika kuibiwa marashi,nguo na vito vya thamani na shirika la ndege

Huyu mama atulie, kwanza kasepa na watoto wa mtu, huwa namshangaa sana Diamond alivyo ovyoo, tatizo kakulia Tanzale bado ana akili za Kitandale Tandale, ukiondoka na watoto wangu na unizuie kuwaona tutaburuzana mahakamani hadi pafuke moshi.
Sawa mkuu, amekimbia na watoto, mama ana uchungu na wanawawe hilo linaeleweka. Turudi kwenye mada sasa, kwaio ishu hii ni kweli? Sasa ndio KQ wanakusanya hela za kulipa madeni ama vipi?
 
atakuwa anataka kufanya tangazo na ATCL,hii ni KIKI tu,anajimwambafy 🥴 🥴 🥴 🥴 🥴 🥴 🥴
 
Huyu mama atulie, kwanza kasepa na watoto wa mtu, huwa namshangaa sana Diamond alivyo ovyoo, tatizo kakulia Tanzale bado ana akili za Kitandale Tandale, ukiondoka na watoto wangu na unizuie kuwaona tutaburuzana mahakamani hadi pafuke moshi.
Sasa Yule si boss lady diamond ana tabu gani .

Halafu una habari tanasha a
Kapata mtandale mwingine

Jamaa anaiwakilisha Tz vizuri Sana Hapa Ostafrika

Anaiunganisha East Africa kupitia kizazi chake

Safi Tz ana mtoto

Uganda ana watoto

Kenya ana mtoto

Next stop Rwanda halafu ana malizia burundi

Kisha ataenda Nigeria anaacha kopi

Kisha sauzi anaacha kopi kwa mzulu au mkhosa

Kisha kwa mwarabu mmoja ,kisha anamalizia states heheheheh
 
Back
Top Bottom