Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
Tushamkojolea dada yenu tanasha na hata mkitaka mtoto awe mkenya si hatuna nomaDuh!!watanzania kumbe hamjui thamani ya watoto...ndo manake mnakodishiwa ardhi
Tushamkojolea dada yenu tanasha na hata mkitaka mtoto awe mkenya si hatuna noma
Sawa mkuu, amekimbia na watoto, mama ana uchungu na wanawawe hilo linaeleweka. Turudi kwenye mada sasa, kwaio ishu hii ni kweli? Sasa ndio KQ wanakusanya hela za kulipa madeni ama vipi?Huyu mama atulie, kwanza kasepa na watoto wa mtu, huwa namshangaa sana Diamond alivyo ovyoo, tatizo kakulia Tanzale bado ana akili za Kitandale Tandale, ukiondoka na watoto wangu na unizuie kuwaona tutaburuzana mahakamani hadi pafuke moshi.
Sasa Yule si boss lady diamond ana tabu gani .Huyu mama atulie, kwanza kasepa na watoto wa mtu, huwa namshangaa sana Diamond alivyo ovyoo, tatizo kakulia Tanzale bado ana akili za Kitandale Tandale, ukiondoka na watoto wangu na unizuie kuwaona tutaburuzana mahakamani hadi pafuke moshi.