stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Usiwe mbishi ndugu,hiyo heading yako hata mimi ilinipa shida kuweza kujua una maanisha nini.Kuwa unaongelea train(rake) na mabehewa yake ndio 56 au ni mabehewa peke yake!Ilipaswa kuwa hivi,Serikali ya Kenya imeagiza Engines/Locomotives/Vichwa vya Train 56 na mabehewa 1620.Nina uelewa wa ndani kwenye masuala ya reli, hivyo sijajichanganya kwa kusema treni 56.
Mabehewa yalioagizwa ni 1,620, hivyo muache ujuha wa Kibongo.