Kenya yaagiza treni 56 kwa ajili ya SGR

Nina uelewa wa ndani kwenye masuala ya reli, hivyo sijajichanganya kwa kusema treni 56.
Mabehewa yalioagizwa ni 1,620, hivyo muache ujuha wa Kibongo.
Usiwe mbishi ndugu,hiyo heading yako hata mimi ilinipa shida kuweza kujua una maanisha nini.Kuwa unaongelea train(rake) na mabehewa yake ndio 56 au ni mabehewa peke yake!Ilipaswa kuwa hivi,Serikali ya Kenya imeagiza Engines/Locomotives/Vichwa vya Train 56 na mabehewa 1620.
 
I only expect fellow Kenyans to critique the sgr. A homeless person has no place in an argument about house designs.

Ama Ni kizingu kimekushinda?? Labda ata umelemewa kusoma.
He doesnt even have nessesary knowledge to be on this thread ....if an ethiopian or a south african or a ghananian or a Nigerian was critisizing our SGR it would be fine ...what does Tanzania have ???
 
Stupid Kenyans
 
Economy class passenger coaches. Each will carry 118 passengers, self contained with food service area, rest room...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…