Kenya yaamua kulipa kisasi, sasa hamna Mtanzania kuingia Kenya bila vibali

Kenya yaamua kulipa kisasi, sasa hamna Mtanzania kuingia Kenya bila vibali

Kwa jinsi walivyojaa kwenye hiz mery mery zetu za bongo tukirudshia hakuna atakaebaki salama, La msing taratibu zifuatwe thats all
 
Wakenya warudishwe kwao tu tuchukue ajira zetu. Tunawabeba af wanaleta upuuzi wa ubabe!
 
Hii tit-for-tat haitatupeleka mbali as East Africans.
Cooler heads need to sit and settle the issues raised amicably.
Ila kiukweli if Tanzania decided to target Kenyans living in Tanzania wakenya watakoma. There are many more Kenyans in Tanzania than there are Tanzanians in Kenya. Just saying. Plus wasisahau pia there is always the option ya kupunguza safari za KQ au hata kupiga marufuku vyakula kwenda Kenya......Tanzania just has soooo many cards up its sleeve!

Hizo options huwa mnazitumia ila sisi tunabaki kimya maana hatuna muda wa kuburuzana na nyie mliojawa na majungu maisha yenu yote, yanayo wasababishia umaskini.
Kenya imefungua milango kwa watu wote, maana wageni wengi wana shirikiana na sisi katika ujenzi wa taifa na uchumi wetu, hata hao Watanzania wanapewa vibali bure bila gharama, sema ni kwamba mumezoea kuishi kiujanjanja hata mkipewa vibali bure hamtaki kuvichukua.

Nenda pale Gikomba, Nairobi utadhani upo Dar. Watanzania kila sehemu hadi machangudoa ya Majengo, ila tunaishi nao vizuri, hata omba omba wenu tunawalea kwenye miji yetu bila shida. Kwangu kuna jirani Mtanzania amejenga residential flats na ametulia bila kuzinguliwa. Siku zote nyie ndio wenye hulka ya kuchokonoa chokonoa.
 
Hahaa tamu sana hii, wale mabwashe wauza mitumba pale gikomba kaeni mkao wa kula, tutawawinda kama swara huku tukiwashushia kipigo cha mbwa msikitini...Binafsi nitajiunga na vijana wenzangu ili tufanikishe haka kaoperation teh teh teh[emoji3] [emoji3] [emoji109]
 
Wakenya hawahawa walizuia sukari, mayai na kuku toka Uganda. It's obvious ni protectionist.
 
naomba namba za immigration najua wakenya kadhaa hawana kibali hapa dar
 
Hii tit-for-tat haitatupeleka mbali as East Africans.
Cooler heads need to sit and settle the issues raised amicably.
Ila kiukweli if Tanzania decided to target Kenyans living in Tanzania wakenya watakoma. There are many more Kenyans in Tanzania than there are Tanzanians in Kenya. Just saying. Plus wasisahau pia there is always the option ya kupunguza safari za KQ au hata kupiga marufuku vyakula kwenda Kenya......Tanzania just has soooo many cards up its sleeve!
Kama hivyo vyakula tunapata bure, sawa. Lakini kama ni kupitia biashara, we dont have to engage in the business with u if this is how u want it.
 
Back
Top Bottom