Kenya yaamua kulipa kisasi, sasa hamna Mtanzania kuingia Kenya bila vibali

Kenya yaamua kulipa kisasi, sasa hamna Mtanzania kuingia Kenya bila vibali

Hii ni imetokea kwa sababu ya homa ya uchaguzi ya uchaguzi iliyopo kwa wa tawala wa serikali ya Kenya kwa mwaka huu.
Adha hii itaisha baada ya uchaguzi, viongozi wengi wa kiafrika huwa wanaogopa kushindwa katika uchaguzi.
 
Hamna sio kweli.
Shule nyingi za Kenya zimejaa watanzania.
Kuna chuo kimoja nilienda (CUEA) yaani utafikiri uko Mzumbe kilivojaa watanzania.
Alafu wengine pia ni wafanyabiashara ndogondogo.
Wanafunzi au walimu?
 
Hivi nyakati hizi bado kuna Watanzania wanaishi nchi za watu bila vibali! Watu hawajipendi.

Vv
 
Naona Magufuli kachanganya wezi wengi across the board. Wenda sleeping elephant siuji giant kaanza kunyanyuka.
 
Sioni shida yeyote hapo
Kila taifa lina utaratibu na sheria zake
Lazima ziheshimiwe.
Muda wa Tanzania kujibu ndio huu
Tuone nani atalialia
 
Kadri unavyozidi kupania ndivyo tunavyozidi kutamani
 
Wote waishi kwa halali na wafate kanuni na sheria za nchi husika.

Asiyetaka kufata sheria sheria ichukuwe hatua zake za kisheria.
Mkuu mbona leo wewe umechapia lugha mama
kufata -kufuata
Wafate-wafuate
Ni hilo tu Mkuu!
 
Tanzanians has a comperative advatanges and potential over the Eastern and Southern Africa countries; only what we need is to realize and utilize our resources to the margin then no country in this region can stand against us.

Though, I believe that with JPM all shall be well and soon Kenyans they will see our flag raised to the summit of the World in different spheres of life.
 
Nitaenda kenya cku wakipata chakula cha kutosha maana c kwa njaaa hiyo waliyo nayo
 
Kwa jinsi ninavyoona, watanzania wengi walioko Kenya wanafanya kazi ktk sekta isiyo rasmi na hivyo wanalipwa malipo kiduchu sana..Wakati kwa wakenya, wengi wako kweli sekta rasmi na wanalipwa vizuri kuliko watanzania ktk ngazi na sifa zinazofanana.

Hivyo, hatuwezi kuwa na reciprocal policies. Naielewa serikali yangu ktk hili suala.
 
Sasa kama Kenya hawitaji watanzania mnabembereza wa nini kila mtu akae kwao
 
kwani tz ndio iko na chakula pekee ata mexico ipo.


Haaaa haaaa haaaa haaaa teeeh, Mexico mtachanganyiwa na sigara kali na ile kitu ingine yenye yaitwa udaga kwa hizo package ya rice bags.

Niapo mtatokwa na msambwanda
 
Back
Top Bottom