Kenya yaamua kulipa kisasi, sasa hamna Mtanzania kuingia Kenya bila vibali

Kwahiyo hata ile ya mita kadhaa ya ujirani mwema hakuna ,
 
Wote waishi kwa halali na wafate kanuni na sheria za nchi husika.
Asiyetaka kufata sheria sheria ichukuwe hatua zake za kisheria.
Kweli, ila naona manyang'au wana mind zaidi, labda hizi white collar jobs za huku ni nyingi zaidi, sababu hatuna waTz wenye vyeti sahihi, labda....
 
Kenya wamejitambua. Bado raia wa nchi zingine kama DRC, Uganda, Burundi, Rwanda, Malawi nk kubanwa wanapotaka kuingia nchini. Serikali inapoteza mapato mengi kwenye viza kutokana na uzembe. Sasa raia wa kigeni wote waliopo Tanzania wasakwe waoneshe vibali vya kuwepo nchini na shughuli zilizowaleta.
 
Tulishakupa ufafanuzi kuhusu hizi outdated reports ndugu! Jaribu kuwa unatafuta report za wakati husika!
Unga mahindi kilo moja tunaskia kwa sasa ni Tzs. 2400.
Ripoti yenyewe ni ya two months ago. Mbona kwa sasa mahindi ya Tz hayauzwi Kenya?
 
Hizo options huwa mnazitumia ila sisi tunabaki kimya maana hatuna muda wa kuburuzana na nyie mliojawa na majungu maisha yenu yote, yanayo wasababishia umaskini.
Kenya imefungua milango kwa watu wote, maana wageni wengi wana shirikiana na sisi katika ujenzi wa taifa na uchumi wetu, hata hao Watanzania wanapewa vibali bure bila gharama, sema ni kwamba mumezoea kuishi kiujanjanja hata mkipewa vibali bure hamtaki kuvichukua.

Nenda pale Gikomba, Nairobi utadhani upo Dar. Watanzania kila sehemu hadi machangudoa ya Majengo, ila tunaishi nao vizuri, hata omba omba wenu tunawalea kwenye miji yetu bila shida. Kwangu kuna jirani Mtanzania amejenga residential flats na ametulia bila kuzinguliwa. Siku zote nyie ndio wenye hulka ya kuchokonoa chokonoa.
Nimesha kumaki....kumbe wewe mkenya. Hlf inaonekana huna vibali kwa kuishi huku jinsi unavyo changia, wewe unadhani mtanzania anaweza pata sehemu ya kujenga huko kwenu kihivi hivi kma nyie mlivyo zoea kupata huku kwetu, sisi tuna roho nzuri cyo ya kinyang'au hlf Kwa nini usichangie nyuzi za wakenya huko, unakuja huku jf kutafuta nini?
 
Hii tit-for-tat haitatupeleka mbali as East Africans.
Cooler heads need to sit and settle the issues raised amicably.
Ila kiukweli if Tanzania decided to target Kenyans living in Tanzania wakenya watakoma. There are many more Kenyans in Tanzania than there are Tanzanians in Kenya. Just saying. Plus wasisahau pia there is always the option ya kupunguza safari za KQ au hata kupiga marufuku vyakula kwenda Kenya......Tanzania just has soooo many cards up its sleeve!

How is preventing your food to come to Kenya going to hurt Kenyans and not Tanzanians? You guys sometimes never understand the dynamics of trade. See - we have money and there are many people begging to sell us maize. You stop your maize, we'll buy elsewhere. You keep your maize, it rots in your silos......who suffers?
 
Unga mahindi kilo moja tunaskia kwa sasa ni Tzs. 2400.
Ripoti yenyewe ni ya two months ago. Mbona kwa sasa mahindi ya Tz hayauzwi Kenya?

Hakuna bei ya namna hyo hapa Tanzania, hyo 2,400/= ni kwa kiroba cha 5kg labda.

Tueleze uliskia wapi hiyo bei! Halafu tuwauzie mahindi sa hizi kwa makubaliano yapi? Muda bado, ukifika lazima mtakuja tu kuomba tuwauzie!

Msimu wa mavuno huu unatwambia bei za ajabu ajabu hizo!
 
How is preventing your food to come to Kenya going to hurt Kenyans and not Tanzanians? You guys sometimes never understand the dynamics of trade. See - we have money and there are many people begging to sell us maize. You stop your maize, we'll buy elsewhere. You keep your maize, it rots in your silos......who suffers?
Kwa maelezo yako tu inaashiria hujui vizuri kuhusu masuala ya mazao, hasa uhifadhi wake!

Pia unatakiwa ujue kuwa kadri ya siku zinavyoenda ndivyo bei ya chakula inavyozidi kupanda, hivyo chakula hapo baadae kitauzwa kwa bei kubwa zaidi ya sasa!

Halafu acha kujidanganya eti you have money, naona unajiongelea wewe peke yako na kusahau mamia ya watu huko western Kenya ambao hawana hata hizo fedha za kununua hayo mahindi!
 
Kwani ata tukinunua mahindi huko Tanzania ndo tutawapea bure?
 
Kwa maelezo yako tu inaashiria hujui vizuri kuhusu masuala ya mazao, hasa uhifadhi wake!

Pia unatakiwa ujue kuwa kadri ya siku zinavyoenda ndivyo bei ya chakula inavyozidi kupanda, hivyo chakula hapo baadae kitauzwa kwa bei kubwa zaidi ya sasa!

Halafu acha kujidanganya eti you have money, naona unajiongelea wewe peke yako na kusahau mamia ya watu huko western Kenya ambao hawana hata hizo fedha za kununua hayo mahindi!

Wewe hujielewi. Unaeleza mambo yasiyosaidia mjadala. Kama watu wa Western Kenya hawana fedha mbona hawajafa njaa? Wewe ni kama huifahamu Kenya maana Magharibi mwa Kenya ni the most food secure part of Kenya. Hivi Tanzania huwa munatupea chakula bure ama tunanunua? Kama tunanunua Tanzania huoni mkikataa kutuuzia tunaweza pia nunua kwengine kama vile SA ama hata marekani? Je, unajua wakulima wa Kaskasini mwa Tanzania wanalipigania sana soko la Kenya?

Hivi unavyosema bei ya chakula inapanda kadri siku zinavyosinga imamaanisha hiyo bei inapanda tu kwa nchi zingine ila sii Tanzania?

Unaongea kambe hujielewi.
 
He he heeeeee naona hili la njaa linakuuma kweli kweli! Kwa hiyo unataka watu wafe kwa njaa ndo ujue hawana hela? Aisee hii nahisi umeandika automatically kutokana na povu au njaa inaweza kuwa inakusumbua! Na kama western part ndio the most food secure part huko Kenya na bado kuna report zinaeleza kuwepo kwa upungufu wa chakula maeneo hayo kwa nyakati tofauti basi hiyo ni hatari sana!

Halafu labda hujui madhara yaliyopo kwa kununua chakula nchi nyingine hasa hizo za mbali ulizozitaja! Hivi kweli hujui athali za kiuchumi zilizopo kununua chakula huko SA au USA badala ya hapa tz au Uganda? By the way, nyie ni wadogo zetu mda ukifika mtauziwa tu, ila tunasubiri ipande!

By the way nimeona report hapa ya juzi kati Kenya imeorodheshwa kwenye nchi zenye njaa kali, wanahamasisha watu wadonate! I'm thinking of donating too!

Jamani watanzania na Waganda tuliomo humu, tuchangie chakula kwa jirani, Let's go people[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Famine and hunger crisis | Oxfam International
 
Tanzania, atuwezi kuwachangia Wakenya chakula. Zaidi tunawaombea kwa Mungu waingie kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe basi.
 
Hakuna bei ya namna hyo hapa Tanzania, hyo 2,400/= ni kwa kiroba cha 5kg labda.

Tueleze uliskia wapi hiyo bei! Halafu tuwauzie mahindi sa hizi kwa makubaliano yapi? Muda bado, ukifika lazima mtakuja tu kuomba tuwauzie!

Msimu wa mavuno huu unatwambia bei za ajabu ajabu hizo!
The cost of a kilo of maize flour is 2400 in Tz money, which translates to 120 Kshs. U want to deny the glaring fact that there is food shortage in Tanzania, whilst trying so hard to portray Kenya as having some serious food insecurity issues.
But ah- ah, Wfp and Fao beg to differ on that notion, each year with their reports giving totally different impression. But as usual, u deny them, arguing that they do not depict the realities on the ground.

There is no way that Tanzania can recover completely within the two- short months from that devastating drought, which was exercebated further by the army worm invasion in the whole region.

That report by Twaweza must have stunned you beyond recovery, that 78% of Tanzanians are wallowing in hunger. 78% is staggering, for a country so fertile and regarded the net exporter of grains in the region.
Less than 20 or 30% of the population must have been rescued from the biting food deficit by now, but the problem still persists in many regions in Tanzania.

Hiding the reality of the situation is counterproductive, my friend.
 
He he heeeeee naona hili la njaa linakuuma kweli kweli! Kwa hiyo unataka watu wafe kwa njaa ndo ujue hawana hela? Aisee hii nahisi umeandika automatically kutokana na povu au njaa inaweza kuwa inakusumbua! Na kama western part ndio the most food secure part huko Kenya na bado kuna report zinaeleza kuwepo kwa upungufu wa chakula maeneo hayo kwa nyakati tofauti basi hiyo ni hatari sana!

Halafu labda hujui madhara yaliyopo kwa kununua chakula nchi nyingine hasa hizo za mbali ulizozitaja! Hivi kweli hujui athali za kiuchumi zilizopo kununua chakula huko SA au USA badala ya hapa tz au Uganda? By the way, nyie ni wadogo zetu mda ukifika mtauziwa tu, ila tunasubiri ipande!

By the way nimeona report hapa ya juzi kati Kenya imeorodheshwa kwenye nchi zenye njaa kali, wanahamasisha watu wadonate! I'm thinking of donating too!

Jamani watanzania na Waganda tuliomo humu, tuchangie chakula kwa jirani, Let's go people[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Famine and hunger crisis | Oxfam International

Unajitoa kwenye mada.

Umesema Tanzania itatufungia chakula kisha ukasema Kenya haina hela. Nikakuuliza kwani hicho chakula munatupea bure ama tunanunua? Kama bure sawa, kama tunanunua inakuwaje tununua ikiwa hatuna hela? Wacha kujikanganya.

Halafu unasema mara bei ya chakula huongezeka kadri siku zinavyosonga. Nikakuuliza kwani hiyo bei huongezeka nchi zingine zote isipokua Tanzania? Sasa unakuja na ripoti sijui ya njaa AMA nini. Itakua wewe ni mwehu ama hujielewi. Anyway haya maripoti ya njaa yeyote anaweza yapata kwenye mtandao tu wakati wowote. Angalia hili hapa linasema Watanzania asilimia 78 wote hulala njaa.
Tanzania: Survey Finds Most Tanzanians Go Hungry, Despite Govt Denials
 
Mzee, hebu uwe unasoma vizuri kati ya mistari na kuelewa! Hakuna sehemu nimesema Kenya haina hela, nimesema sio kila mkenya ana hela ya kununua mahindi! Hivyo wewe ndo acha kujichanganya!

Bahati mbaya sana nyie wakenya mmekaririshwa mkishindwa kwenye hoja unakimbilia kuwaambia watu hawajielewi, huoni wewe ndo hujielewe maana masuala machache kama hayo yanakushinda kuelewa? Tena ulivyo mtu wa ajabu eti hutaki report[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Haya hapo imeleta report ya twaweza! Tatizo lako kubwa kabisa ni kuwa hujui kuhuisha report na mda iliotolewa! Hiyo report tayari mda wake umepita zamani sana! Hicho kilikuwa kipindi cha January, February na March ndo hali ilikuwa ngumu kidogo na ndo twaweza wakafanya hiyo tathmini! Sasa uwe unahusisha report na muda husika!
 
The cost of a kilo of maize flour is 2400 in Tz money, which translates to 120 Kshs. U want to deny the glaring fact that there is food shortage in Tanzania, whilst trying so hard to portray Kenya as having some serious food insecurity issues.
But ah- ah, Wfp and Fao beg to differ on that notion, each year with their reports giving totally different impression. But as usual, u deny them, arguing that they do not depict the realities on the ground.

There is no way that Tanzania can recover completely within the two- short months from that devastating drought, which was exercebated further by the army worm invasion in the whole region.

That report by Twaweza must have stunned you beyond recovery, that 78% of Tanzanians are wallowing in hunger. 78% is staggering, for a country so fertile and regarded the net exporter of grains in the region.
Less than 20 or 30% of the population must have been rescued from the biting food deficit by now, but the problem still persists in many regions in Tanzania.

Hiding the reality of the situation is counterproductive, my friend.

Brother be sincere and bring us the findings showing that the cost of maize flour is 2,400Tsh, otherwise this is based on your personal intuition!

More over, i would like you to bring the current reports form WFP and FAO showing that tz is facing hunger, just as i did, remember the report i shared here about food shortage in Kenya was published a few weeks ago,

About the TWAWEZA REPORT, Yes there were times where tz had food shortage, especially in December 2016, January, February, march and in some area in early April! If u went thoroughly the report, you will find it speculates that period! Therefore, I'm sorry but that report is outdated, it will just remain in records!

Bear in mind that, wakati twaweza wanatoa hiyo report, huko kenya hali ilikuwa mbaya zaidi hadi watu wanakosa mahindi ya kununua, hata kama pesa walikuwa nayo! Tofauti na hapa tz, mahindi ya kununua yalikuwa yanapatikana kila sehemu!
 
Back
Top Bottom