Kenya yaamua kuua watu wake kwa UKIMWI

Kenya yaamua kuua watu wake kwa UKIMWI

Kenya na Tanzania zipo kwenye baadhi ya nchi zenye maambukizi makubwa ya ukimwi, yaani hapa Africa tupo kwenye top 5, duniani ndio usipime. Hiyo ni kiashiria kwamba wengi hatutumii kinga wala mipira wala kuwa makini wala nini. Hivyo hizo hadithi za eti ndio watu wataacha kuwa makini au careful ni hadithi za albaba maana tayari ni wazi hatuzingatii njia salama za mapenzi au ngono.

Pili, Ukimwi siku hizi sio tishio kama hapo awali, labda kwa nchi yenu ambayo bado mnanyanyapaa hata albino sembuse muathirika wa Ukimwi?, lakini kwenye nchi nyingi kuwa na Ukimwi haikupi stress kama ilivyokua hapo awali. Hivyo kujipima nyumbani ni jambo la kawaida tu, wengi siku hizi tunapima kwenye zahanati bila hayo ma-counseling wala nini. Unaingia na kuagiza upimwe fasta tu. Jamaa anakudunga na kutoa damu na kuweka kwenye kifaa halafu anakuagiza usubiri hapo nje dakika 15 unaingia na kujua hali yako.

Kuwa na vifaa manyumbani hamna tofauti na ukiwa na mipira ya condom, ukimleta demu wako ghetto mnapima nyote fasta hapo ili umtafune nyama kwa nyama na kuhisi utamu wote bila kuogopa maambukizi.

Sasa nyie Watanzania mumekaa pembeni kutucheka kisa tumeanza kujipima ilhali ukiangalia takwimu za idadi ya maambukizi aisei mnaambukizana hapo Darasalama kama sungura. Hivyo bora kuamua kulikabili hili janga kwa kukaba pembe zake hadi kieleweke.
Binadamu ni viunbe wanaopenda kushirikiana na anaepata UKIMWI hana mhuri usini haya mambo ya kusema jamii flani imeathirika jamani ugonjwa ulehaupigi hodi labda uwe umefunga na kufuli na funguo umeitupa kwenye septic tank.
 
sasa huyu mleta mada ashakua scientist!!! which lab did you use to prove that those drugs dont have any impact and will make people relax? those drugs were designed for couples with mixed HIV status...that is, one partner is positive while the other is negative..ignorance is a disease walai


Mkenya anakwenda Shuleni kujifunza Kiingereza tu, lkn mwisho wa siku kichwani hamna kitu, ndiyo maana wanatumiwa kama Guinea pigs na Mzungu na wao wanachekelea kwa kuwa Mzungu anaongea Kiingereza!!
 
Kwanin kila siku ni kenya & tanzania ina maana hakuna nchi zingine za EA hadi kila siku kutuletea battle ya nchi mbili tu
 
mwisho wa siku akili kumkichwa. mbona condom zipo nabaadhi ya watu hawataki hata kuzisikia
 
Pamoja na ujinga wao ni nchi ya kwanza Africa kutengeneza laptops


Haujui unachokiongea wewe, Kenya wametengeza Laptop? Unajua kama Laptop ni computer? Unaelewa maana ya computer? Umeme wa Kenya hauzidi MW 2000, lini wamejenga microelectronic Industry? Na wapi niwekee picha hapa ya microelectronic Industry Kenya!
 
Kenya Jana imezindua Mpango WA Pre-exposure Prophylaxis (Pre-PEP), Ambapo vidonge maalumu vya kumeza kabla ya kulala na MTU mwenye UKIMWI(au usiye muaamini) ili ikukinge wewe kupata UKIMWI, vidonge hivi vitakuzuuia kupata UKIMWI. Na inakadiriwa efficiency yake ni up 90% in preventing u from HIV

Hii ni HATARI KUBWA KWA WAKENYA.....maana kupitia mpango juu watu watarelax na kuwafanya Wawe risk takers zaidi kisa tu wamemeza dawa hizi...hii ni set back wala si progress in Fighting HIV, This is going to encourage people to take risks na kupunguza Umakini.

Tofauti na Tz, ambapo dawa hizi hutolewa baada ya MTU kuhisi ameambukizwa(Post-Exposure Prophylaxis (PEP) na hutolewa ndani ya masaaa 48 kwa kuzingatia vigezo Fulani.

Zaidi, pia wamezindua vipimo vya kujipima UKIMWI majumbani, unajipima peke yako(hii Nayo ni matatizo, because kupima UKIMWI sio a single stage process, kinahitaji counselling before, ni mda sasa wa watu kuzimia majumbani kwa presha, na huenda hata kwa majibu ya uongo maana this needs a professional

Nasema, Kiherehere cha Kenya Kutaka kuonekana ni nchi ya pekee duniani kitawaponza watu wenu... Hii pre-EP ni Janga....

Time will tell.....
Hio PEP inasemekana ukiitumia mara kadhaa inaacha kufanya kazi.....

Hapa unafaa ujue hio serekali haiwezi anza kupeana pre-PEP bure bila utafiti wake.... Kenya kuna maabara mengi muhimu yanayo shughulikia research ya HIV africa nzima....... Hii pre-PEP inayotolewa bure na serikali inalenga wale wako at risk kabisa, watu kama makahaba, partners ambayo mmoja wao ni HIV positive.....

Kenya ilifanya utafiti na gugundua kwamba karibia ya 50% ya maambukizo mapya ni between partners , pia makahaba wanaendelea kusambaza sana....Kwahivyo hii pre-PEP inafaa kabisa, Hapo umesema " izi hutolewa baada ya MTU kuhisi ameambukizwa" Huo ni upuzi ghani??? eti mtu akihisi???? WTF...kama wewe ni kahaba au uko na mchumba ambae ni HIV + , utafanyaje, PEP si ya kutumia kila mara, PEP ni ya emergency tu, hio si sustainable solution.... Kumbuka hauwezi zulia watu kufanya ngono, wengine wameoana kabisa na mmoja wao ako positive...


Kumbuka Kenya tuna mpango wa ku achieve ZERO HIV infection, ZERO HIV deaths baada ya 2030... hio campaign tunaichukulia serious kabisa inaitwa ;Near-ZERO" by 2030.... If you want to achieve that you must first of all, accept that people some will have unprotected sex , people will have multiple partners, people will pay money for sex even if its illegal... then after you accept all of that is when you can begin to solve the problem, but if you hide behind morality and religion among other things, you will never get rid of HIV



---
People who are HIV-negative but at high risk of infection can now take an anti-retroviral drug to avoid contracting the virus. The Pre-Exposure Prophylaxis (PrEP) prevention drug was officially rolled out by the Government Thursday. The drug, Truvada, will be provided free of charge in selected health outlets, but will cost Sh3,600 a month in private pharmacies. The PrEP initiative, spearheaded by the Government in collaboration with partner organisations, has taken years of clinical work, clinical trials and more than 50 demonstration projects in Kenya and around the world. Uninfected people Head of the National Aids and STI Control Programme (Nascop), Martin Sirengo, said the drug would not negate the gains made in reducing HIV infection by promoting promiscuity. ALSO READ: City building that few people know about He explained that distribution of the drug to uninfected people was intended to stop new infections. Dr Sirengo said the programme mostly targeted discordant couples - where an HIV-negative person is living with an infected partner. Such a relationship, experts say, puts the uninfected person at risk of contracting the virus. “Almost half of all new HIV infections occur in HIV-discordant partnerships. While this (PrEP) is not a cure for HIV, the use of ARVs is an important step in reducing the overall rate of HIV infections,” he said. Director of Medical Services Jackson Kioko said the drug works effectively when combined with other safety measures such as condom use. “It is for negative people who are at risk, partners who are discordant, those who are regularly infected with sexually transmitted diseases, and is more effective when combined with condoms,” he said. Side effects “The most common side effects that patients have reported are mild gastrointestinal upsets in the first few days or weeks as they get used to the medication.” Other side effects include nausea, vomiting, and stomach upsets. But these problems could also be signs of something more serious like lactic acidosis or too much acid in the blood, according to information published by the drug manufacturer on their website. ALSO READ: City building that few people know about The unveiling of the drug is good news for Agnes Nyambura, who is HIV-positive, and HIV-negative Peter Waweru. The two have lived together since 2008 and the PrEP will help them realise their dream of having another child without the risk of infecting Waweru. “We met in 2008 and have always used protection to reduce the risk of me getting infected, and that has stopped us from having a child but now we can realise this dream,” said Waweru. Sirengo said the oral drug should be taken seven days before sexual contact with a partner for it to work effectively.
Read more at: New drug to check HIV spread unveiled
 
Eeeeeh acha kabisa mziki hayo sijui ma PEP ni shida hakuna anayeyaweza unakufa hivi hivi ni makali mfano hakuna yansabibsha upofu hata mental wakat mwingine.....
 
The government on Thursday launched a two-pronged approach in the war on HIV/Aids.

It introduced a prevention drug for people at risk of contracting the virus and initiated a method of self testing.

Known as Pre-exposure prophylaxis (PrEP), the drug will be given out for free.

The targeted population for the roll-out includes discordant couples, people with multiple sexual partners, individuals who have had sexually transmitted infections, addicts who inject drugs, people who have had recurrent use of post-exposure prophylaxis, sex workers and those who do not use condoms consistently.

BENEFICIARIES
During the launch of the programme, National Aids and STI Control Programme head Martin Sirengo said the drug would also be available to anyone wishing to access use but at a monthly cost of Sh3,600.

“If you decide to use PrEP, you must complement it with other methods of protection,” Dr Sirengo said.

For the next five years, an estimated 200,000 Kenyans will be put on PrEP, costing the government about Sh30 billion.

“We have mapped out seven counties, which account for almost 60 per cent of the infections. They are Kisumu, Homa Bay, Migori, Siaya, Kiambu, Mombasa and Nairobi,” he said.

SELF-TESTING
At the same time, a new method of self-testing has been introduced.

The kits will be available in private pharmacies and would cost Sh800 to Sh1,000.

Two brands have been approved by the government: an oral swab test and a blood sample one.

The oral kit, known as OraQuick, will require the user to do a 360 swab of the upper and lower gum of the mouth before placing the swab in a reagent, which will give results in 20 minutes.

Those using the blood sample kit known as Insti, would be required to prick a finger and put the blood in a control kit to read the results.

INSTANT RESULTS

Unlike the oral test, the blood sample test gives back results instantly.

“We are introducing this test to reach the approximately 400,000 people suspected to be having HIV but are yet to formally get tested,” explained Dr Sarah Masyuko Nascop's HIV testing and PrEP manager.

The self-test is a simple rapid HIV test that can be used in private. It is discreet and therefore convenient as it gives the user the autonomy to be the first to learn their status.

According to NASCOP, the test that will be available for anybody above 15 years, has a high sensitivity of up to is 80 percent accuracy. Dr Sirengo however advised that if a user has a reactive self-test (the test turns out positive), they should go to the nearest Voluntary Counseling and Testing (VCT) centre for a confirmatory test.

STIGMATISATION

If the test is non-reactive or negative self-test, the user is advised to also seek services that will link them to HIV prevention services such as condoms and male circumcision.

Despite many HIV/Aids awareness campaigns and the government offering free HIV testing and counselling in antenatal care clinics, many Kenyans remain reluctant to go for HIV tests as they fear being stigmatised by others.

By introducing the self-test kit, the government is aiming at targeted testing which will see those who test positive put on treatment.

Annually, an estimated 6.5 million people walk into HIV testing centres but only three percent (195,000) test positive. Yet, with about 1.5 million are known to be living with HIV, nearly 500,000 others not aware of their status.

“This is the number that we need to reach out to and If we are to achieve the Fast-Track target set by WHO, then we must conduct targeted testing, which can be done through the self-test kits,” said Dr Sirengo.

Questions have however been raised on the potential danger of self-destruction in the event a person gets a positive result, since the kits bypass the pre-counselling step.

“A formative study was conducted in 2013/2014 in Nairobi and Western to assess the acceptability of these kits and we found there was no adverse destruction reported,” said Dr Sirengo.
http://www.nation.co.ke/news/Govt-launches-two-approaches-to-fight-HIV-Aids/1056-3914614-8p6ubc/




As you can see research nyingi zimefanywa kuangalia every scenario before this drug was unveiled
 
Basi navyojua mimi kuna baadhi wapends zinaa wataanza safari za kwenda Kenya...
 
Umekomenti kwa busara nimekuelewa, HIV ni gonjwa la kawaida ila hii Pre-EP itahatarisha maisha bado, lakini pia kumpima demu geto akawa negative haimanishi kuwa hana UKIMWI, she might be in window period....

Mhimu tubadilike, tuache ngono, ama tafuta mmoja Pima na ishi Nate bila kuchepuka
Umekomenti kwa busara nimekuelewa, HIV ni gonjwa la kawaida ila hii Pre-EP itahatarisha maisha bado, lakini pia kumpima demu geto akawa negative haimanishi kuwa hana UKIMWI, she might be in window period....

Mhimu tubadilike, tuache ngono, ama tafuta mmoja Pima na ishi Nate bila kuchepuka

Hehehe Miss. Chadema naona umenijibu mara tatu, inaonekana leo unanifeel, vipi upo ghetto gani Nairobi nije tuongee mbili tatu.
Sasa sikiliza, hayo mahubiri ya mtu kuwa na mpenzi mmoja yalishapitwa na wakati hususan kwa Miafrika, tunajamiana kama manguruwe, sasa inabidi kutafuta mbinu zingine tusije kuangamizwa na Ukimwi sote.

Pili kwa mtu kuwa negative baada ya kupimwa ina maana hawezi akamuambikiza mwenzie labda wachubuane sana. Kwa kifupi viral load iko chini kiasi cha kutokua detected hivyo ngoma mnaicheza tu bila wasiwasi. Hivyo basi ni bora kupima kwanza maana hata bila kupima watu wengi wanaicheza bila mipira ya komdomu.

Ni wazi hata kama niwe nimelewa pombe ya aina gani lakini ikitokea tunapima kwanza halafu kifaa kionyeshe unangoma/Ukimwi, lazima nitasitisha shughuli papo hapo hata dushe litanywea na kugoma kusimama. Kwa hivyo ni bora tuwe tunapima moja kwa moja ili kupuguza mihemko na maambukizi maana ni wazi hatutumii kinga/condoms, ni wazi michepuko imekua dili mjini, mitandao balaa demu anawazunguka wanaume tano kwa siku, naye mwanaume ana wanawake kila kitaa....twafaaa
 
This is what lack of education does to a person. PreP works and it is now a mainstay in most developed countries. It is another tool in the toolkit that should be used to fight HIV. It is neither an antidote nor a replacement for contraception. One is meant to use the two concurrently.

PreP is a must for high risk populations! The hands of an albino from Babu does not work Danganyikans!
 
Tanzanian education system=garbage
Tanzanian education system=an embarrassment to the human race and to Africa in general
Albert Einstein must be turning in his grave...how could ppl be this stupid?
 
i hope future Tanzanian kids will be better coz at the moment tz has idiots....Barbarosa, Kilam, geza ulole etc...we understand that you are inferior economically to the average Kenyan...but you dont have to demonstrate ur utter intellectual inferiority as well to match...
 
PrEP means Pre-Exposure Prophylaxis, and it’s the use of anti-HIV medication that keeps HIV negative people from becoming infected. PrEP is approved by the FDA and has been shown to be safe and effective. A single pill taken once daily, it is highly effective against HIV when taken every day. The medication interferes with HIV’s ability to copy itself in your body after you’ve been exposed. This prevents it from establishing an infection and making you sick.

Even though PrEP has been around in the U.S. for over a year, not a lot of people know about it. And, even fewer people feel like they know enough about it to be able to make an informed decision about whether or not to use it. For those who do use it, the information they have might be more focused on practical issues, like where to get it, rather than on what PrEP does in the body to prevent HIV infection.

By using animation to show PrEP in the body and why “once a day” is recommended, people can see what PrEP does and people who currently use PrEP can create an image of what happens when they take a PrEP pill every day.

View the video below to get information about PrEP and see an illustration of how it can work inside the body to prevent HIV infection.
 
Back
Top Bottom