Kenya yaanza kuchanganyikiwa, yasema wagonjwa wa Corona hawaambukizi, hakuna sababu ya kuwaweka Hospitalini, wataanza kuwarudisha majumbani mwao

"Who we shall have confirmed are not capable of transmitting ". Which method ot machine can confirm a positive person is not capable of transmitting the infection?. Wacheni ujinga wenu.

Any active case of corona virus is highly infectious, must be isolated and contained.
 
Unakumbuka alivyopotea JF idadi ilipofoka 480? Kilaza alirudi vile Tz iliacha kutangaza matokeo ya Corona
 
Na hii Corona mnawapachika mimba watoto wa shule kule Mtwara.
 

In a country where the president declares "Corona Imekwisha na wasomi wanasema ndiyo baba", there are bound to be many fools.
Sometimes the TZ people bring about some arguments here and you wonder if you are dreaming. Then you wish, maybe they are just trolling.
 
Unakumbuka alivyopotea JF idadi ilipofoka 480? Kilaza alirudi vile Tz iliacha kutangaza matokeo ya Corona
Akijibu nitag[emoji23][emoji23][emoji23]
Anajifanya anajali sana na wakati kwao kuanzia rais hadi wanenguaji wamepuuza..
Leo anakuja kuwahurumia wakenya eti wataambukizana akisahau vile vile vipimo ndivyi vilitumika kuwapima wale truck drivers wao..

Na akirudi basi ata change gear
 
Atafungua uzi mwingine, huu haujaleta matokeo aliotarajia.
 
Mbona hko kwenu mnadunda na wakati mgonjwa wa corona hana alama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…