Kenya yaanza kuchanganyikiwa, yasema wagonjwa wa Corona hawaambukizi, hakuna sababu ya kuwaweka Hospitalini, wataanza kuwarudisha majumbani mwao

Kenya yaanza kuchanganyikiwa, yasema wagonjwa wa Corona hawaambukizi, hakuna sababu ya kuwaweka Hospitalini, wataanza kuwarudisha majumbani mwao

"We are planning on how we shall
start releasing patients who we
shall have confirmed are not
capable of passing the virus to
other people. We know there could
be a risk and that is why we will do proper monitoring
," stated CS
Kagwe. The government, the CS
stated,
will only consider isolating patients
for a maximum of 14 days before
letting them take up home-based care.
" Soma hizo sehemu zingine bolded mara tatu kisha urejee upya. Muwe na mazoea ya kujichambulia taarifa kwanza kabla ya kuanza kujadili hoja. Sio mnasoma tu maelezo ya kiboya ya mleta mada kisha kwa uvivu wenu mngoja mchambuliwe na wengine.
"Who we shall have confirmed are not capable of transmitting ". Which method ot machine can confirm a positive person is not capable of transmitting the infection?. Wacheni ujinga wenu.

Any active case of corona virus is highly infectious, must be isolated and contained.
 
Kwhyo unaamini km corona bado ipo[emoji23][emoji23]
Umeongea mpka ukajisahau km hao watu wanaotaka kuachiwa wamwpimwa na vile vile vipimo amabavyo walipimia madereva wenu..
Kulingana na kauli yako unaunga juhudi za kupambana na corona linapokuja swala la upande wa kenya, lkn kibongo bongo bado unaipuuza kisa jiwe kasema huna budi kunengua[emoji23][emoji23]
Kweli ccm ni km ng'ombe tu, halafu rais wenu anawadanganya hadharani eti kumebaki wagonjwa wanne..

We sasa unapinga nn watu wasihudumiwe nyumbani wakati hko kwenu hata hampimani mitaani na bado watu wanadunda..kweli dogo upo desperate sana[emoji382][emoji382][emoji382]
Unakumbuka alivyopotea JF idadi ilipofoka 480? Kilaza alirudi vile Tz iliacha kutangaza matokeo ya Corona
 
"Who we shall have confirmed are not capable of transmitting ". Which method ot machine can confirm a positive person is not capable of transmitting the infection?. Wacheni ujinga wenu.

Any active case of corona virus is highly infectious, must be isolated and contained.
Na hii Corona mnawapachika mimba watoto wa shule kule Mtwara.
 
"We are planning on how we shall
start releasing patients who we
shall have confirmed are not
capable of passing the virus to
other people. We know there could
be a risk and that is why we will do proper monitoring," stated CS
Kagwe. The government, the CS stated,
will only consider isolating patients
for a maximum of 14 days before
letting them take up home-based
care.
Hii aya, ambayo ni maneno aliyoyasema waziri Mutahi Kagwe, nimeicopy paste kutoka kwenye taarifa hiyo hapo kwenye hiyo link. Aisee, viwango vya IQ na uelewa wa vitu simpo sana vimeshuka kwa kiasi kikubwa kwenye jukwaa hili. Itabidi Mods waanzishe jukwaa lingine ambalo watu wa sampuli ya mleta mada watakuwa wanajadili pumba zao. Kuna hatari kubwa sana ya kuambukizana ujinga hali ikiendelea kama ilivyo sasa hivi.

In a country where the president declares "Corona Imekwisha na wasomi wanasema ndiyo baba", there are bound to be many fools.
Sometimes the TZ people bring about some arguments here and you wonder if you are dreaming. Then you wish, maybe they are just trolling.
 
Unakumbuka alivyopotea JF idadi ilipofoka 480? Kilaza alirudi vile Tz iliacha kutangaza matokeo ya Corona
Akijibu nitag[emoji23][emoji23][emoji23]
Anajifanya anajali sana na wakati kwao kuanzia rais hadi wanenguaji wamepuuza..
Leo anakuja kuwahurumia wakenya eti wataambukizana akisahau vile vile vipimo ndivyi vilitumika kuwapima wale truck drivers wao..

Na akirudi basi ata change gear
 
Atafungua uzi mwingine, huu haujaleta matokeo aliotarajia.
 
"Who we shall have confirmed are not capable of transmitting ". Which method ot machine can confirm a positive person is not capable of transmitting the infection?. Wacheni ujinga wenu.

Any active case of corona virus is highly infectious, must be isolated and contained.
Mbona hko kwenu mnadunda na wakati mgonjwa wa corona hana alama
 
Back
Top Bottom