Kenya yaanza kutumia ‘internet balloons’ na kuwataka watu kutumia 4G

Nitajie hizi huduma PayPal unapokeaje hela moja kwa moja kwenye simu hapa bongo.. skriil je..??
Hayo Kenya yanawezekana ndio maana hata huku tz wengine wameanza kutumia line za kenya safaricom!
Kila Mara limekuwa likizungumzwa humu hili we vipi au umekabwa na udaga wa koromeo..[emoji12]
Taja hiyo njia sasa..
Upo nchi gani labda na kama upo Tz unae ndugu kutoka Uk au us umwambie akutumie pesa mpatie namba yako ya tigo
 
Nitajie hizi huduma PayPal unapokeaje hela moja kwa moja kwenye simu hapa bongo.. skriil je..??
Hayo Kenya yanawezekana ndio maana hata huku tz wengine wameanza kutumia line za kenya safaricom!
Kila Mara limekuwa likizungumzwa humu hili we vipi au umekabwa na udaga wa koromeo..[emoji12]
Taja hiyo njia sasa..
Usilete lawama ikiwa haujui chochote kuhusu mitandao wakati Mimi ni wakala na mara nyingi natoa pesa kutoka nje na juzi tu kunajamaa katimia laini yangu kutuma pesa kutoka Uk ,nikampa namba akamtumia kwenye WhatsApp dakika 0 tu akatuma 81 elfu nikamtolea kaenda zake halafu wewe huna hata kitambulisho cha nida unaropoka tu
 
Tena hiyo toka mwaka Jana watu wanatumiwa tu wengine toka UAE
 
Ngoja niwapanue kidogo Akili Alphabet kupitia Google ana hizo project za Loon hizo Balloon hutumika sehemu ambapo hakuna coverage ya minara yani mfano saivi dar patokee mafuriko miundo mbinu ya mawasiliano izingue basi baloon linarushwa ili kuepùsha watu kuwa out of coverage, Ingieni Flight Radar mcheki maeneo ambayo hayo maloon yapo utaona ni sehemu za visiwa au sehemu ambazo ni remote sana kiasi kwamba hakuna coverage ya Minara na Vsat internet vi sattelite ni costful sana ndio zina rushwa izo loon mji kama dar ambao coverage yàa 4G everywhere ni upuuzi kutumia baloon ambazo ziko almost ft 50000 above the sky watu naona wanasifu tu hata hawaelewi purpose ya izo loon
 
Ndio hiyo sanasana inatumika kwenye emergency
 
Sasa watu wanasifia eti wakati hizo loon ni temporary na back up
Afu Google hizo loon ana zirusha zaidi Africa mbele huko hakuna huo uchafu mana wenzetu miundo mbinu yao iko poa unless itokee calamities
Screenshot_20200708-212451_Flightradar24.jpeg
Screenshot_20200708-212510_Flightradar24.jpeg
 
Nitajie hizi huduma PayPal unapokeaje hela moja kwa moja kwenye simu hapa bongo.. skriil je..??
Hayo Kenya yanawezekana ndio maana hata huku tz wengine wameanza kutumia line za kenya safaricom!
Kila Mara limekuwa likizungumzwa humu hili we vipi au umekabwa na udaga wa koromeo..😜
Taja hiyo njia sasa..
Kumbe network ya Safaricom inafika huko
 
Nimeuliza swali. Waswahili wanasema kuuliza si ujinga.
Basi ndo ivo boss ata mtandao wa US unashika hapa bongo kwa kutumia minara ya hapa inaitwa Roaming gharama yake huwa kubwa kidogo compare na local charges
 
Usilete lawama ikiwa haujui chochote kuhusu mitandao wakati Mimi ni wakala na mara nyingi natoa pesa kutoka nje na juzi tu kunajamaa katimia laini yangu kutuma pesa kutoka Uk ,nikampa namba akamtumia kwenye WhatsApp dakika 0 tu akatuma 81 elfu nikamtolea kaenda zake halafu wewe huna hata kitambulisho cha nida unaropoka tu
Naona tumechengana hapa hiyo unayozungumzia wewe naifahamu!.. achana na hilo ipo hivi kuna watu wanafanya kazi online na njia za kulipwa hutumia ama PayPal au skrill n.k sasa bongo unaweza kulipia kutumia hizo app ila wewe kutoa hela kwenye PayPal kuja kwenye simu ndugu hilo ni zigo!!.. nawakati Kenya hilo lawezekana!.. na hapo usipoelewa kanywe balimi ndo uje tujadili tena.. we unawaza mpk kuwa na ndugu tu huko nje wa kukutumia pesa hilo njia za kupokea zipo kedekede sasa kafanye kazi online au utumiwe hela kwa njia ya PayPal halafu uitoe kwa tigo pesa ndo utaelewa naandika nini..
 
We unawaza ndugu tu wa kukutumia hela..[emoji28]
Vitu vyengine tafuta details za kutosha kama hujaelewa komamanga mkubwa wewe[emoji12]
Kwani hata kama sio ndugu utaweza kutumiwa pesa na mtu usiemjua au usiekua na mipango nae hiyo kukuambia ndugu nimekutolea mfano tu ,na kwan Kwa hiyo App unafaidika nini hakuna makato au ilimradi tu utumie na wewe
 
Tenga muda wako fatilia PayPal ni nini Skrill ni nini payooner ni nini n.k huko..
 
Back
Top Bottom