Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
CCM ndio chanzo cha yote haya.
Sisi hatuna viongozi mkuu!!Sisi tumemtilia kauzibe mchina dili la Bandari bagamoyo wakati Kenya akimtumia mchina huyohuyo kimyakimya kujenga ya kwake. Matokeo yake Bandari ya Lamu ikikamilika mapema na Mchina akaona anapata faida zaidi hatakuwa na mpango wala shauku tena ya kujenga ya kwetu.
Sasa hebu imagine mzigo utakaotoka China kupitia Mombasa na wakati huohuo SGR ya Mkenya imeshakamilika. Niambie hapo nani ataumia?
Safirisha tu na wewe
MY TAKE:
Wenzetu Wakenya kwa mara ya kwanza wamesafirisha shehena yao ya kwanza ya mafuta kwenda Malaysia
Sisi tuko busy kumzuia Tundu Lissu asiwe Mbunge
Tuko bize kuvamia vikao vya ndani vya vyama vya upinzani visifanye hata mikutano ya ndani!
Ngoja Mchina awajengee mwisho wa siku atadai chake wakishindwa anaiendesha yeye mwenyeweSisi tumemtilia kauzibe mchina dili la Bandari bagamoyo wakati Kenya akimtumia mchina huyohuyo kimyakimya kujenga ya kwake. Matokeo yake Bandari ya Lamu ikikamilika mapema na Mchina akaona anapata faida zaidi hatakuwa na mpango wala shauku tena ya kujenga ya kwetu.
Sasa hebu imagine mzigo utakaotoka China kupitia Mombasa na wakati huohuo SGR ya Mkenya imeshakamilika. Niambie hapo nani ataumia?
Sisi tumemtilia kauzibe mchina dili la Bandari bagamoyo wakati Kenya akimtumia mchina huyohuyo kimyakimya kujenga ya kwake. Matokeo yake Bandari ya Lamu ikikamilika mapema na Mchina akaona anapata faida zaidi hatakuwa na mpango wala shauku tena ya kujenga ya kwetu.
Sasa hebu imagine mzigo utakaotoka China kupitia Mombasa na wakati huohuo SGR ya Mkenya imeshakamilika. Niambie hapo nani ataumia?
Hahaha nyumbu katika ubora wako?Sisi tumemtilia kauzibe mchina dili la Bandari bagamoyo wakati Kenya akimtumia mchina huyohuyo kimyakimya kujenga ya kwake. Matokeo yake Bandari ya Lamu ikikamilika mapema na Mchina akaona anapata faida zaidi hatakuwa na mpango wala shauku tena ya kujenga ya kwetu.
Sasa hebu imagine mzigo utakaotoka China kupitia Mombasa na wakati huohuo SGR ya Mkenya imeshakamilika. Niambie hapo nani ataumia?
Mchina mode za investment zake ni Finance > Build > Manage > Operate > Commission aina hii ni mchina anakaba mwanzo mwishoNgoja Mchina awajengee mwisho wa siku atadai chake wakishindwa anaiendesha yeye mwenyewe
Unajua royalty margins hawa ChemChina UK Ltd, Africa Oil Corp, British oil explorer Tullow Oil, and France's Total SA wanaondoka nazo kwenye hivyo vipipa viwili vitatu au unapayuka tu ili kumrusha roho JPM? Smh
MY TAKE:
Wenzetu Wakenya kwa mara ya kwanza wamesafirisha shehena yao ya kwanza ya mafuta kwenda Malaysia
Sisi tuko busy kumzuia Tundu Lissu asiwe Mbunge
Tuko bize kuvamia vikao vya ndani vya vyama vya upinzani visifanye hata mikutano ya ndani!
Hamujawahi safirisha gesi siku hata moja. Wacha uwongo wewe MtanzaniaSisi kitambo tunasafirisha Gesi.Alf U K ni wakala wa ma beberu
Lamu port is 100% financed by government of Kenya wacha uwongo na propaganda zisizokuwa na mshikoMchina mode za investment zake ni Finance > Build > Manage > Operate > Commission aina hii ni mchina anakaba mwanzo mwisho
Huruhusiwi kuraise question about how much funds used, quantification of the property, ni vipi wanamanage project kwamba wanaingiza foreign labour force kiasi gani na wanajilipa kiasi gani, huruhusiwi kujua mapato kwenye investment operations mpaka ile siku wenyewe wameamua kushiba na kufanya commissioning, so mchina yeye hakudai ila wewe ndio utamdai.
Hii sasa ni wivu. Vipipa viwili vitatu au elfu mia mbili?Unajua royalty margins hawa ChemChina UK Ltd, Africa Oil Corp, British oil explorer Tullow Oil, and France's Total SA wanaondoka nazo kwenye hivyo vipipa viwili vitatu au unapayuka tu ili kumrusha roho JPM? Smh
Tuisafirishe wapi wakati sisi tunatumia kwenye umeme, 70% ya umeme wetu ni gas yetu pia viwanda vyetu almost viwanda vikubwa vyote hutumia gas bila kusahau kwenye magari na majumbaniHamujawahi safirisha gesi siku hata moja. Wacha uwongo wewe Mtanzania
Development Bank of South Africa ni ya serikali yenu?Lamu port is 100% financed by government of Kenya wacha uwongo na propaganda zisizokuwa na mshiko