Kenya yaanza kuuza mafuta rasmi

Kenya yaanza kuuza mafuta rasmi

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054

MY TAKE:
Wenzetu Wakenya kwa mara ya kwanza wamesafirisha shehena yao ya kwanza ya mafuta kwenda Malaysia

Sisi tuko busy kumzuia Tundu Lissu asiwe Mbunge
Tuko bize kuvamia vikao vya ndani vya vyama vya upinzani visifanye hata mikutano ya ndani!
 
Uhuru Kenyatta anajielewa sana, hahitaji kuonyeshwa kwenye TV live daily ili kuonyesha kuwa anapiga kazi, Kama ni SGR kajenga, Kama ni Mafuta hayo hapo amefanikisha, Kama ni Bandari basi Kuna Project ya Lamu Project inayojegwa na Wachina, ikikamilika hii halafu sisi tukaendea na vibandari vyetu hivi vya Dar na Tanga itakula kwetu mazima

Hebu Cheki hapa chini Mchina akijenga Bandari ya Ukweli hapo Lamu Kenya:

CCM ndio chanzo cha yote haya.

Sisi tumemtilia kauzibe mchina dili la Bandari bagamoyo wakati Kenya akimtumia mchina huyohuyo kimyakimya kujenga ya kwake. Matokeo yake Bandari ya Lamu ikikamilika mapema na Mchina akaona anapata faida zaidi hatakuwa na mpango wala shauku tena ya kujenga ya kwetu.
Sasa hebu imagine mzigo utakaotoka China kupitia Mombasa na wakati huohuo SGR ya Mkenya imeshakamilika. Niambie hapo nani ataumia?
 
Sisi hatuna viongozi mkuu!!
 
Ngoja Mchina awajengee mwisho wa siku atadai chake wakishindwa anaiendesha yeye mwenyewe
 
Lazima kuna sababu. Cha msingi ni kuziangalia isije ikala kwetu kama ambavyo mikataba mingine imekula kwetu
Sisi tumemtilia kauzibe mchina dili la Bandari bagamoyo wakati Kenya akimtumia mchina huyohuyo kimyakimya kujenga ya kwake. Matokeo yake Bandari ya Lamu ikikamilika mapema na Mchina akaona anapata faida zaidi hatakuwa na mpango wala shauku tena ya kujenga ya kwetu.
Sasa hebu imagine mzigo utakaotoka China kupitia Mombasa na wakati huohuo SGR ya Mkenya imeshakamilika. Niambie hapo nani ataumia?
 
Sisi tumemtilia kauzibe mchina dili la Bandari bagamoyo wakati Kenya akimtumia mchina huyohuyo kimyakimya kujenga ya kwake. Matokeo yake Bandari ya Lamu ikikamilika mapema na Mchina akaona anapata faida zaidi hatakuwa na mpango wala shauku tena ya kujenga ya kwetu.
Sasa hebu imagine mzigo utakaotoka China kupitia Mombasa na wakati huohuo SGR ya Mkenya imeshakamilika. Niambie hapo nani ataumia?
Hahaha nyumbu katika ubora wako?

Eti nani ataumia, wewe ongelea mambo akili yako inaweza kuyachakata, acha kuongea mashudu huku, ninyi ndio mnafanya elimu yetu itharaulike duniani hapa, halafu mnataka tuwape nchi, vichwa maji
 
Ngoja Mchina awajengee mwisho wa siku atadai chake wakishindwa anaiendesha yeye mwenyewe
Mchina mode za investment zake ni Finance > Build > Manage > Operate > Commission aina hii ni mchina anakaba mwanzo mwisho

Huruhusiwi kuraise question about how much funds used, quantification of the property, ni vipi wanamanage project kwamba wanaingiza foreign labour force kiasi gani na wanajilipa kiasi gani, huruhusiwi kujua mapato kwenye investment operations mpaka ile siku wenyewe wameamua kushiba na kufanya commissioning, so mchina yeye hakudai ila wewe ndio utamdai.
 
MY TAKE:
Wenzetu Wakenya kwa mara ya kwanza wamesafirisha shehena yao ya kwanza ya mafuta kwenda Malaysia

Sisi tuko busy kumzuia Tundu Lissu asiwe Mbunge
Tuko bize kuvamia vikao vya ndani vya vyama vya upinzani visifanye hata mikutano ya ndani!

Unajua royalty margins hawa ChemChina UK Ltd, Africa Oil Corp, British oil explorer Tullow Oil, and France's Total SA wanaondoka nazo kwenye hivyo vipipa viwili vitatu au unapayuka tu ili kumrusha roho JPM? Smh
 
Mchina mode za investment zake ni Finance > Build > Manage > Operate > Commission aina hii ni mchina anakaba mwanzo mwisho

Huruhusiwi kuraise question about how much funds used, quantification of the property, ni vipi wanamanage project kwamba wanaingiza foreign labour force kiasi gani na wanajilipa kiasi gani, huruhusiwi kujua mapato kwenye investment operations mpaka ile siku wenyewe wameamua kushiba na kufanya commissioning, so mchina yeye hakudai ila wewe ndio utamdai.
Lamu port is 100% financed by government of Kenya wacha uwongo na propaganda zisizokuwa na mshiko
 
Unajua royalty margins hawa ChemChina UK Ltd, Africa Oil Corp, British oil explorer Tullow Oil, and France's Total SA wanaondoka nazo kwenye hivyo vipipa viwili vitatu au unapayuka tu ili kumrusha roho JPM? Smh
Hii sasa ni wivu. Vipipa viwili vitatu au elfu mia mbili?
 
Hamujawahi safirisha gesi siku hata moja. Wacha uwongo wewe Mtanzania
Tuisafirishe wapi wakati sisi tunatumia kwenye umeme, 70% ya umeme wetu ni gas yetu pia viwanda vyetu almost viwanda vikubwa vyote hutumia gas bila kusahau kwenye magari na majumbani

Ninyi hivyo vipipa vya mafuta mlivyo navyo mngetakiwa kupigania mpate refineries mfanye refine wenyewe muuze hapa kwenye regions

Sema sababu hakuna forex consumers wa kurudisha mtaji wa wawekezaji ambao ulikuwa in forex money ndio sababu lakini bado mngeweza kufaidika pakubwa kama angalau mngekua na refinery ndogo kwa matumizi ya ndani ya nchi as you share into the investment
 
Back
Top Bottom