Tuisafirishe wapi wakati sisi tunatumia kwenye umeme, 70% ya umeme wetu ni gas yetu pia viwanda vyetu almost viwanda vikubwa vyote hutumia gas bila kusahau kwenye magari na majumbani
Ninyi hivyo vipipa vya mafuta mlivyo navyo mngetakiwa kupigania mpate refineries mfanye refine wenyewe muuze hapa kwenye regions
Sema sababu hakuna forex consumers wa kurudisha mtaji wa wawekezaji ambao ulikuwa in forex money ndio sababu lakini bado mngeweza kufaidika pakubwa kama angalau mngekua na refinery ndogo kwa matumizi ya ndani ya nchi as you share into the investment