Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Mahakamani kufanya nini?Sawa shujaa wa chato aliwatumbua bila kuwapa haki ya kujitetea mahakamani,
Alichokifanya ni uvunjifu wa Sheria kuliko waharifu walichokifanya,
Kiufupi ule ulikua ni uonevu maana nchi inaendeshwa kwa misingi ya sheria na Sio matamko binafsi.
Africa is shithole
Donald Trump.
Mwisho wa kunukuu!
Sheria inasemaje kuhusu mtu aliyeghushi nyaraka za Serikali?Mahakamani kufanya nini?
Umethibitika ulidanganya, tunaenda kutafsiri sheria gani mahakamani?
Muajiri anahitaji kukupeleka mahakani ili akutimue? Ni wewe usiporidhika na utimuaji ndio unatakiwa kwenda mahakamani....
Nape ni matunda ya Mzumbe. Kuna wakati hasa mwishoni mwa utawala Mkapa na utawala wote wa Kikwete Mzumbe ilikuwa inatoa digrii za uzamili kama njugu. Wakati huo Mkuu wa Chuo Profesa Warioba alikuwa na PhD ya kununua kwa hiyo hata mahadhiri wa Mzumbe wafanya kama vile kununua PhD na kuzigawa kwa wanafunzi ilikuwa kama kunywa maji tu.Anzeni na Nape
SifahamuSheria inasemaje kuhusu mtu aliyeghushi nyaraka za Serikali?
Tuanzie hapo kwanza!
Sifahamu
Nijuze.
Inatakiwa afungwe Jiwe shingoni na atoswe ziwa lenye kina kirefu zaidi hapa barani Afrika yaani Lake TanganyikaSifahamu
Nijuze.
Wataje la si hivyo acha uzushi na kuendesha mambo kwa hisia utapimwa mkojo na mkemia mkuu!Ukiwa makini na huu Uzi utawajua tu watu wenye vyeti feki au wanufaika wa vyeti feki
Huku mama aliingizwa chaka eti nayo ikawa ni R ya 5 badala 4 akawalipa mabilioni kutahamaki dola hazipo mjini SRG haijakamilika!Waziri mmoja wa Kenya amesema wameamua kuwashughulikia Vyeti Feki kama ilivyofanya Serikali ya Tanzania ila wao wataenda mbele zaidi kwa kuwafikisha mahakamani na kufungwa pamoja na kulipa fidia
Imedaiwa Wizara ya Mambo ya Ndani ndio inaongoza kwa Vyeti Feki
Credit: Citizen TV
Hapa ndipo watu wenye akili timamu kama mimi na wewe ndipo palipotuletea ukakasi na kuliona zoezi lote ni Batili,Tatizo la Magufuli lilikuwa kuendesha zoezi la vyeti fake kiubaguzi.
Kwa mfano wafanyakazi wa vyombo vya ulinzi na usalama hawakuguswa kabisa na inasadikika vyeti fake huko ndiko vimejaa.
Watumishi wengine mpaka kwenye baraza la mawaziri wakuu wa wilaya na mikoa hawakuguswa, zaidi zaidi waliambiwa waendelee kuchapa kazi tu.
Sent from my TECNO CK7n using JamiiForums mobile app
Chancellor au vice chancellor?Nape ni matunda ya Mzumbe. Kuna wakati hasa mwishoni mwa utawala Mkapa na utawala wote wa Kikwete Mzumbe ilikuwa inatoa digrii za uzamili kama njugu. Wakati huo Mkuu wa Chuo Profesa Warioba alikuwa na PhD ya kununua kwa hiyo hata mahadhiri wa Mzumbe wafanya kama vile kununua PhD na kuzigawa kwa wanafunzi ilikuwa kama kunywa maji tu.
Wenzako huko Kenya watafungwa nyie Hapa Bongo Shujaa Magufuli aliwahurumia🐼Shujaa huwa hafi kizembe kwa kupuuza masharti ya kujikinga na korona badala yake akakumbatia ushirikina wa kujifukiza. Korona ikapita naye.
Sasa ushuja wa mshirikina yule uko ktk lipi?
Chancellor ni ceremonial position ambayo haihitaji Ph.D. na wala huwa haiongelewa tunajadili maendeleo ya ChuoChancellor au vice chancellor?
Nilikuwa nazungumzia huyoChancellor ni ceremonial position ambayo haihitaji Ph.D. na wala huwa haiongelewa tunajadili maendeleo ya Chuo
Chancellor ni ceremonial position ambayo haihitaji Ph.D. na wala huwa haiongelewa tunajadili maendeleo ya Chuo
Prof Warioba uliyem-refer kama mkuu wa chuo wakati. Nikataka kujua kama alikuwa ni Chancellor au vice chancellor.Chancellor ni ceremonial position ambayo haihitaji Ph.D. na wala huwa haiongelewa tunajadili maendeleo ya Chuo
Israel alipita na jiwe kwasabb ya dhulma na udikteta wake.Wenzako huko Kenya watafungwa nyie Hapa Bongo Shujaa Magufuli aliwahurumia🐼