Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Mahakamani kufanya nini?Sawa shujaa wa chato aliwatumbua bila kuwapa haki ya kujitetea mahakamani,
Alichokifanya ni uvunjifu wa Sheria kuliko waharifu walichokifanya,
Kiufupi ule ulikua ni uonevu maana nchi inaendeshwa kwa misingi ya sheria na Sio matamko binafsi.
Africa is shithole
Donald Trump.
Mwisho wa kunukuu!
Umethibitika ulidanganya, tunaenda kutafsiri sheria gani mahakamani?
Muajiri anahitaji kukupeleka mahakani ili akutimue? Ni wewe usiporidhika na utimuaji ndio unatakiwa kwenda mahakamani....