Kenya yaanza zoezi la kunyunyiza dawa kote kama juhudi dhidi ya kuzuia kirusi kuenea

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hii ni mojawapo wa jitihada za serikali za kuzuia uenezi wa kirusi cha korona, maeneo yote yatanyunyiziwa dawa, nairai serikali ifanye hata nyumba kwa nyumba.
Pia kuna juhudi za kupokeza bure bila gharana chupa zenye dawa za kuosha mikono almaarufu "hand sanitizers", na pia kuziweka kote mijini.

====

NAIROBI, Kenya, Mar 19 – The Ministry of Health has kicked the fumigation of Nairobi streets as part of measures to contain the spread of coronavirus.

By March 18, Kenya has confirmed seven cases, all imported from the US and UK and on people who came into contact with victims, while more than 20 were quarantined.

A search was underway for 85 people said to have interacted or were in contact with one of the positive case–a woman who escaped Mbagathi Hospital, but was later traced and taken back for treatment.

On Thursday, officials were seen fumigating crowded streets like Tom Mboya and bus stations.

Transport Principal Secretary Charles Hinga on Thursday held a press conference at the Kencom bus station, where he directed matatu operators to always ensure windows are open during trips.

He also urged them to maintain cleanliness on their vehicles, while minimising handling cash.

“We want them to reduce the handling of cash,” he said, adding that mobile communication service provider Safaricom was working on a platform to be used by the transport sector, through M-Pesa.

The telco has already waived fees for transactions for amounts below Sh1000.

Nairobi streets fumigated to combat spread of coronavirus » Capital News
 
Huu.ni.ujanja wa mbuni.kufukia kichwa kwenye mchanga matako.anaacha wazi
Huko Baringo na kericho hakuna wakenya?
 
punguza jazba na wivu.
Nimeuliza tu kamanda,naomba kujibiwa maana hao wananyunyiza Tom Mboya na huyo mkikuyu kaeleza kabisa watagawa hizo dawa za kufuta mikono mijini.kote,huko Oldonyo Sambu itakuaje au hakuna wakenya huko
 
Sasa 'crowded streets' huwa zinapatikana vijijini? Alafu ni wapi PS ametaja 'hand sanitizers' kwenye taarifa hiyo au akasema kwamba jitihada za kupambana na virisu hivyo zitaishia mijini tu? Punguza dose.
 
Pia kuna juhudi za kupokeza bure bila gharana chupa zenye dawa za kuosha mikono almaarufu "hand sanitizers", na pia kuziwouteka kote mijini.
2nd paragraph
 
PS ambaye umemuita mkikuyu amenukuliwa kwenye taarifa ambayo imeandikwa kwa kiingereza sio kiswahili, acha ulofa. Kashifu juhudi za serikali yenu kwenye vita dhidi ya maambukizi ya Corona. Kenya tunajitahidi kivyetu na hayakuhusu. Alafu hata kwenye hiyo sentensi mleta mada amesema kwamba watazigawa bure bila gharama..... na pia zitawekwa kote mijini. Hebu tafuta tafsiri kwa kisukuma, labda hiyo ndio lugha ambayo utaielewa vyema.
 
Safi kabisa hakika inapendeza
Hii ni mojawapo wa jitihada za serikali za kuzuia uenezi wa kirusi cha korona, maeneo yote yatanyunyiziwa dawa, nairai serikali ifanye hata nyumba kwa nyumba.
Pia kuna juhudi za kupokeza bure bila gharana chupa zenye dawa za kuosha mikono almaarufu "hand sanitizers", na pia kuziweka kote mijini.

====

NAIROBI, Kenya, Mar 19 – The Ministry of Health has kicked the fumigation of Nairobi streets as part of measures to contain the spread of coronavirus.

By March 18, Kenya has confirmed seven cases, all imported from the US and UK and on people who came into contact with victims, while more than 20 were quarantined.

A search was underway for 85 people said to have interacted or were in contact with one of the positive case–a woman who escaped Mbagathi Hospital, but was later traced and taken back for treatment.

On Thursday, officials were seen fumigating crowded streets like Tom Mboya and bus stations.

Transport Principal Secretary Charles Hinga on Thursday held a press conference at the Kencom bus station, where he directed matatu operators to always ensure windows are open during trips.

He also urged them to maintain cleanliness on their vehicles, while minimising handling cash.

“We want them to reduce the handling of cash,” he said, adding that mobile communication service provider Safaricom was working on a platform to be used by the transport sector, through M-Pesa.

The telco has already waived fees for transactions for amounts below Sh1000.

Nairobi streets fumigated to combat spread of coronavirus » Capital News

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanatafuta upigaji wa pesa za umma hao jamaa,,,
Kirusi hakiathir africa...
Africa duh
 
Huu.ni.ujanja wa mbuni.kufukia kichwa kwenye mchanga matako.anaacha wazi
Huko Baringo na kericho hakuna wakenya?
Huwa nasoma majibu yako kwenye jukwaa la kisiasa kule, serikali ya Tanzania ikitangaza kufanya kitu kama hiki halafu wapinzani waponde, huwa unakua mkali sana kwao, ila ikitangazwa Kenya huwa unakua wa kwanza kuponda, sijui unawezaje kujibadilisha badilisha.
 
Usifananishe Tanzania na nchi za kikabila,yaani wewe mkikuyu huingii.ofisnii kwa jaluo hata upigwe marungu.Kwetu hatuna ujinga huo
 
Muhimu muwe mnawapa wapinzani wenu uhuru wa kukosoa, jinsi wewe kada unapata raha kukosoa maamuzi ya serikali ya Kenya.
Mumevuja mikono ya wanawake akina Mdee huko kwenu, hamtaki waseme chochote.
 
Umekula matango pori,mdee kaponzwa na usela mavi kutaka kuvamia.gereza.Mbona Esther matiko hayumo
 
Huko kwenu wapinzani mnawaita Corona, ndugu zenu, wananchi wenzenu, raia wa nchi yenu mumewachukia hadi kuwafananisha na kirusi cha corona kisa wana mtazamo tofauti na nyie praise team.

2343581_Screenshot_20200320-205250.png

Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii
 
PS ambaye umemuita mkikuyu amenukuliwa kwenye taarifa ambayo imeandikwa kwa kiingereza sio kiswahili, acha ulofa. Kashifu juhudi za serikali yenu kwenye vita dhidi ya maambukizi ya Corona. Kenya tunajitahidi kivyetu na hayakuhusu. Alafu hata kwenye hiyo sentensi mleta mada amesema kwamba watazigawa bure bila gharama..... na pia zitawekwa kote mijini. Hebu tafuta tafsiri kwa kisukuma, labda hiyo ndio lugha ambayo utaielewa vyema.
Mughoka
 
Back
Top Bottom