Kenya yachukua mkopo mwengine, yapuuza ushauri wa WB wa kuacha kukopa kizembe

Kenya yachukua mkopo mwengine, yapuuza ushauri wa WB wa kuacha kukopa kizembe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Hivi hata $360M kweli serikali ya Kenya inashindwa kutumia pesa yake ya ndani hadi kuomba mkopo wakati deni limekuwa kubwa sana?

Wakenya lazima mjitahidi punguzeni mikopo isiyokua ya lazima, hivi vipesa vidogo ninauhakika mnaweza kuvipata mkijibana, hii tabia ya kupenda kukopa hata kwa miradi midogo inadhalilisha sana nchi yenu.

====
Kenya has secured another KSh 36.2 billion from Japan despite warnings by the World Bank, Central Bank and other international lenders its debt level was becoming unsustainable.

The loan will be used for the first phase of the Mombasa special economic zone development project.

The loan agreement was signed by Treasury Cabinet Secretary Ukur yatani and Chief Representative, Jica Kenya office Katsutoshi Komori on Thursday, February 27.
"The credit will attract an interest rate of 0.1 %, repayment period of 28 years and grace Period of 12 Years. It will be applied for development of special economic zone with the aim of boosting the manufacturing sector in line with the government Big Four Agenda as well as creation of new jobs for Kenya citizens," a statement by the National Treasury said.
The project is expected to enhance container handling capacity at the port of Mombasa.

Source: Tuko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna nchi yenye deni kubwa la mkopo kama Marekani

Kenya imekopa hela ya mboga tu huo sio mkopo
 
Hakuna nchi yenye deni kubwa la mkopo kama Marekani

Kenya imekopa hela ya mboga tu huo sio mkopo
Hahahaha, sema hakuna nchi yenye deni kubwa kama "Mungu wa Kenya", Marekani kwenu ni zaidi ya Mungu, kila mkiona hamna njia ya kujitetea lazima mjilinganishe na Marekani, kwanini WB wasiwaonye Marekani kwamba deni lao halibebeki tena?,

Gari yenye uwezo wa kubeba tani 50 hata ikibeba tani 40, bado haijafikia kikomo, wakati gari la tani 7 ilibeba tani 8 tu ni hatari, wacha kujilinganisha na "Engine" kubwa utapata taabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna nchi yenye deni kubwa la mkopo kama Marekani

Kenya imekopa hela ya mboga tu huo sio mkopo

Waambie bhana waelewe. Kazi ya mabeberu kutisha wengine tu.

Ubaya wa nchi zetu zinaenda kukopa china na japan, bora wakope uingereza, ufaransa, au ujerumani ili at the end wasirejeshe mikopo, wakidai tunawaambia mnarudisha mlivyoiba kwetu.
 
Hahahaha, sema hakuna nchi yenye deni kubwa kama "Mungu wa Kenya", Marekani kwenu ni zaidi ya Mungu, kila mkiona hamna njia ya kujitetea lazima mjilinganishe na Marekani, kwanini WB wasiwaonye Marekani kwamba deni lao halibebeki tena?,

Gari yenye uwezo wa kubeba tani 50 hata ikibeba tani 40, bado haijafikia kikomo, wakati gari la tani 7 ilibeba tani 8 tu ni hatari, wacha kujilinganisha na "Engine" kubwa utapata taabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi tu kuna mdaa tunazoea kulalamika. Kuna kiopindi nilikuwa na rafiki yangu anadaiwa laki mbili tu basi anasimulia kila mtu. Wakati mie nilikopa 20 million. Watu mshazoea kusema mbona Kenya ina madeni ya kawaida sana

Hakuna nchi duniani isiyo kuwa na deni. Ila hilo la Kenya umeona wewe ndio kubwa. Ngoja nikulize, wewe ni mKenya? Au ni shemeji zako tu???
 
Waambie bhana waelewe. Kazi ya mabeberu kutisha wengine tu.

Ubaya wa nchi zetu zinaenda kukopa china na japan, bora wakope uingereza, ufaransa, au ujerumani ili at the end wasirejeshe mikopo, wakidai tunawaambia mnarudisha mlivyoiba kwetu.

Nchi nyingi zinafanya vibaya kiuchumi hata Japan ukiangalia for more than 15 years ma bank yake yako hovyo sana, uchumi wake nao unadorora sana kulingana na uwezo wake

Ila Kenya ndo ameona kunadaiwa hahahah hela yenyewe ya mboga tu. Alafu cha kushangaza analalamika alafu yeye ni mbongo. Anataka achokoze wakenya tu
 
Basi tu kuna mdaa tunazoea kulalamika. Kuna kiopindi nilikuwa na rafiki yangu anadaiwa laki mbili tu basi anasimulia kila mtu. Wakati mie nilikopa 20 million. Watu mshazoea kusema mbona Kenya ina madeni ya kawaida sana

Hakuna nchi duniani isiyo kuwa na deni. Ila hilo la Kenya umeona wewe ndio kubwa. Ngoja nikulize, wewe ni mKenya? Au ni shemeji zako tu???
Tatizo wewe huelewi uchumi wa dunia katika eneo la fedha. Hivi unadhani wewe unaweza kukopeshwa $100M?. Ila Chris Kirubi anakopeshwa hiyo pesa.

Kila nchi inawekewa kiwango chake cha mwisho cha kukopa kulingana na uwezo wa uchumi wake. Kenya imeshapitiliza kiwango chake cha kukopa kulingana na uchumi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa tukuchemshie cocacola ule na ugali.Shenzi type
 
sasa tukuchemshie cocacola ule na ugali.Shenzi type
Bruh....
tenor.gif
 
Argue politely ndugu, acha hasira,joto la jiwe amepost kilichoandikwa,usijiaibishe humu ukadharaulika.
Nugu wa kula Albino,Umeingia humu jana...Stop being some pretentious stupid looking Danganyikan with human faeces in between his ears
 
Vipi kipindi hiki cha mikutano ya BBI, mko na mpango wa kuchinja Jaluo wangapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tribal block voting hatimaye imetinga Tanzania . Hawa wenzetu ambao tumeishi nao mitaani kwa shida na raha wanatugeuka nakujenga kiburi na utengamano. The likes of Gwajima are adviced wasicheze na moto.
 
Back
Top Bottom