Bottas
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 1,817
- 1,142
Interest ni 0.1 tumia akili wewe babuHahahaha, sema hakuna nchi yenye deni kubwa kama "Mungu wa Kenya", Marekani kwenu ni zaidi ya Mungu, kila mkiona hamna njia ya kujitetea lazima mjilinganishe na Marekani, kwanini WB wasiwaonye Marekani kwamba deni lao halibebeki tena?,
Gari yenye uwezo wa kubeba tani 50 hata ikibeba tani 40, bado haijafikia kikomo, wakati gari la tani 7 ilibeba tani 8 tu ni hatari, wacha kujilinganisha na "Engine" kubwa utapata taabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app