Shambaboy jogoli
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 1,223
- 1,627
Ndo shida ya kumfurahisha mzungu, kisa mikopo! Kwisha habari yaoWhy Kenya removed Tanzania from quarantine list
MY TAKE: Someni comments za wakenya hapo chini muone ni jinsi gani wananchi wa Kenya wanavyowazidi akili viongozi wao kwa mbali sana.
Wananchi wengi wa Kenya sasa wanajua ukweli Geopolitics ya EastAfrica, wameacha kudanganywa na viongozi wao pamoja na media zao, sasa wanaijua nguvu ya Tanzania katika East Africa.
Kenya kueleza sababu na wakenya kupinga sababu zilizotolewa na serikali yao ndio kuwatakia wakenya mabaya?Hivi mnasherehekea wakenya kufa au nini. Huu si uchawi huu! Nina rafiki zangu ninasoma nao, kama ingekuwa wewe idea ya wenzako kusherehekea rafiki zako au watu unaowafahamu kupata matatizo au vifo ingejiskiaje? Hacheni uchawi bila ya kujielewa. Tuombeane tu hii situation iishe tuendelee na uhasimu kimaendeleo zaidi.
Mimi nilikuwa navaa sababu ya vumbiKama haikuwa bahati kwetu basi kuna siri nzito nyuma ya covid 19. Maana nikihesabu siku nilizovaa barakoa hazifiki ishirini
Huu mwaka huu [emoji23][emoji23]Babuu na mwamba ndio nani[emoji23]
Jamani jamani, jiulize kwnn media zinazojielewa kenya kuna habari zingine za wanasiasa wetu hulenga
Nimempenda huyu jamaa anayejiita Mark Masumbi, ameandika kwamba:
Kenya had to consider a lot of things
1. KQ has a substantial share of passengers in TZ and ET and KLM were eating into this share by increase number of flights and frequency. Losing TZ market will greatly affect KQ and tourism as most tourists visit both countries.
2. The crisis was affecting the EAC partnership.
3. There are thousands of Kenya businesses operating in Tanzania and over 200,000 Kenyans working in Tz who were also affected
4. Kenya has a good population in Tz and maybe the reports from this group was that although everything in TZ operates in pre-Covid 19, after May/June there are very few suspected deaths or sicknesses reported or witnessed. The hundreds of thousands of Kenyan workers in TZ operates in the same environment and if covid was a serious problem in Tz they would be affected and reported back home the true situation.
Tz is a unique situation on Covid 19 and WHO and other countries should study why they have established covid curve without undertaking any steps apart from prayers
Huyu jamaa anajitambua...
Don't make me double over with laughter, show me the bodies?Its one thing to state you have low infection rate versus stating you free of an infectious virus.
Huyo jamaa kazungumza vizuri Sana, viongozi wa Kenya lazima wajue kwamba muda wa kuwadanganya wakenya umepita, sasa hivi wameamua kusimama kwa kutumia akili zao.
To our surprise, Kenya has listed Tanzania among countries with Low infections rate and allowed Tanzania to move freely while are in Kenya territory [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]In May 2020, the genius magafuli dismissed the head of Tanzania’s national laboratory. who was in charge of COVID-19 testing. He then declared tanzania was covid 19 free.
How did he test the whole population of TZ (56m +)for covid 19 and found out it was free of covid 19.
Magafuli accomplished something no other country has managed to. He tested 56 million people in one day for covid 19.
Its one thing to state you have low infection rate versus stating you free of an infectious virus.
Hawakufikiria kabisa kwamba tungezuia ndege zao, wao walidhani na sisi tutalipiza kwa kuwaweka karantini abiria wanaotokea Kenya, hilo walikuwa wameshajiandaa nalo, sisi tukaamua kupiga "upper cut"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pili: anapisema kuwa iyo ishu ilikuwa ina affect EAC ni mwongo, naona anapetipeti wakwe zake fala huyu. This issue didn't affect EAC, it affected Kenya and Kenyans aka KUNYALAND. Tanzania is in the best geographical position to be affected whatsoever but Kenya was losing big time and to make the matters worse ni increased airline frequency by other operators ndo ikawafanya wapatwe nyege zaidi na kumsalimu amri kwa mumewao baada yakujifanya mwanamke mwenye kiburi wakati anamtegemea mumewake lazma akubadi kuwa chini ya mumewe kama kawaida yao. DON'T SAY TZ HAD SOMETHING TO LOSE UNLESS YOU HAVE THE FACTS OTHERWISE NOT RESEARCH, NO RIGHT TO SPEAK
Kwa sababu hana sifa za kuwa na akili,mbishi wa haja ata kama kuna facts.sio mfano wa kuigwaAtabaki mk 254 tu sababu yule hana akili
Ogopa sana mtu akizikamata kende zako vizuri lazima utatii tuuTo our surprise, Kenya has listed Tanzania among countries with Low infections rate and allowed Tanzania to move freely while are in Kenya territory [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]