Kenya yaendelea kuthibitisha kwamba si nchi usalama, Tajiri wa kizungu auliwa kinyama

Mdude yuko wapi
 
Mdude yuko wapi
Hahahaha, Mdude ndio nani tena?, sisi tunakuletea habari za Leo Leo ambazo hutokia kila siku huko Kenya. Hii ndio sababu Forbes imeiweka Kenya ni namba 7 katika nchi hatari zaidi duniani, kwa mwendo huu ni wazi " next report" Kenya itapanda hadi namba 2 " watch my words".
 
Hahahaha eti "HAKUJUA KM ANAWEKEZA KWENYE NCHI HATARI SANA DUNIAN NA KIBAYA ZAIDI HAKUJUA KM ANAMUOA MMAMA WA KABILA KATILI ZAIDI HAPA AFRIKA MASHARIKI NA KATI".
Bro unanifurahishaga sometimes!!!!!
Ila huyo mkikuyu kwa ukatili wao itakua kachangia kumtanguliza mbele za haqqi.
Maana kuna maumivu ya talaka na kuna kitu kinaitwa maslahi na HAKUNA WATU WANYAMA WANAOTHAMINI MASLAHI KULIKO UTU KM VILE WAO SIO WATU NA KUFANYIA WENZAO UNYAMA KINYUME NA UTU KM WAKENYA.
Dah hawa jamaa hata siwakubaligi.
Pole yake Yesu amuokoe na adhabu ya kaburi aendako.
 
Is it true that you are the SI UNIT OF STUPIDITY? Can't believe it
Cc: eliakeem
Umesikia tony alivyo niambia kuusu wewe kukataa kunipa kampani ya kunitembeza NAII eti anasema nikushawishi Kwa chapo mnapenda sana chapo ? Eti nikununulie chapo 6 morning 6 nyingine afternoon and another 6 chapo evening hapo lazima utakubali .kumbe wakenya mnapenda kula hivyo!!!
 
Hili jitu la kishetani kazi yake tu ni kila siku kutafuta "evil news" za Kenya .Gotta wonder how vile ,evil and dark hearted this guy really is.
Nyie endeleeni kujifurahisha na past stories.
Hayo mambo tushayasahau sie ila ninyi ukatili unatokea frequently.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…