Kenya yaendelea kuthibitisha kwamba si nchi usalama, Tajiri wa kizungu auliwa kinyama

Kenya yaendelea kuthibitisha kwamba si nchi usalama, Tajiri wa kizungu auliwa kinyama

Byda..kwn alipatikana...manake ccm haswa
Hahahaha, Mdude ndio nani tena?, sisi tunakuletea habari za Leo Leo ambazo hutokia kila siku huko Kenya. Hii ndio sababu Forbes imeiweka Kenya ni namba 7 katika nchi hatari zaidi duniani, kwa mwendo huu ni wazi " next report" Kenya itapanda hadi namba 2 " watch my words".
 
Km mombasa kuna slums basi dar tusemeje jamani..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..si zile za dar zitakosa majina
Yupo Kwa slum za Mombasa Bangladeshi slum
 
Last 2 weeks zaidi ya watu mia walikufa Afghanistan juu ya terrorism hadi Trump akacancel peace agreement na Taliban. Watu wangapi Kenya walikufa last week juu ya police shotings?
Kuna baadhi ya nchi duniani, huwa haziingizwi katika hizi researches kwasababu hata mazingira hayaruhusu hao watafiti kwenda kufanya hizo researches.
 
That guy wishes he was a Kenyan. Yaani alikuwa anawatch hii kitu live at the same time yenye sisi huku Kenya pia tunaiwatch live. Lazima ako na Dstv kutazama vipindi vya Kenya halafu anatutusi kila siku.
Sio "ako" sema "atakuwa na kisimbuzi cha DSTV"

Mnatuharibia lugha si bora muendele kuongea ki-kikuyu ebooh!!
 
Sio "ako" sema "atakuwa na kisimbuzi cha DSTV"
Mnatuharibia lugha si bora muendele kuongea ki-kikuyu ebooh!!
Lol.. Si mtakuja kujitia kitanzi siku moja kwa sababu ya hii lugha 'yenu' kuharibiwa.
Hebu tuthibitishie kwamba mnaimiliki kama hutojali
 
Most dangerous cities in Africa, Again Nairobi among top ten.
You can't be rich and soft. The richer you get, the more dangerous you become. That's why South Africa is dangerous.
 
Sio "ako" sema "atakuwa na kisimbuzi cha DSTV"

Mnatuharibia lugha si bora muendele kuongea ki-kikuyu ebooh!!

Wewe ndiye huelewi lugha. Yaani hivi hujui kwamba 'ako' ni neno sahihi la Kiswahili?

Kisha ni 'muendelee' sio 'muendele'.
 
Wewe ndiye huelewi lugha. Yaani hivi hujui kwamba 'ako' ni neno sahihi la Kiswahili?

Kisha ni 'muendelee' sio 'muendele'.
Hakuna neno "ako" ktk kiswahili mnatuharibia lugha kijana.
Msituharibie lugha yetu.
Nitajie mzizi wa hilo neno "ako".
 
This is the MOST dumbest comment ive ever ever read.. how is Rich connected to dangerous?? Hahaha you are as dumb as hell. How many countries in the world are rich en safe, en how many countries are poor en dangerous like kenya? Some places in middle east and Africa are the most dangerous in the world en they are very poor. Eti kenya ni Rich!! [emoji23][emoji23][emoji23] then there is a new definition of rich
You can't be rich and soft. The richer you get, the more dangerous you become. That's why South Africa is dangerous.
 
This is the MOST dumbest comment ive ever ever read.. how is Rich connected to dangerous?? Hahaha you are as dumb as hell. How many countries in the world are rich en safe, en how many countries are poor en dangerous like kenya? Some places in middle east and Africa are the most dangerous in the world en they are very poor. Eti kenya ni Rich!! [emoji23][emoji23][emoji23] then there is a new definition of rich
You're dumber than the comment.
Sorry 🙇
 
You can't be rich and soft. The richer you get, the more dangerous you become. That's why South Africa is dangerous.
That's why people are killed in South Africa and Kenya like flies
Japan, Norway, UK, Germany, China, Singapore, Qatar, Dubai and like, they feed you every year, still are among the most peaceful counties on Earth.
 
Hilo la wanandoa kuuana ili mmoja arithi mali peke yake sio suala la Kenya pekee, hata Tanzania hutokea.

Vv
 
Kuna raia aliuwa mke wake Kigamboni juzi juzi hapa akamzika kwenye shamba lake Mkuranga...hilo tukio linafanana tu na la huyu mkenya
 
Umesikia tony alivyo niambia kuusu wewe kukataa kunipa kampani ya kunitembeza NAII eti anasema nikushawishi Kwa chapo mnapenda sana chapo ? Eti nikununulie chapo 6 morning 6 nyingine afternoon and another 6 chapo evening hapo lazima utakubali .kumbe wakenya mnapenda kula hivyo!!!
Tony Kroos au Tony254 wa jamii forums.? Kakulaghai
 
You need to get the point wote wameua genius, they commited a similar crime despite the different motives
Sawa kak ila ujue yule wa kigamboni usikute alikua anachepuka kweli ndio maana mme akamfyekelea mbali.
Wanawake mtihan ndugu usikute jamaa hasira zimempanda kwasababu mke alikua anahonga pesa za mboga kwa mchepuko.
Unakumbuka na ile habar ya hap hap Dar jamaa kampiga mkewe mpk kumuua japo hakudhamiria kuua na wala hakutumia silaha kwasababu mke kapewa hela ya kula akaacha watoto njaa yeye akaenda kukesha bar????
Asa hayo ndio yanafanana.
Ila huyu mkumbafu katili kutoka ktk kabira la kikatili Africa la kikuyu ameua kisa ulafi tu wa mali.
Kudadake sidate ht na mkenya kwa staili hii.
Asa nimepata jibu kwann wachaga nao makatili kwa wame kisa mali ni kwasababu wamepakana na hawa ng'ombe pori wa kikenya.
 
Sawa kak ila ujue yule wa kigamboni usikute alikua anachepuka kweli ndio maana mme akamfyekelea mbali.
Wanawake mtihan ndugu usikute jamaa hasira zimempanda kwasababu mke alikua anahonga pesa za mboga kwa mchepuko.
Unakumbuka na ile habar ya hap hap Dar jamaa kampiga mkewe mpk kumuua japo hakudhamiria kuua na wala hakutumia silaha kwasababu mke kapewa hela ya kula akaachwa watoto njaa ye akaenda kukesha bar????
Asa hayo ndio yanafanana.
Ila huyu mkumbafu katili kutoka ktk kabira la kikatili Africa la kikuyu ameua kisa ulafi tu wa mali.
Kudadake sidate ht na mkenya kwa staili hii.
Asa nimepata jibu kwann wachaga nao makatili kwa wame kisa mali ni kwasababu wamepakana na hawa ng'ombe pori wa kikenya.
Mwanamke mgani anaweza penda kudate masikini kama wewe?
 
Back
Top Bottom