komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Byda..kwn alipatikana...manake ccm haswa
Hahahaha, Mdude ndio nani tena?, sisi tunakuletea habari za Leo Leo ambazo hutokia kila siku huko Kenya. Hii ndio sababu Forbes imeiweka Kenya ni namba 7 katika nchi hatari zaidi duniani, kwa mwendo huu ni wazi " next report" Kenya itapanda hadi namba 2 " watch my words".