Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Vema sio kiswahili sanifu. Tumia neno "vyema".Isome sentensi vema.
Kuna maeneo ya kutumia hiko na hicho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vema sio kiswahili sanifu. Tumia neno "vyema".Isome sentensi vema.
Kuna maeneo ya kutumia hiko na hicho.
Hakuna vyema hiko ni kiswahili cha kenya kuna vema.Vema sio kiswahili sanifu. Tumia neno "vyema".
Kama vyema sio neno la kiswahili basi mbona ukienda online utype vyema unapata list ndefu ya matumizi ya neno hilo? Kwa mfano tazama hapa maneno yaliyo na rangi iliyokolea:Hakuna vyema hiko ni kiswahili cha kenya kuna vema.
Kataa usikatae msamiati sahihi ni vema sio vyema labda vyema ni msamiati wa kiswahili cha Kenya.
Kama vyema sio neno la kiswahili basi mbona ukienda online utype vyema unapata list ndefu ya matumizi ya neno hilo? Kwa mfano tazama hapa maneno yaliyo na rangi iliyokolea:
Matokeo ya utafutaji
Tafuta
Results 1 – 20 of 172
Je, ulitaka kutafuta: vyama
- Umbo
ambayo ni maumbo na nyuso za gorofa; Ellipsoids, ambayo ni vitu vyema vya yai au vyema; Mitungi; Na mbegu. Ikiwa kitu kinaanguka katika moja ya makundi
2 KB (maneno 186) - 15:12, 20 Julai 2019- Jamii
upendo: watu wakipendana huweza kuishi na kujenga jamii bora, hivyo ni vyema watu wa sehemu husika wapendane ili waweze kujenga jamii ya namna hiyo.
1 KB (maneno 107) - 09:55, 27 Mei 2019- Vihisishi
wa maneno hayo ni loo!, ebu!, la asha! n.k. Kila kihisishi huweza kuibua hisia mahususi. kwa hiyo ni vyema kutumia kihisishi kinachofaa. Lango:Lugha
513 bytes (maneno 61) - 14:11, 26 Aprili 2016- Uislamu nchini Madagascar
Uislamu umeanzishwa vyema katika nchi ya leo ijulikanayo kama Madagaska. Kwa karne na karne na leo hadi leo hii Waislamu nchini humo wanawakilisha karibia
1 KB (maneno 75) - 12:04, 2 Julai 2016- So Sick
ilifanya vyema katika chati za muziki duniani, kwa kufikia namba moja katika Marekani na Uingereza. Na pia ndiyo kibao pekee cha Ne-Yo kilichofanya vyema dunia
3 KB (maneno 150) - 16:49, 10 Desemba 2015- Dancehall
ujumla. Aina hii ya muziki ilianza mwishoni mwa miaka ya 1970 na kuendelezwa vyema katika miaka ya 1980 na kuja kutambulikana ulimwenguni kote kwenye miaka
2 KB (maneno 75) - 12:09, 7 Oktoba 2017- Amasya
baridi mno, na pia inasemekana kuwa kuna baadhi ya mazao huko huwa yanastawi vyema. Mazao hayo ni pamoja na mitufaha, ambayo imeisabibishia mkoa wa Amasya
2 KB (maneno 159) - 16:53, 9 Machi 2013
Weka evidence kutoka source fulani kama nilivyofanya kuonyesha neno "vyema" inatumika na waandishi wengi. Usinimwagie hapa utumbo kutoka tumboni mwako bila evidence.Kiswahili vema
Ufafanuzi wa vema katika Kiswahili
vema
KIELEZI
Matamshi
vema /vɛma/
Duh siku hz akili zinakaa tumboni??!!!!Weka evidence kutoka source fulani kama nilivyofanya kuonyesha neno "vyema" inatumika na waandishi wengi. Usinimwagie hapa utumbo kutoka tumboni mwako bila evidence.
Nimetype vema katika hilo kamusi ikaniletea vyema. Imesena "vyema" ni kielezi au adverb. Kwa hivyo hamna neno vema katika hilo kamusiDuh siku hz akili zinakaa tumboni??!!!!
Kiswahili vemaOxford's Language Communities | Oxford Languages
Oxford Languages runs a global community-led initiative to develop data in all the world's major languages. Find out more here.sw.oxforddictionaries.com
Ufafanuzi wa vema katika Kiswahili
vema
KIELEZI
Matamshi
vema /vɛma/
Kwan mm hilo neno vema nimelitoa wapi????Nimetype vema katika hilo kamusi ikaniletea vyema. Imesena "vyema" ni kielezi au adverb. Kwa hivyo hamna neno vema katika hilo kamusi
We Jane kaaa muda mwingne uwe unatumia kichwa kaaa unafananisha tz na Kenya kaaaaHakuna mauaji na watoto na walemavu wa ngozi huchinjwa kama kuku? Kenya is 'more heaven' than Tanzania
Hili jitu la kishetani kazi yake tu ni kila siku kutafuta "evil news" za Kenya .Gotta wonder how vile ,evil and dark hearted this guy really is.
Wewe ndiye huelewi lugha. Yaani hivi hujui kwamba 'ako' ni neno sahihi la Kiswahili?
Kisha ni 'muendelee' sio 'muendele'.
Hunijui sikujui.
Halafu sidatigi na nywele vipilipili km nyie nyang'au kumbafu zenu.
Siwez date na wanawake makatiri,wabaya Sura za mwaikibaki,weusi km uvungu wa p*mbu na masikini wenye tamaa ya mali km nyie wakenya.
MM NISHAOA MZANZIBAR MSHIRAZ wale wazenji wenye asili ya Oman na ndugu zao km,wote wako Oman na Abudhabi, unataka nikuoneshee??!!!!!
Napikiwa wali wa nazi,naogeshwa maji ya iriki,nanyweshwa urojo nalishwa chapati za mayai zilizochanganywa na nyama ya kusaga.
MKENYA ANAYAWEZA HAYA!!!!?????
MKUMBAFU MKUBWA!!!
Nachukia mtu anidhihaki mm maskini ilhali hanijui.
Huyo askari hapo katika picha alihukumiwa kifungo cha miaka 15 jela, kwa uzembe uliosababisha kifo cha mtu mmoja https://zakwetuinfo.blogspot.com/2016/07/askari-aliyemuua-mwangosi-afungwa-miaka.html?m=1
Wewe onyesha wale 2000 waliouliwa katika PEV 2007, askari wangapi walishitakiwa?
Jamaa wakenya hujifanya wajuaji sana.
Halafu mm ubavu wa ubishi sina kheri nikae kimya.
HAKUNA NENO KAENDE LABDA NI KTK MISAMIATI YA KIKENYA.
KWAHERI.
Hakuna vyema hiko ni kiswahili cha kenya kuna vema.
Kataa usikatae msamiati sahihi ni vema sio vyema labda vyema ni msamiati wa kiswahili cha Kenya.
Nimemletea kamusi ya kiswahili ioneshayo neno vema au hukupitia kule??We jamaa kumbe hujui kiswahili..vema..heheee cc. Tony254
View attachment 1209323
Kuna hiko kuna hicho yote ni misamiati hutumika kulingana na muktadha husika."Embu" na "hiko" ni nn tena jamani[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Kuna hiko kuna hicho yote ni misamiati hutumika kulingana na muktadha husika.
Nimemletea kamusi ya kiswahili ioneshayo neno vema au hukupitia kule??
Pole yako