Kenya yaendelea kuthibitisha kwamba si nchi usalama, Tajiri wa kizungu auliwa kinyama

mnavyotojadili huu uzi ni kama Tanzania na Kenya ni maadui wakubwa wakati juzijuzi tumeshuhudia Kenya wakirudisha dhahabu na fedha zilizoibiwa Tanzania.
East Afrika ni moja na sisi ni ndugu ndio maana kuna wajaruo na wamasai nchi zote
Kojoa ukalale
 
That guy wishes he was a Kenyan. Yaani alikuwa anawatch hii kitu live at the same time yenye sisi huku Kenya pia tunaiwatch live. Lazima ako na Dstv kutazama vipindi vya Kenya halafu anatutusi kila siku.
Vichannel vyenu viko cheap siyo lazima Dstv, ata ukiwa na antenna ya panzi unavipata.
 
Kenya is among of top 10 dangerous countries in the world [emoji32]!!!? Pls give us a source of this fact....
 
Hahahaha, hahahaha, Nina uhakika wewe sio miongoni mwa hilo kabila.

Mambo vipi hapo Nairobi?
Although most visits to Tanzania are trouble-free, violent and armed crime is increasing. Take sensible precautions to protect yourself and your belongings.
Ni noma Buda hapa Nai Mtanzania atachanganyikiwa afikiri Yuko Ulaya😂😂😂
 
That guy wishes he was a Kenyan. Yaani alikuwa anawatch hii kitu live at the same time yenye sisi huku Kenya pia tunaiwatch live. Lazima ako na Dstv kutazama vipindi vya Kenya halafu anatutusi kila siku.
Imagine hata mimi niko Kenya na sijawatch kwa TV, nimeiona tu Facebook yet yeye anawatch life. Kweli Kenya is the USA of East Africa.
 
Yet richer than your coward state.

Kenya GDP 2019 - $100 billion
Tanzania GDP 2019 - $60 billion
Most dangerous cities in Africa, Again Nairobi among top ten.
 
Richer but you kill each other like Afghanistan, no one is sure of tomorrow, which is better?
Hio ni uwongo. Afghanistan ni war zone. How dare you compare Kenya to a war zone. Afghanistan is worse than Somalia. Hata kama ni chuki
 
Hio ni uwongo. Afghanistan ni war zone. How dare you compare Kenya to a war zone. Afghanistan is worse than Somalia. Hata kama ni chuki
When it comes to police killings and extra judicial killings, Kenya tops the list in Africa.https://www.nation.co.ke/news/Kenya-top-Africa-police-shootings/1056-3824890-1183k27/index.html

Sina chuki na Kenya, ninataka kuwa onyesha mambo ya msingi mnapaswa kuyashughulikia, sio vitu mnavyoshabikia ambavyo sio muhimu kwa sasa
 
Last 2 weeks zaidi ya watu mia walikufa Afghanistan juu ya terrorism hadi Trump akacancel peace agreement na Taliban. Watu wangapi Kenya walikufa last week juu ya police shotings?
 
Na pia ikaiweka somalia kuwa nchi salama zaidi kuliko kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…