MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Rais mpya wa Burundi hata msibani kule Chato hakuhudhuria.
Hehehe!! Huyo rais mpya hataki kujiunga kwenye huo ujuha, alitia akili, na akina Museveni na Kagame hawataki mzaha walikaa mbali....
Corona haijui cha urais wala nini, inafagia wote ukiichukulia poa unajifanya komando.
Inatia huruma kuona bado kuna Watanzana wanaamini chanjo imebuniwa kuwadhuru wao pekee yao duniani.