Kenya yafikiria kurejesha chanjo Urusi

Rais mpya wa Burundi hata msibani kule Chato hakuhudhuria.

Hehehe!! Huyo rais mpya hataki kujiunga kwenye huo ujuha, alitia akili, na akina Museveni na Kagame hawataki mzaha walikaa mbali....
Corona haijui cha urais wala nini, inafagia wote ukiichukulia poa unajifanya komando.
Inatia huruma kuona bado kuna Watanzana wanaamini chanjo imebuniwa kuwadhuru wao pekee yao duniani.
 
Maana nyuzi zimerindima za Watanzania za kuponda chanjo, ilhali duniani watu mamilioni wanaendelea kuchanjwa.
Corona mlisema imebuniwa kuwakwamisha kiuchumi, sasa chanjo mnasema ipo ili iwazuie Watanzania kuzaa hehehe
Ila mkuu chanjo inaweza kukaa kibiashara mda mwingine maana hao watu hawaeleweki aisee
 
Yaani wakenya wanavyojidai na ni hii Corona utadhani inawapa umaarufu duniani

Viongozi wao wameikumbatia sababu ni kichochoro kizuri cha kupigia hela za misaada na kuchukulia mikopo ya kila aina

Kajamba nani wapo migandaoni wakishangiliaa na kufurahia wakiungwa mikono na keyboard warriors wa kitanzania wasiojua unyumbu wao unawaumbua

Hapo mkoloni wa kichina kipitia boss lao kapiga marufuku dawa ya mrusi viguinea pigs vinachekeleeeaaaaa
 
Hahahahahahaha ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ wakenya bhana
 
saa hizi wameondoa lockdow uk yote.

maisha bila maono ni kukata tamaa,rip magufuli.
 
sisi kama waafrica wengine tunaacha kwanza viherehere yawakute tujue tunashika wapi.

vipi wahanga 200 wanaendeleaje??
 
sisi kama waafrica wengine tunaacha kwanza viherehere yawakute tujue tunashika wapi.

vipi wahanga 200 wanaendeleaje??
Kweli mkuu ngoja watest kwanza wao
 
Ila mkuu chanjo inaweza kukaa kibiashara mda mwingine maana hao watu hawaeleweki aisee

Of course chanjo ni biashara, hautegemei mtu ahangaike kutengeza vyote hivyo kisha akuletee bure ilhali dunia yote watu wanapigana vikumbo wakiifuata. Hata chanjo ambazo huwa mnazikubali huko kama vile dhidi ya homa ya njano n.k. Zote kuna watu wameingia gharama hivyo lazima zilipiwe.
Hata hayo mavitu huwa mnafanya huko sijui kujifukiza, sidhani kama mnapewa viungo au recipe yake bure.
 
sisi kama waafrica wengine tunaacha kwanza viherehere yawakute tujue tunashika wapi.

vipi wahanga 200 wanaendeleaje??

Huku mkiendelea kupoteza viongozi kwa ukijenketile wenu na ujuha, ni nyie tu dunia mumepoteza rais.....mumejitakia misiba
 
๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Huku mkiendelea kupoteza viongozi kwa ukijenketile wenu na ujuha, ni nyie tu dunia mumepoteza rais.....mumejitakia misiba

we mkun kweli kweli.

kwahiyo sababu kuharisha wanakufa walala hoi pekee hapo kenya,basi hamna shida kushughulikia ugonjwa huo.

ila corona sababu itaua na viongozi basi mnalowana makalio???
 
we mkun kweli kweli.

kwahiyo sababu kuharisha wanakufa walala hoi pekee hapo kenya,basi hamna shida kushughulikia ugonjwa huo.

ila corona sababu itaua na viongozi basi mnalowana makalio???

Hehehe!! Hapo umeguswa ndipo penyewe nilipokusudia, sio kwa matusi yote hayo.
 
Mkuu Boris kaponea tundu la sindano halafu unasema habari za kuwahi mapema,binafsi mie nilidhani hachomoki labda useme tu huduma tu aliyokuwa anapatiwa ndio iliyomsaidia.
 
Kwani we umenielewa vp mkuu?
 
Mkuu Boris kaponea tundu la sindano halafu unasema habari za kuwahi mapema,binafsi mie nilidhani hachomoki labda useme tu huduma tu aliyokuwa anapatiwa ndio iliyomsaidia.

Pia inategemea imekukuta katika hali gani, kuna baadhi ya hawa viongozi wana makitu kwenye miili yao inasubiri kiberiti tu.....

Lakini corona ukiigundua mapema kabla haijapenya, una uwezo wa kuipiga, maelezo mengi yametolewa kuhusu hili, hata huko kufukiza huwa mnafanya, ukiwahi kufukiza kabla haijatua kwenye mapafu unaweza ukaichomoa, ila ikishafika huko basi ni wewe na Mungu wako.
 
Wewe umekazania kuwahi tu kwahiyo Boris alichelewa au aliwahi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ