Kenya yafunga mipaka ikiwemo wa Namanga, ila upande wa Tanzania bado wanapokea wageni

Kenya yafunga mipaka ikiwemo wa Namanga, ila upande wa Tanzania bado wanapokea wageni

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kenya imefunga mipaka yake kote ikiwemo mpaka maarufu wa Namanga, ila majirani Tanzania wao wako freshi wanapokea wageni huku wakitumia vipima joto. Uganda nao wamechukua tahadhari na kufunga shule zote licha ya kwamba hawaa kesi yoyote ya Corona, wametumia akili kwa kujifunza kutokana na ujinga wa kwetu wengine.

----------

Residents of northern regions started to feel more heat of coronavirus on Wednesday, March 18, 2020 as Kenya closed the common border with Tanzania.

The busy border was no longer facilitative to Tanzanians heading into the neighbouring country as they were turned off by the Kenyan Immigration officers.

"The ban of Tanzanians getting into Kenya is not only for Namanga but has been effected in other border posts,” an Immigration officer told The Citizen at the border yesterday.

Covid-19 bites Tanzanians more as Kenya closes border
 
Banana Republic Utatuweza basi...!!! Sisi tuna deal na Mbowe tuuuu
 
Akili Ni kufanya kama walivyofanya China, ingia karantini kwa siku kumi na nne kwa gharama zako ukitoka uko endelea na michongo yako...kufunga mipaka baada ya kuukwaa ni usenge tu hauna maana yyte

Sent using Jamii Forums mobile app

Karantini kwa watu wa kiwango cha kati inawezekana ila sio kwa mission town ambao kipato cha kila siku huishia kwenye matumizi ya siku hiyo hiyo. Kule China ilikua rahisi maana serikali ilizunguka nyumba kwa nyumba ikiwapa namna ya kuishi, hapo Dar uzuie asitoke mtu ndio utakoma.
 
Sisi tanzania tunatambua fika huo ni ugonjwa wa mafua makali tu.

Ni ugonjwa wa kwenda duka la dawa na kununua panadol ukapona.

Hivi virusi kwa sisi watu weusi ni kauginjwa ka muda tu..

.huyo isabella anadunda tu mpaka saivi

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna mama mbunge wa kule Burkina Faso ameaga dunia, kirusi kimempiga chini hivyo hamna cha weusi wala waarabu, kiama kimtufikia.
 
Kwa watu wa chini watahudumiwa na serikali sababu hata matumizi yao yakawaida c makubwa
Karantini kwa watu wa kiwango cha kati inawezekana ila sio kwa mission town ambao kipato cha kila siku huishia kwenye matumizi ya siku hiyo hiyo. Kule China ilikua rahisi maana serikali ilizunguka nyumba kwa nyumba ikiwapa namna ya kuishi, hapo Dar uzuie asitoke mtu ndio utakoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Korona bado haija ua ngozi nyeusi..Wabongo endeleeni na biashara, huku kenya mnajua tuna penda kuiga ya mabeberu ila mimi sina upuuzi huo..Nipo klabu ya "Garage" Thika town kenya na bugia machozi ya simba.

Watanzania waliopo kenya msiondoke kabla ya kupitia bata ya "garage" Thika town - Kila aina ya raha ipo tena ya kukata na shoka
 
Utakua umetolewa out leo ndo maana unaona hamna sehem ya starehe zaidi ya hapo unatama uweke na picha
Korona bado haija ua ngozi nyeusi..Wabongo endeleeni na biashara, huku kenya mnajua tuna penda kuiga ya mabeberu ila mimi sina upuuzi huo..Nipo klabu ya "Garage" Thika town kenya na bugia machozi ya simba..
Watanzania waliopo kenya msiondoke kabla ya kupitia bata ya "garage" Thika town - Kila aina ya raha ipo tena ya kukata na shoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakua umetolewa out leo ndo maana unaona hamna sehem ya starehe zaidi ya hapo unatama uweke na picha

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa wewe umenipata kama na ondoka kuelekea kumpea "sweetheart" haki yake...🍆🍆🍆 Ila hapa chini ona picha ya "garage" Thika town..Na kwa wale ambao wahaamini kwamba mimi mkenya... Kafrican @kevin85fiy pingli-nywee Tony254 Sinister na wengineo..leo wajue nipo "Garage" Thiika town nikibigugia mali ya kwangu..
See attached
1. "Garage -Thika town
2. Gari langu..Mitsubishi evolution X (330 hp Turbo intercooled - Nguvu ya farasi 330) Kb..469 - kenyan registration
Geza Ulole Bantugbro
tmp-cam--1906149956.jpg
tmp-cam--1089032928.jpg
tmp-cam--1906149956.jpg
tmp-cam--1089032928.jpg
 
Back
Top Bottom