Kenya yafunga mipaka ikiwemo wa Namanga, ila upande wa Tanzania bado wanapokea wageni

Kenya yafunga mipaka ikiwemo wa Namanga, ila upande wa Tanzania bado wanapokea wageni

Swahili Times

@swahilitimes

·

5h

Mwanaume mmoja mkazi wa Kibundani katika Kaunti ya Kwale nchini Kenya amefariki dunia baada ya kupigwa na kundi la watu wakimtuhumu kuwa na Coronavirus. Mpaka sasa hakuna aliyekamatwa kutokana na tukio hilo.

[https://pbs]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Korona bado haija ua ngozi nyeusi..Wabongo endeleeni na biashara, huku kenya mnajua tuna penda kuiga ya mabeberu ila mimi sina upuuzi huo..Nipo klabu ya "Garage" Thika town kenya na bugia machozi ya simba..
Watanzania waliopo kenya msiondoke kabla ya kupitia bata ya "garage" Thika town - Kila aina ya raha ipo tena ya kukata na shoka
Fatilia vizuri Burkina Faso
 
Sasa wewe umenipata kama na ondoka kuelekea kumpea "sweetheart" haki yake...[emoji533][emoji533][emoji533] Ila hapa chini ona picha ya "garage" Thika town..Na kwa wale ambao wahaamini kwamba mimi mkenya... Kafrican @kevin85fiy pingli-nywee Tony254 Sinister na wengineo..leo wajue nipo "Garage" Thiika town nikibigugia mali ya kwangu..
See attached
1. "Garage -Thika town
2. Gari langu..Mitsubishi evolution X (330 hp Turbo intercooled - Nguvu ya farasi 330) Kb..469M - kenyan registration
Geza Ulole BantugbroView attachment 1392374View attachment 1392378View attachment 1392374View attachment 1392378
Mkuu hata mm ckuwa naamini kwmb ww ni mkenya mana kwa sindano unazowadungaga kina MK254 lazima wakuvue uraia[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa na diabetes yule

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndivyo ilivyo hata kwa wanaokufa Ulaya, inawakuta wakiwa na matatizo mengine ya kiafya, nimewahi kuumwa Dengue, ile unaambiwa hamna dawa ya kuiponya, you need to survive its lifespan of two to three weeks.
Sasa isikukute unaumwa kitu kingine chochote, na pia unywe maji mengi na kubaki ndani muda wote usiambukize au hata mwenyewe kuambukizwa zaidi.
 
Sasa wewe umenipata kama na ondoka kuelekea kumpea "sweetheart" haki yake...🍆🍆🍆 Ila hapa chini ona picha ya "garage" Thika town..Na kwa wale ambao wahaamini kwamba mimi mkenya... Kafrican @kevin85fiy pingli-nywee Tony254 Sinister na wengineo..leo wajue nipo "Garage" Thiika town nikibigugia mali ya kwangu..
See attached
1. "Garage -Thika town
2. Gari langu..Mitsubishi evolution X (330 hp Turbo intercooled - Nguvu ya farasi 330) Kb..469M - kenyan registration
Geza Ulole BantugbroView attachment 1392374View attachment 1392378View attachment 1392374View attachment 1392378
kongole mzee! umpe vitu vya maana shemegi!
 
Ndio hii hii sababu watu wa chini hata vyakula vyao vya kawaida tu Kama bweni tu mchana ugali ucku wali

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa taifa maskini kama Tanzania haina jeuri hiyo ya kuwalisha nyie mamilioni ya maskini au watu wa kiwango cha chini cha kipato ambapo kwa Tanzania mko 70%, eti mkae nyumbani malori yawe yanapita kila siku na msosi, ikikumbukwa mpaka leo kuna wakulima wa korosho bado wanazinguliwa hela yao, wanateseka wakifuata fuata, ile ni haki yao waliifanyia kazi.
Kule kwa kina Trump hilo linawezekana, sema Wamarekani kinachowaponza raia wao wabishi sana akiambiwa abaki ndani hafuati maagizo.
 
Kenya imefunga mipaka yake kote ikiwemo mpaka maarufu wa Namanga, ila majirani Tanzania wao wako freshi wanapokea wageni huku wakitumia vipima joto. Uganda nao wamechukua tahadhari na kufunga shule zote licha ya kwamba hawaa kesi yoyote ya Corona, wametumia akili kwa kujifunza kutokana na ujinga wa kwetu wengine
Napendekeza muufunge milele
 
Sasa wewe umenipata kama na ondoka kuelekea kumpea "sweetheart" haki yake...🍆🍆🍆 Ila hapa chini ona picha ya "garage" Thika town..Na kwa wale ambao wahaamini kwamba mimi mkenya... Kafrican @kevin85fiy pingli-nywee Tony254 Sinister na wengineo..leo wajue nipo "Garage" Thiika town nikibigugia mali ya kwangu..
See attached
1. "Garage -Thika town
2. Gari langu..Mitsubishi evolution X (330 hp Turbo intercooled - Nguvu ya farasi 330) Kb..469 - kenyan registration
Geza Ulole BantugbroView attachment 1392374View attachment 1392378View attachment 1392374View attachment 1392378
Kama wewe ni Mkenya basi mbona kiswahili chako ni cha Kibongo. Ama umewahi kuishi Tanzania.
 
Ndivyo ilivyo hata kwa wanaokufa Ulaya, inawakuta wakiwa na matatizo mengine ya kiafya, nimewahi kuumwa Dengue, ile unaambiwa hamna dawa ya kuiponya, you need to survive its lifespan of two to three weeks.
Sasa isikukute unaumwa kitu kingine chochote, na pia unywe maji mengi na kubaki ndani muda wote usiambukize au hata mwenyewe kuambukizwa zaidi.
Duh! Dengue watu wanaigopa sana. Symptoms zake ni zipi?
 
Duh! Dengue watu wanaigopa sana. Symptoms zake ni zipi?

Balaa sana, kama za Malaria, ni kama uumwe Malaria wiki tatu ila ukiambiwa hamna dawa, uvumilie siku ziishe, unatibu tu dalili kama vile maumivu ya kichwa na homa.
 
Back
Top Bottom