Kenya yafunga mipaka ikiwemo wa Namanga, ila upande wa Tanzania bado wanapokea wageni

Swahili Times

@swahilitimes

·

5h

Mwanaume mmoja mkazi wa Kibundani katika Kaunti ya Kwale nchini Kenya amefariki dunia baada ya kupigwa na kundi la watu wakimtuhumu kuwa na Coronavirus. Mpaka sasa hakuna aliyekamatwa kutokana na tukio hilo.

[https://pbs]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fatilia vizuri Burkina Faso
 
Mkuu hata mm ckuwa naamini kwmb ww ni mkenya mana kwa sindano unazowadungaga kina MK254 lazima wakuvue uraia[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa na diabetes yule

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndivyo ilivyo hata kwa wanaokufa Ulaya, inawakuta wakiwa na matatizo mengine ya kiafya, nimewahi kuumwa Dengue, ile unaambiwa hamna dawa ya kuiponya, you need to survive its lifespan of two to three weeks.
Sasa isikukute unaumwa kitu kingine chochote, na pia unywe maji mengi na kubaki ndani muda wote usiambukize au hata mwenyewe kuambukizwa zaidi.
 
kongole mzee! umpe vitu vya maana shemegi!
 
Ndio hii hii sababu watu wa chini hata vyakula vyao vya kawaida tu Kama bweni tu mchana ugali ucku wali

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa taifa maskini kama Tanzania haina jeuri hiyo ya kuwalisha nyie mamilioni ya maskini au watu wa kiwango cha chini cha kipato ambapo kwa Tanzania mko 70%, eti mkae nyumbani malori yawe yanapita kila siku na msosi, ikikumbukwa mpaka leo kuna wakulima wa korosho bado wanazinguliwa hela yao, wanateseka wakifuata fuata, ile ni haki yao waliifanyia kazi.
Kule kwa kina Trump hilo linawezekana, sema Wamarekani kinachowaponza raia wao wabishi sana akiambiwa abaki ndani hafuati maagizo.
 
Napendekeza muufunge milele
 
Kama wewe ni Mkenya basi mbona kiswahili chako ni cha Kibongo. Ama umewahi kuishi Tanzania.
 
Duh! Dengue watu wanaigopa sana. Symptoms zake ni zipi?
 
Duh! Dengue watu wanaigopa sana. Symptoms zake ni zipi?

Balaa sana, kama za Malaria, ni kama uumwe Malaria wiki tatu ila ukiambiwa hamna dawa, uvumilie siku ziishe, unatibu tu dalili kama vile maumivu ya kichwa na homa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…