Congrats. You have valid questions.BTW Mombasa port is being expanded into a megaport, one that has the capacity to handle the largest sea faring vessel.On completion, the port's capacity will rise to 1.7 Million TEus by 2015. The country is also planning to build a second railway line from MSa to Kisumu in order to increase speed and ease congestion at the Port. Dar- wamejipangaje?
Rwanda na kenya wamekuwa na chuki na sisi siku nyingi ila contribution ya rwanda si kubwa kwenye bandari yetu kwahiyo haitutishi sana congo zambia ndiyo wenye contribution kubwa
Wabongo tuache uoga kenya wanajua kua tz tunajenga badar ya kisasa b/moyo so wanachokifanya ni kuimalisha masoko yao la msingi ni kumwomba mungu huo mradi utimie otherwise wakenya imekula kwao..
issue siyo bandari tuu pia wanajenga standard guage railway itakoyounganisha mombasa,uganda hadi kigali. Mizigo itafika kigali chini ya masaa 24.
Tatizo letu ni nini hasa?
Ni kuchelewa kuchukua maamuzi?
Ni kukosa wataalamu? maana humu ndani walisema wasomi wetu hawauziki.
Ni kukosa ushirikiano ndani na nje ya nchi?
Ni upeo wa viongozi kugota?
Ni utaniutani badala ya kufanya kazi?
Ni mfumo mbovu wa ccm na Serikali? (ILANI)
TUCHUKUE HATUA HATA MUNGU ALIWAPIGA CHINI WAFALME VIHIYO NA KUSIMIKA IMARA.
System ya pale Bandarini sio nzuri ata kidogo,mizigo inachelewa kutoka bila sababu za msingi..Kila ukienda system ipo down,Wizi pamoja na chai!!!Bado nakumbuka Mwaka juzi kuna vijana pale Bandarini waliokuwa wakaguzi wa TRA walikuwa wanataka niwapatie chai ili mambo yangu yawe rahisi nikawapatia elfu 50,000/ ya IRAN wakaniuliza hii pesa ya wapi ??(maana imeandikwa kwa lugha ya Iran Farsi ambayo inafanana sana na kiarabu)nikawaambia si unaona ina picha ya mwarabu(picha ya yule kiongozi wao mwenye ndevu nyingi hayatollah)wakaichukua wakifikiri ya mwarabu,mimi nikatoa mzigo wangu...ki ukweli pesa ya Iran ndio pesa ovyo kabisa duniana labda zaidi ya MUGABE,hiyo Iran Rial 50,000/ inaweza Kuwa ni Tsh 4000/ nao walikuwa watatu sijui waligawana vipi,ni kitu ambacho uwa sikisahau
Mkuu Tanzania ni nchi yenye viongozi sio smart kabisaaaaaaaa.Tanzania inaweza kushauriana na congo,Rwanda,Burundi wakajenga barabara za kisasa beltways.Ambazo zitakuwa pana .Na zitawezesha magari makubwa kupita kwenda burundi,congo,rwanda kwa masaa machache tu mzigo umefika.Hii ni kushirikiana nao hayo mataifa mengine ili kukuza uchumi.sisi wachumi wetu wapo hapa kisiasa tu.sasa hivi ndio wanaangahikia kushambikia vita tu badala vita vya kiuchumi.serikali inajua michezo wanayofanya pale bandarini.Watanzania tunachoomba mungu ni kuiangusha ccm madarakani tu hakuna kingine tumia kura yako vizuri.mwambie rafiki yako atunze kitambulisho cha kupigia kura kama hana afuatilie sasa hivi.kwani watu watakao piga kura 2015 tunataka kuwa mamilioni kibao.itakuwa historia hadi kuiba kura watashindwa.
Hakuna tatizo na hawa Manyang'au ni bora kuuvunja huo Muungano wa EAC, na kubaki na wa SADC kwanini tuwaogope wakati hakuna manufaa na kinachoendelea.
Burundi na DRC wakitaka tutawapelekea hata kwa Treni, janja yao tumeshaijua
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ina-museveni-kagame-kenyatta-hizi-hapa-3.html
True. Africa needs all the ports it can build to transport goods and people to itself and the world. So the mentality that Kenyans develop their Ports to spite Tanzania or otherwise is primitive and retrogressive. You large ports in Kenya as many as we can build. Ditto Tanzania.Hey bro, don't forget Kenya is also building another port ( Lamu ) to tap into the Ethiopian/South Sudan Market. This will be the equivalent of your Bagamoyo. It is all about strategy hence we welcome improved service delivery in Dar as well the proposed Bagamoyo port. All these developments are good for the region. Don't read mischief each time your neighbor does something.
Hayo ni mapatano ya kisiasa yaliyoasisiwa na kagame na museveni kuikomoa tanzania lakini kiuchumi hawawezi kuiepuka bandari ya dar-es-salaam. Wewe subiri tu uhuru akitofautiana na sera zao za kimbari watamtolea nje namiradi yao ya alnacha. Tz inajenga miundombinu yake, watakuja bila kupenda.
Acha kujidanganya wewe,na unafikiri Kenya wamelala? hizo barabara watajenga tuu kwa pesa za hiyo mizigo ya Uganda na Rwandainaelekea hujuii unacho kisema. malori huwa yanatumia barabara ya Mombasa, voi, Nairobi, nakuru, kericho, Kisumu hadi busia. hii barabara nimeitumia sana na wiki 2 zilizopita nilisafiri toka Nairobi hadi mbale, Uganda. mashimo ni mengi sana. acha kudanganya watu. tunazungumzia barabara siyo majengo. tunazungumzia barabara siyo viwanja vya ndege. hizo kontena zitabebwa na ndege. licha ya kuwa nchi kubwa kuliko zote, Tanzania ina mtandao wa barabara nzuri kuliko Kenya na uganda
Rwanda na kenya wamekuwa na chuki na sisi siku nyingi ila contribution ya rwanda si kubwa kwenye bandari yetu kwahiyo haitutishi sana congo zambia ndiyo wenye contribution kubwa