Kenya Yafungua Tawi La Bandari Kigali Rwanda

Kenya Yafungua Tawi La Bandari Kigali Rwanda

Congrats. You have valid questions.BTW Mombasa port is being expanded into a megaport, one that has the capacity to handle the largest sea faring vessel.On completion, the port's capacity will rise to 1.7 Million TEus by 2015. The country is also planning to build a second railway line from MSa to Kisumu in order to increase speed and ease congestion at the Port. Dar- wamejipangaje?

Jiulize mbona mradi wa bandari bagamoyo upo ila Reli imara za kusambaza hiyo mizigo hatuoni michakato ikianza au ni mambo ya barabara?
 
Kigezo cha biashara ya Bandari hakiwezi kutunyamazisha Tusimkemee Muuaji wa Raia wasio na Hatia Mashariki mwa Congo.
 
Rwanda na kenya wamekuwa na chuki na sisi siku nyingi ila contribution ya rwanda si kubwa kwenye bandari yetu kwahiyo haitutishi sana congo zambia ndiyo wenye contribution kubwa

hapo ndo utasikia wajingawajinga Tanzania iondoe majeshi Kongo, we!
 
Wabongo tuache uoga kenya wanajua kua tz tunajenga badar ya kisasa b/moyo so wanachokifanya ni kuimalisha masoko yao la msingi ni kumwomba mungu huo mradi utimie otherwise wakenya imekula kwao..

Hey bro, don't forget Kenya is also building another port ( Lamu ) to tap into the Ethiopian/South Sudan Market. This will be the equivalent of your Bagamoyo. It is all about strategy hence we welcome improved service delivery in Dar as well the proposed Bagamoyo port. All these developments are good for the region. Don't read mischief each time your neighbor does something.
 
Mbona wananchi wa mombasa wamewakilisha makaratasi ya mikataba wanataka ijitenge na kenya kwani ilikuwa nchi hapo zamani sasa rwanda wananegotiate vip na kenya kuhusu bandari ya mombasa, hapa kuna mtu itakula kwake bdae kati ya kenya au rwanda kuhusu mbsa
 
Mombasa will never secede, unless u live in some bush mentality, the good thing about African leadership is that when all diplomatic and casual beggings fail, thats when the rear side of the forces rear there head. Wheres Mwanuduazi the "president" and the noise maker MRC spokes person now?

About Mombasa vs Bagamoyo ports, Mombasa is not even close to facing imminent threat but rather will be complemented by Bagamoyo where it fails.

The bone of contention will finally be settled on efficiency in unpacking goods, time taken to deliver these goods and most importantly the hauling costs. Kenya via Eng Kamau intend to slash these costs drastically mostly on hauling costs by reinventing the railway system from scratch.

By the time Lamu Port will be on streamz uts relevance will be but a btw to Uganda and Rwanda. I dont think SS and Ethiopia will effectively utilize Lamu port, i forsee Uganda and Rwanda taking some share there too.
 
issue siyo bandari tuu pia wanajenga standard guage railway itakoyounganisha mombasa,uganda hadi kigali. Mizigo itafika kigali chini ya masaa 24.

Lini wanaanza ujenzi?Maana huyo huyo KAgame alitudanganya atashirikiana na serikali ya Bongo kujenga reli ya kutoka kigoma mpaka kigali kabla mambo hayajaharibika, lakini mpaka mambo yameharibika kulikuwa hakuna hata dalili.
 
Tatizo letu ni nini hasa?
Ni kuchelewa kuchukua maamuzi?
Ni kukosa wataalamu? maana humu ndani walisema wasomi wetu hawauziki.
Ni kukosa ushirikiano ndani na nje ya nchi?
Ni upeo wa viongozi kugota?
Ni utaniutani badala ya kufanya kazi?
Ni mfumo mbovu wa ccm na Serikali? (ILANI)

TUCHUKUE HATUA HATA MUNGU ALIWAPIGA CHINI WAFALME VIHIYO NA KUSIMIKA IMARA.

Hakuna tatizo na hawa Manyang'au ni bora kuuvunja huo Muungano wa EAC, na kubaki na wa SADC kwanini tuwaogope wakati hakuna manufaa na kinachoendelea.
Burundi na DRC wakitaka tutawapelekea hata kwa Treni, janja yao tumeshaijua
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ina-museveni-kagame-kenyatta-hizi-hapa-3.html
 
Unaona uchungu kwani pesa zipatikanazo hapo bandarini unadhani kuna hata siku utakuja ziona!
 
System ya pale Bandarini sio nzuri ata kidogo,mizigo inachelewa kutoka bila sababu za msingi..Kila ukienda system ipo down,Wizi pamoja na chai!!!Bado nakumbuka Mwaka juzi kuna vijana pale Bandarini waliokuwa wakaguzi wa TRA walikuwa wanataka niwapatie chai ili mambo yangu yawe rahisi nikawapatia elfu 50,000/ ya IRAN wakaniuliza hii pesa ya wapi ??(maana imeandikwa kwa lugha ya Iran Farsi ambayo inafanana sana na kiarabu)nikawaambia si unaona ina picha ya mwarabu(picha ya yule kiongozi wao mwenye ndevu nyingi hayatollah)wakaichukua wakifikiri ya mwarabu,mimi nikatoa mzigo wangu...ki ukweli pesa ya Iran ndio pesa ovyo kabisa duniana labda zaidi ya MUGABE,hiyo Iran Rial 50,000/ inaweza Kuwa ni Tsh 4000/ nao walikuwa watatu sijui waligawana vipi,ni kitu ambacho uwa sikisahau

hahahahahahahahaa ndio dawa yao hiyo
 
ukipitisha mzigo mombasa ni nafuu na mzigo unatoka fasta document zikiwepo hakuna longolongo. nashauri mpitishie mizigo mombasa kwa wale mizigo inayoenda tanga. kanda ya ziwa na arusha.
 
Mkuu Tanzania ni nchi yenye viongozi sio smart kabisaaaaaaaa.Tanzania inaweza kushauriana na congo,Rwanda,Burundi wakajenga barabara za kisasa beltways.Ambazo zitakuwa pana .Na zitawezesha magari makubwa kupita kwenda burundi,congo,rwanda kwa masaa machache tu mzigo umefika.Hii ni kushirikiana nao hayo mataifa mengine ili kukuza uchumi.sisi wachumi wetu wapo hapa kisiasa tu.sasa hivi ndio wanaangahikia kushambikia vita tu badala vita vya kiuchumi.serikali inajua michezo wanayofanya pale bandarini.Watanzania tunachoomba mungu ni kuiangusha ccm madarakani tu hakuna kingine tumia kura yako vizuri.mwambie rafiki yako atunze kitambulisho cha kupigia kura kama hana afuatilie sasa hivi.kwani watu watakao piga kura 2015 tunataka kuwa mamilioni kibao.itakuwa historia hadi kuiba kura watashindwa.
 
Bwana Environmental ni kweli kabisa,pia kosa kubwa ni kufa kwa reli ya Kati ,containers zilikuwa zikishuka Bandarini ziliwekwa kwenye train Kwenda mpaka Isaka Shinyanga pale zilishushwa na ni mwendo mfupi Kwenda Congo,Burundi na Rwanda pia Tazara inasuasua hivyo mizigo ya Kwenda Zambia inachelewa sana
 
Hakuna tatizo na hawa Manyang'au ni bora kuuvunja huo Muungano wa EAC, na kubaki na wa SADC kwanini tuwaogope wakati hakuna manufaa na kinachoendelea.
Burundi na DRC wakitaka tutawapelekea hata kwa Treni, janja yao tumeshaijua
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ina-museveni-kagame-kenyatta-hizi-hapa-3.html

What is taking you so long? You should have bolted out like yesterday. What is funny though is that i have yet to see any benefits that have accrued to you for being members of SADC.
 
Hey bro, don't forget Kenya is also building another port ( Lamu ) to tap into the Ethiopian/South Sudan Market. This will be the equivalent of your Bagamoyo. It is all about strategy hence we welcome improved service delivery in Dar as well the proposed Bagamoyo port. All these developments are good for the region. Don't read mischief each time your neighbor does something.
True. Africa needs all the ports it can build to transport goods and people to itself and the world. So the mentality that Kenyans develop their Ports to spite Tanzania or otherwise is primitive and retrogressive. You large ports in Kenya as many as we can build. Ditto Tanzania.
 
Hayo ni mapatano ya kisiasa yaliyoasisiwa na kagame na museveni kuikomoa tanzania lakini kiuchumi hawawezi kuiepuka bandari ya dar-es-salaam. Wewe subiri tu uhuru akitofautiana na sera zao za kimbari watamtolea nje namiradi yao ya alnacha. Tz inajenga miundombinu yake, watakuja bila kupenda.

Sioni cha kututisha kwenye hili. Dar port waongeze ufanisi tu...mfanya biashara anataka faida sio siasa za Kikwete na Kagame. Hata wakiweka huduma ya kulipia kwa Mpesa bado haitasaidia endapo uondoshaji makontena bandarini ni duni.

So far Dar port is doing excellent.....tusiwe wanyonge kila wakati!!!
 
inaelekea hujuii unacho kisema. malori huwa yanatumia barabara ya Mombasa, voi, Nairobi, nakuru, kericho, Kisumu hadi busia. hii barabara nimeitumia sana na wiki 2 zilizopita nilisafiri toka Nairobi hadi mbale, Uganda. mashimo ni mengi sana. acha kudanganya watu. tunazungumzia barabara siyo majengo. tunazungumzia barabara siyo viwanja vya ndege. hizo kontena zitabebwa na ndege. licha ya kuwa nchi kubwa kuliko zote, Tanzania ina mtandao wa barabara nzuri kuliko Kenya na uganda
Acha kujidanganya wewe,na unafikiri Kenya wamelala? hizo barabara watajenga tuu kwa pesa za hiyo mizigo ya Uganda na Rwanda
 
Rwanda na kenya wamekuwa na chuki na sisi siku nyingi ila contribution ya rwanda si kubwa kwenye bandari yetu kwahiyo haitutishi sana congo zambia ndiyo wenye contribution kubwa

:help::help::help:.
 
Back
Top Bottom