Kenya Yafungua Tawi La Bandari Kigali Rwanda

Acha kujidanganya wewe,na unafikiri Kenya wamelala? hizo barabara watajenga tuu kwa pesa za hiyo mizigo ya Uganda na Rwanda

kama watajenga baadaye sawa. nazungumzia hali ilivyo kwa sasa. besides, barabara haijengwi kwa mwezi au mwaka ukizingatia kuwa ni kipande kirefu sana. mbona wamelalamikiwa muda mrefu lkn hawajengi!?
 

Hata ukiwapa mavi kwenye mkebe wanachukua
 
kujifunga na Rwanda tu au EA ni ujinga. Tuachane na Eac lets capture Drc, zambia and the other southen collegues. Kung'ang'ania Eac tunahatarisha hata amani yetu. Wajenge hata reli to Kigali lets plan other routes.
 
[h=2]
Kenya Yafungua Tawi La Bandari Kigali Rwanda[/h]


BANDARI YA MOMBASA KENYA WAMEFUNGUA OFFICE KIGALI-MWAYKEMBE SISI TUMEJIPANGAJE?

Kufuatia kikao cha triple K (Kenyatta, Kagame na Kaguta (Mseveni)) kilichofanyika Kampala mwezi uliopita, jana bandari ya Mombasa wamefungua rasmi ofisi yao Kigali kwa ajili ya kuhudumia nchi za Rwanda, Burundi na DRC.

Moja ya mambo waliyokubaliana triple K ni kuondoa matatizo yote yanayofanya biashara baina ya nchi hizi kuwa ngumu.

Sote tunafahamu mahusiano mabovu yaliyopo kati ya Rais Kikwete na Rais Kagame kwa sasa. Ni ukweli usiopingika kwamba kwa sasa Bandari ndio cash cow ya Tanzania, hakuna cha kilimo,madini, utalii au chochoteutakachotaja.

Kama kumbukumbu zangu bado ziko poa, bandari inaingiza over 50 bil kwa mwezi.

Swali ninalojiuliza, hivi tumejipangaje ili kuwa competitive zaidi in case nchi hizi nne kwa maana ya DRC, Burundi, Rwanda na Uganda zitaamua kwa kiasi kikubwa kuanza kutumia bandari ya Mombasa? Think of hayo mapato niliyotaja, ajira, biashara za mafuta, hotel n.k.
 
Halafu wanasema DR SLAA kakosea kutoa ushauri.....
 


Wachina washaiona hiyo dili na wanaichukua kwa kujenga bandari bagamoyo na tunawapa exclusive rights bila kulipa chochote kwa miaka 50 sijuhi 100.
 
Kenyatta ni mfanyabiashara
Kagame ni mjasiriamali
Kaguta ni dalali

Pierre ni ....?
Kikwete ni ....?
 
Bado hao triple k wanajidanganya. Tz ya sasa si ya jana. Halafu uchumi wa nchi hautengenezwi na husika hapa africa. Wamuulize Mugabe alivyoharibiwa,unadhani hakuwa na resources! Wajipange tena
 

Tuwekane sawa kidogo, Bandari ya Bagamoyo kama ilivyo bainishwa, Itakuwa kubwa zaidi katika Afrika ya mashariki. Mara 32 kiuwezo, ukilinganisha na bandari ya Mombasa. Si kweli kwamba hiyo bandari yao ya Lamu, itakuwa sawa na ya Bagamoyo.
Hili jambo hata wachumi wa Kenya waliwahi kulijadili sana. TUSIPOTOSHANE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…