pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Nakuambia Shujaa, timu ya Kenya raga 7s haitaki masihara kule Tunisia. Jana nilitizama game yao ya kwanza walipoicharaza Botswana 49-0 hadi siku yangu ghafla ikawa ya furaha.Wakenya mko vizuri, sisi labda Bongo Fleva na Bongo Movies, michezo mingine zero...
Usikose kuwatizama Shujaa leo wakitoana kijasho na Zambia.Niliitazama kidogo. Kumbe walishinda? Hongereni wakenya. Hata sie waganda hujaribu sana soka.
Ndio kina nani hao? Ingekuwa vyema kama ungewataja kwa majina. [emoji40]Wenzetu hawadangi taifa lao wanaliwakilisha vyema kwenye michezo ila kuna kikundi kipya cha Wadangaji kimeibuka hapa nchini wanadanga taifa bila huruma.
[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]Pumbavu zao.
Ungekuwa mtu wa michezo ungewajua kirahisi sana.Ndio kina nani hao? Ingekuwa vyema kama ungewataja kwa majina. [emoji40]
Mimi ni mtu wa michezo jombaa, ila hadi leo bado sijaelewa matatizo ya Tz kwenye michezo ni ipi. Jirani hatuwaoni bana.Ungekuwa mtu wa michezo ungewajua kirahisi sana.
Nadhani itakuwa kikosi cha Kenya B au C. Ila wametuakilisha vyema sana. Walifika hadi fainali wakiwa 'unbeaten'. Zim wametunyoosha jombaa.Hii ni Kenya B ama C.
Sijui MTU hapo