pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hapo awali kwenye game yao ya kwanza ya mchuano huo wa Africa Mens 7s 2018 Jemmal, Tunisia, Shujaa, timu ya Kenya raga 7s, iliigaragaza Botswana 49-0. Kenya imeibuka mshindi kwenye Pool A ambayo ina nchi tatu za Kenya, Morroco na Botwana na ikafuzu hadi robo fainali bila ya kufungwa hata bao moja.
https://www.capitalfm.co.ke/sports/2018/10/13/kenya-sevens-through-to-africa-7s-quarters/
Leo kwenye robo fainali Kenya itamenyana na Zambia ambayo iliibuka ya pili kwenye Pool D. Kenya imeshinda mchuano huu wa Africa Men's 7s mara nne, mara ya mwisho ikiwa ni mwaka wa 2015.