Kenya yahofiwa kukumbwa na yaliyoitokea Sri Lanka

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
Nimeona hii habari kwenye ukurasa wa chombo kimoja cha habari huko Kenya.

Kuwa wachambuzi wa masuala ya uchumi na siasa wanahofia Kenya inaweza kukumbwa na kilichoitokea Sri Lanka sababu hali ya nchi hiyo inaelezwa kufanana na ile ya Sri Lanka.

Sri Lanka ni nchi iliyoelemewa na madeni na ukosefu wa fedha za kigeni hadi kushindwa kuagiza bidhaa muhimu nje kama mafuta, hali iliyosababisha maisha kuwa magumu na wananchi kuandamana hadi kumfurusha Rais Ikulu.

 
Wacha waendelee kuimba GDP hewa ambayo Haina msaada wowote
dyfre
Don YF
Tony254

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kenya's crazy matwana culture.., dope!
 
Kwa ndoto tu, halitawai tokea.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…