Sijui ilikuwaje hii sayansi na siasa ya tiba.Zamani walikuwa wanasema "Aids", hata kumuangalia mgonjwa unaogopa anavotisha, ndo maana walikuwa wanawaficha ndani aisee huu ugonjwa huu.
Mkuu unafikiri ni kwanini watake kudhibiti population hasa ya waafrika? ukizingatia waafrika ni asilimia ndogo sana kwa ukiangalia World population kwa mabara.
Hujajibu swali langu mkuu bali umeleta hoja nyingine,swali langu limelenga uliposema issue ya kudhibiti Population hasa ya waafrika,ndio nikakuuliza unafikiri ni kipi kinachowafanya wao watake kudhibiti hiyo population ya waafrika? ukizingatia wahindi au India ina population kubwa kuliko bara la Afrika combined,China ina population kubwa kuliko bara la Africa combined,Mzee UKIMWI ulipotangazwa kama janga la taifa linalopoteza nguvu kazi ya taifa, ulikuwa na umri gani?
Nikweli kabisa unavosemaLeo ukimwambia Gen Z UKIMWI mtu alikuwa anabaki KG 2, wanaona kama tunawahadithia stori za kufikirika. Mimi nimewahi kumuona mtu mzima amebebwa mgongoni na kitenge kama mtoto na ameenea.
UKIMWI huu leo watu wanadunda tuu mtaani. Aiseee
Shida ipo kwenye magono sasaKwa hiyo saiv ni mwendo wa kuloweka kavu!
Wabarikiwe wazungu
Hujajibu swali langu mkuu bali umeleta hoja nyingine,swali langu limelenga uliposema issue ya kudhibiti Population hasa ya waafrika,ndio nikakuuliza unafikiri ni kipi kinachowafanya wao watake kudhibiti hiyo population ya waafrika? ukizingatia wahindi au India ina population kubwa kuliko bara la Afrika combined,China ina population kubwa kuliko bara la Africa combined,
Ndio maana nikakuuliza hilo swali,
Swali langu halihusiani na kuanza kuulizana umri humu.
Mkuu labda niweke sawa sentence YakoKazi nzuri wanasayansi..
Maana njugu zawatesa ndugu zetu
Huu ni uongo kwanini wadhibiti population ya waafrika na sio wengine ambayo ndo wengi ? Hizo story za wanasisasa WETU uchwara za kuonewa wivuMkuu unafikiri ni kwanini watake kudhibiti population hasa ya waafrika? ukizingatia waafrika ni asilimia ndogo sana kwa ukiangalia World population kwa mabara.