Kenya yaikung'uta Madagascar kule Paris, Ufaransa

Kenya yaikung'uta Madagascar kule Paris, Ufaransa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Timu ya Kenya ya kadanda inazidi kuonyesha makucha yake na utayari wake kufanya makuu kwenye michuano ijayo ya kuwania kombe la Afrika.
--------------------------------

Skipper Victor Wanyama scored from the spot as Harambee Stars hit Madagascar 1-0 in an international friendly match at Stade Robert Boban in Paris on Friday.
Of concern to Kenya's head coach Sebastien Migne will be the injury to left-back Aboud Omar who went down late on and was replaced by Paul Were.
After a scoreless first half which Madagascar, who are set to make their maiden appearance at the Africa Cup of Nations in the 2019 edition that will run from June 22-July 19 in Egypt, dominated, Migne decided to rest Musa Mohammed for Joseph Okumu, while Michael Olunga and Eric Ouma came on John Avire and Eric Johannah, respectively.
PENALTY
Before that, Madagascar had a penalty saved by Patrick Matasi on 42 minutes after the St Georges goalkeeper fouled Martin Tsilavina inside the area.
Andriamatsino Charles, who also had a shot that came off the bar in the first real attempt by either side midway through the half, was the man who could not beat Matasi from 12 yards.

 
Good stuff .....this time round tusiskie ati the preparation was poor. The federation has played its part in as far as preparations go. I hope the players will rise to the occasion.
 
Penda Sana, so tungepewa Tz pia friendly match tuwakung'ute pia kabla main tournament.
 
Lini wakikuyu wakajua mpira? Hao kina wanyama kiasili ni watanzania
 
Lini wakikuyu wakajua mpira? Hao kina wanyama kiasili ni watanzania

Watanzania ndio kina nani maana hakuna kitu kilikua kinaitwa Tanzania kabla mzungu hajaja na kuwakusanya Wasukuma, Wanyakyusa, Wamakonde, Wachagga, Wazaramo na makabila mengine na kuwapa nchi.
 
Ila kaa ukijua mkikuyu hawezi kuwa mtànzania
Watanzania ndio kina nani maana hakuna kitu kilikua kinaitwa Tanzania kabla mzungu hajaja na kuwakusanya Wasukuma, Wanyakyusa, Wamakonde, Wachagga, Wazaramo na makabila mengine na kuwapa nchi.
 
Ila kaa ukijua mkikuyu hawezi kuwa mtànzania

Akitaka kuwa Mtanzania anakua maana hakuna kabila wala jamii inaitwa Tanzania, ni mfumo uliotengenezwa na mzungu na kuna taratibu za kujiunga kwenye huo mfumo, wapo waarabu na wahindi wengi tu wamefuata hizo taratibu na leo ndio wanamiliki hiyo nchi yenu wakati wengine wenu mnasotea kitaa kwa umaskini.
 
Huyo ni m
Ila anaweza akawa kiongozi kwenye chama chenu kile na hadi kwenye ngazi za juu serijalini. Au huna ufahamu kuhusu mkikuyu Joseph Mungai ambaye alikuwa waziri wa elimu Tz?
Jiwe mwenyewe alikiri jombaa. https://www.jamiiforums.com/threads/magufuli-joseph-mungai-asili-yake-ni-kenya.1142737/
Ndio mnajidanganya hivyo?
 
Back
Top Bottom