Kenya yaipiga bao Tanzania, yanunua mahindi Tanzania na kuyauza kwa bei ya juu Sudan Kusini

Khalid Sankara

New Member
Joined
Nov 3, 2021
Posts
4
Reaction score
21
Kenya imechangamkia fursa iliyotokea hivi karibuni ya uhitaji wa zao la mahindi nchini Sudan Kusini, hii ni baada ya Uganda ambayo ni tegemezi la South Sudan katika mazao kuwa na uzalishaji mdogo wa mahindi.

Jambo hili limepelekea bei ya zao la mahindi nchini Sudani Kusini (mwanachama wa Afrika Jumuiya ya Afrika Mashariki) kupanda.

Kenya inaitegemea Tanzania kwenye zao la mahindi, je kwenye hili kuna uwezekano mkubwa Tanzania imezidiwa ujanja na Kenya kwa Mara nyengine.
Kwani kuna uwezekano Wakenya wananunua mahindi Tanzania kwa bei ya chini kutoka kwa wakulima wa Tanzania na kuuza Sudan Kusini (mwanachama wa EAC) kwa bei ya juu.

Maize exports to S. Sudan rise on higher prices​

Hahaha sasa unataka kulia?
 
Nimecheka sana huu uzi, na mtalia lia sana subiri, mama endelea kufungua nchi tuwafundishe hawa namna ya kuchangamka.....
 
Kenya imechangamkia fursa iliyotokea hivi karibuni ya uhitaji wa zao la mahindi nchini Sudan Kusini, hii ni baada ya Uganda ambayo ni tegemezi la South Sudan katika mazao kuwa na uzalishaji mdogo wa mahindi.

Jambo hili limepelekea bei ya zao la mahindi nchini Sudani Kusini (mwanachama wa Afrika Jumuiya ya Afrika Mashariki) kupanda.

Kenya inaitegemea Tanzania kwenye zao la mahindi, je kwenye hili kuna uwezekano mkubwa Tanzania imezidiwa ujanja na Kenya kwa Mara nyengine.
Kwani kuna uwezekano Wakenya wananunua mahindi Tanzania kwa bei ya chini kutoka kwa wakulima wa Tanzania na kuuza Sudan Kusini (mwanachama wa EAC) kwa bei ya juu.

Maize exports to S. Sudan rise on higher prices​

Kwani hamjasikia mipango ya Serikali ya Tanzania kujenga cereals storage facilities in South Sudan? Yote hiyo ni kuliteka soko la chakula la Sudan Kusini na dalali jirani sijui atakula wapi maghala yakikamilika. Mahindi yanaenda na sgr mpaka mwanza then to port bell via Victoria halafu kwenye Ugandan mgr up north to SS.
 
Mipango mipango tuta tuta....leo hii mumemuweka mama katika hali ngumu ya kusaka mikopo kote ili walau akamilishe hata kimoja kati ya miradi aliyoanzisha mwenda zake ambaye hakua na kipao mbele.

Tayari hiyo tu imeibua mjadala wa taifa, spika na mama hawaendani, sasa hizo hela za kwenda kujenga kwa Wasudan mtazitoa wapi.
Na kwa taarifa yenu nimekua huko Sudan Kusini juzi niliishi miezi mitatu na kushuhudia namna Wakenya wameanza kulima huko, maana ardhi wanayo kubwa tena bikira yenye rotuba nzuri sema walicheleweshwa na mavita vita.
Pitia huu uzi hapa utajifunza kitu Makusanyo ya nchi ni trilioni 1.2 kwa mwezi, mishahara tu bilioni 600,Baki bilioni 600,stiglers,SGR trilioni 30, bila kukopa ni ngumu kumaliza miradi!
 
Ngoja hao wasudani wajue kama mnawapiga. Sisi ndio bread basket. Watakuja wenyewe.
 
Kwani hamjasikia mipango ya Serikali ya Tanzania kujenga cereals storage facilities in South Sudan? Yote hiyo ni kuliteka soko la chakula la Sudan Kusini na dalali jirani sijui atakula wapi maghala yakikamilika. Mahindi yanaenda na sgr mpaka mwanza then to port bell via Victoria halafu kwenye Ugandan mgr up north to SS.
Sijajua hizo takwimu au Habari wametoa wapi. Ila ukweli ni kwamba Tanzania ndio inaongoza kuuza vyakula huko SS na ukanda huu Kwa ujumla.

Na ndio maana WFP waliingia mkataba na serikali kununua mazao, pia na TRC Kwa ajili ya usafirishaji. Hiyo Kenya kuuza huko itakuwa ni Kwa ulanguzi tu wa kawaida na Kwa kiwango kidogo.

Hakuna nchi ya kupimana ubavu na TZ katika uuzaji na uzalishaji wa chakula ukanda huu.

Tony254 MK254

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mipango mipango tuta tuta....leo hii mumemuweka mama katika hali ngumu ya kusaka mikopo kote ili walau akamilishe hata kimoja kati ya miradi aliyoanzisha mwenda zake ambaye hakua na kipao mbele.

Tayari hiyo tu imeibua mjadala wa taifa, spika na mama hawaendani, sasa hizo hela za kwenda kujenga kwa Wasudan mtazitoa wapi.
Na kwa taarifa yenu nimekua huko Sudan Kusini juzi niliishi miezi mitatu na kushuhudia namna Wakenya wameanza kulima huko, maana ardhi wanayo kubwa tena bikira yenye rotuba nzuri sema walicheleweshwa na mavita vita.
Pitia huu uzi hapa utajifunza kitu Makusanyo ya nchi ni trilioni 1.2 kwa mwezi, mishahara tu bilioni 600,Baki bilioni 600,stiglers,SGR trilioni 30, bila kukopa ni ngumu kumaliza miradi!
Mambo mazuri hayataki haraka, tuliza boli mzee.Tanzani tunakwenda vizuri,hivi juzi nimeshuhudia kwa macho yangu Serikali yaTZ kupitia Bodi ya Mazao Mchanganyiko wanapeleka Shehena ya Mchele DRC nilipoongea nao wakasema kule tayari Wana godown za kutunzia nafaka.Kwa hiyo usibeze juhudi za Serikali yetu,ni suala la muda tu.
 
sawa uzeni mahindi sudan kusini NYIE mkiona njaa mtakunywa chai
 
Huenda ni haya mahindi ya Tz yanayouzwa from Tz warehouses in Nairobi ndio mnazungumzia.

Tanzania snags South Sudan as market for maize, cereals

Tuesday July 27 2021

Minister for Agriculture Prof Adolf Mkenda said that Tanzania is now searching for maize and other grain markets in the region.

By APOLINARI TAIRO
More by this Author

IN SUMMARY

The Cereals and Other Produce Board of Tanzania (CPB) will start exporting maize and other cereals to South Sudan.

The CBP has entered into a partnership with Kapari Ltd to open warehouses in Nairobi, for storing 102,000 tonnes of maize in transit to South Sudan.

In the past two years, Tanzania has scrapped about 150 nuisance taxes and levies imposed on agricultural products, to attract more investments in food crops production for local and regional markets.

The Cereals and Other Produce Board of Tanzania (CPB) will start exporting maize and other cereals to South Sudan after securing market in the country.

Following a visit to Juba last month, the CPB director general Dr Anselm Moshi said they would export about 200,000 tonnes of cereals, starting with 60,000 tonnes of white sorghum this season.

In their visit in June, CBP officials met with the South Sudan’s Ministry of Trade officials, who agreed to open the market to agricultural produce from Tanzania to enable farmers and traders between the two countries to trade.

CPB is now in discussions with the World Food Programme over 50,000 tonnes of maize it wants to sell in the next harvesting season, to be distributed in South Sudan.

Already, the CBP has entered into a partnership with Kapari Ltd to open warehouses in Nairobi, for storing 102,000 tonnes of maize in transit to South Sudan, said Dr Moshi.

The CPB is set to buy some 298,000 tonnes of maize, sorghum, rice beans, and sunflower seeds from farmers in the 2021/2022 harvest season for export to South Sudan and Kenya.

A Tsh7.5 billion ($3.2 million) agreement was signed recently between CBP and the Mombasa based Grain Industries Ltd to purchase 144,000 tonnes of grains from Tanzania for sale in Kenya and South Sudan.

Minister for Agriculture Prof Adolf Mkenda said that Tanzania is now searching for maize and other grain markets in the region, taking advantage of the regional food markets. A team of is set to visit Zimbabwe and the Democratic Republic of Congo to seek rice and maize markets.

Between 2019 and 2020, Tanzania produced 16.3 million tonnes of food crops, against local annual demand of about 13 million tonnes.

In the past two years, Tanzania has scrapped about 150 nuisance taxes and levies imposed on agricultural products, to attract more investments in food crops production for local and regional markets; boost competitiveness in agricultural production for most profitable food and cereal crops to secure export markets in regional states, mostly EAC partner states.

Mipango mipango tuta tuta....leo hii mumemuweka mama katika hali ngumu ya kusaka mikopo kote ili walau akamilishe hata kimoja kati ya miradi aliyoanzisha mwenda zake ambaye hakua na kipao mbele.

Tayari hiyo tu imeibua mjadala wa taifa, spika na mama hawaendani, sasa hizo hela za kwenda kujenga kwa Wasudan mtazitoa wapi.
Na kwa taarifa yenu nimekua huko Sudan Kusini juzi niliishi miezi mitatu na kushuhudia namna Wakenya wameanza kulima huko, maana ardhi wanayo kubwa tena bikira yenye rotuba nzuri sema walicheleweshwa na mavita vita.
Pitia huu uzi hapa utajifunza kitu Makusanyo ya nchi ni trilioni 1.2 kwa mwezi, mishahara tu bilioni 600,Baki bilioni 600,stiglers,SGR trilioni 30, bila kukopa ni ngumu kumaliza miradi!
Taja hapa hiyo miradi ambayo haina kipaumbele...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taja hapa hiyo miradi ambayo haina kipaumbele...

Sent using Jamii Forums mobile app

Ingekua na kipau mbele hamngepigiana makelele namna naona leo hii kila mtu anasema yake, spika anasema mnaitia nchi rehani kwa kuendelea kuchukua mikopo ilhali tozo zinawaliza hadi huruma, miradi yenyewe hakuna hata moja iliyoonyesha kichwa, bwawa la Nyerere, chambuzi za wataalam zinasema labda miaka iishe minane, muendelee kumwaga matrilioni huko, kitu ambacho mngetumia akili na kuwekeza kwenye nishati mbadala.

SGR yenyewe hata sijui mko wapi maana kasafu kadogo tu ka Moro-Dar kamepitiliza muda wake sijui miaka mingapi sasa, hamkuona umuhimu wa kukamilisha hatua kwa hatua mkapapatikia urefu wote huo, sasa ni mwendo wa mikopo na matrilioni na bado miradi yenyewe ndio hiyo.
Orodha ni ndefu, hizi ndizo kero za uongozi ambao unafanya vitu bila kuhojiwa, bila upinzani, kila ukiamka unazindua ujenzi huku na kule, vitakulemea.

Nchi yenu bado maskini sana kuendelea kujilimbikizia mikopo ya matrilioni Mataifa maskini yanayozongwa na mikopo. Hivi majirani hizi hela mlizifanyia nini cha kuonekana?
 
Mambo mazuri hayataki haraka, tuliza boli mzee.Tanzani tunakwenda vizuri,hivi juzi nimeshuhudia kwa macho yangu Serikali yaTZ kupitia Bodi ya Mazao Mchanganyiko wanapeleka Shehena ya Mchele DRC nilipoongea nao wakasema kule tayari Wana godown za kutunzia nafaka.Kwa hiyo usibeze juhudi za Serikali yetu,ni suala la muda tu.

Hao DRC sasa hivi tunawaingiza EAC, tutakwenda kukodi ardhi kwao na kuifanya nchi yao kuwa bread-basket, tayari tumeanza kulima Sudan Kusini maana na wao pia wana ardhi kubwa ila wenyewe wachache, vita vita tu ndio huwachelewesha.
 
Back
Top Bottom