ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #21
Kiujumla anaupiga mwingiUjasusi wa kiuchumi mana mko bize na mama anaupiga mwingi.
Kama hatuna watu wanaojielewa pande hizo unategemea nini?Kama kuna mahali Tanzania ilipo lala usingizi wa pono na kujisalimisha ni katika ushushushu wa kuishikilia iwe sehemu ya uchumi wa nchi ya Kenya.
Sidhani kuwa huu ulikuwa ni mpango walio fanya Kenya wenyewe; Kenya imetumiwa tu kwa vile ni koloni la hao wahujumu wenyewe wanao shikilia uchumi wa nchi hiyo.
Katika maswala ya aina hii, hapo ndipo natamani kuwa na kiongozi kichaa kama Magufuli. Hawa wapumbavu hata wasinge thubutu kuyahimiza haya.
Kwa huyu 'Chura Kiziwi', hii ndiyo fursa yao kuu ya kufanya ujinga huo.
Kukimbia tatizo siyo njia ya kutatua tatizo, Dar port iboreshwe pia kodi zipungwe utashangaa mizingo mingi inaingia Dar port.Ndio hatufungui Sasa (geofencing) wakashitaki basi
Bado ni ujinga kuzuia njia. Dunia ni kijiji. Hizi ndio sababu zinapelekea jumuia kuvunjika.Hakuna kufungua!! Wafungue kwao Kenya ujinga ulishaisha tz
A bunch of lazy thinkers ndio maana nchi maskini.Bado ni ujinga kuzuia njia. Dunia ni kijiji. Hizi ndio sababu zinapelekea jumuia kuvunjika.
Ukiondoa siasa na upotoshaji katika maswala kama haya maandishi yako yanakuwa na uzito wa kutosha. Sasa niambie, ni kweli ujenzi wa barabara hizo sababu kuu ilikuwa ni kuondoa "foleni Tunduma"? Mimi sijui, lakini nahisi hapo haupo sahihi.Watu waliopo ni wale ambao walimwambia Jiwe ukijenga Barabara ya Sumbawanga -Kasanga na Mpanda-Karema utaondoa foleni ya malori Tunduma
Na bado UK wakaamua kujiondoa EU; na viboti vya wakimbizi ndipo vikashika moto! Au haya huyajui?Ukisema hivyo basi UK na France wasingejenga tunnel ya kuziunganisha hizo nchi.
Tatizo lako wewe siku zote ni lilelile, kudhani kwamba hiyo fani (taaluma) uliyo nayo wewe ndio ufunguo wa matatizo yote yanayoikabili Tanzania!Biashara ni ushindani uwezi kuwa defensive, hiyo ni ishara ya uzembe (kitu ambacho watanzania tumezoea).
Wafanyabiashara wanataka option rahisi kwao, kwa sababu nchi yetu ina geographical advantages aina maana tufanye biashara za nchi nyingine kuwa ngumu.
Magari yanayopita Tanzania kutoka nchi jirani bado yanalipia road fees, kwa hivyo bado kuna mapato.
Lakini Uwezi kuwa mzembe kutoa mizigo, utaki kujirekebisha; halafu uwaazibu wengine kisa una geographical.
Msingi wa capitalism ni kujifunza kila siku wa-Japan wanaita (KAIZAN) na hiyo nadharia ndio imekuza uchumi wao na kuboresha kila sector ya taifa lao.
Uwezi kuwapa watu wasio na maarifa sector za mipango halafu udhani utasogea mbele.
Kwetu sisi kila kitu rahisi tu na solution zetu ni nyepesi, lakini huo utaratibu wetu costly kwa majirani zetu.
Mijitu ukiisikia haina uwezo kabisa, halafu wanaongoza sector sensitive.
Wapi duniani umeona civil services au wizara inaita watu kujadili dira na kusikiliza michango ya kijinga.
Surely kwenye biashara na uchumi watu wanatumia data ku-analyse, use that information to do strategic planning na kupanga sera.
Ukiona mtu anaitisha mdahalo wa kujadili mipango ya serikali elewa ni ujinga mtupu hamna kitu kichwani na aelewi namna ya kuandaa strategy ya sera za biashara na uchumi.
Ndio ukweli wenyewe, hata kama amuupendi.
Siwezi nikamsikiliza poyoyo kama Mafuru ni financial or economists zaidi ya mpuuzi mwingine ambae unajiuliza kafika vipi pale; huyo Kitila ndio salaleh.
Huwa sipotoshi chochoteUkiondoa siasa na upotoshaji katika maswala kama haya maandishi yako yanakuwa na uzito wa kutosha. Sasa niambie, ni kweli ujenzi wa barabara hizo sababu kuu ilikuwa ni kuondoa "foleni Tunduma"? Mimi sijui, lakini nahisi hapo haupo sahihi.
Swala la SGR, kama ilivyo kwa mambo mengi mengine, kama RBT Dar, ni lazima kutenganisha umuhimu wa miundo mbinu hizo na uendeshaji wa hiyo miradi kwa ufanisi. Katika kuona utekelezaji wa uendeshaji wa hiyo SGR unavyo kwenda kwa sasa, sina matumaini makubwa sana juu yake. Sioni tofauti yake na BRT, na miradi mingi mingine muhimu tuliyo wahi kuibuni hapa nchini na kuishia kuiharibu. Hadi hapo tutakapo toka katika hii hali ya ubovu wetu kiutendaji kila sehemu, hapo ndipo mambo yataanza kuonekana kuwa sawa.
Lakini najuwa, kutegemea ufanisi sehemu yoyote katika nchi yetu hii ni kama kujaribu kuunda chombo cha kwenda mwezini; uwezo ambao Tanzania kwa sasa hatuna.
Wewe Huwa unadhani una akili kushinda woote ,huu nao ni aina ya ugonjwa wa akili 😆😆Biashara ni ushindani uwezi kuwa defensive, hiyo ni ishara ya uzembe (kitu ambacho watanzania tumezoea).
Wafanyabiashara wanataka option rahisi kwao, kwa sababu nchi yetu ina geographical advantages aina maana tufanye biashara za nchi nyingine kuwa ngumu.
Magari yanayopita Tanzania kutoka nchi jirani bado yanalipia road fees, kwa hivyo bado kuna mapato.
Lakini Uwezi kuwa mzembe kutoa mizigo, utaki kujirekebisha; halafu uwaazibu wengine kisa una geographical.
Msingi wa capitalism ni kujifunza kila siku wa-Japan wanaita (KAIZAN) na hiyo nadharia ndio imekuza uchumi wao na kuboresha kila sector ya taifa lao.
Uwezi kuwapa watu wasio na maarifa sector za mipango halafu udhani utasogea mbele.
Kwetu sisi kila kitu rahisi tu na solution zetu ni nyepesi, lakini huo utaratibu wetu costly kwa majirani zetu.
Mijitu ukiisikia haina uwezo kabisa, halafu wanaongoza sector sensitive.
Wapi duniani umeona civil services au wizara inaita watu kujadili dira na kusikiliza michango ya kijinga.
Surely kwenye biashara na uchumi watu wanatumia data ku-analyse, use that information to do strategic planning na kupanga sera.
Ukiona mtu anaitisha mdahalo wa kujadili mipango ya serikali elewa ni ujinga mtupu hamna kitu kichwani na aelewi namna ya kuandaa strategy ya sera za biashara na uchumi.
Ndio ukweli wenyewe, hata kama amuupendi.
Siwezi nikamsikiliza poyoyo kama Mafuru ni financial or economists zaidi ya mpuuzi mwingine ambae unajiuliza kafika vipi pale; huyo Kitila ndio salaleh.
Hakuna njia ikezuikiwa,do it at your own risk , Serikali haiwezi fanya geofencing kwenye route ambayo haiwanufaishi.Bado ni ujinga kuzuia njia. Dunia ni kijiji. Hizi ndio sababu zinapelekea jumuia kuvunjika.
Mawazo ya KIMASKINI na Upeo MDOGONchi ya Kenya Kupitia Mgongo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC inafanya juhudi kubwa ya kuishinikiza na kuihujumu Tanzania Kwa kuwarubuninkina Rwanda,Burundi na DRC Ili kufungua njia Mpya ya usafiri wa barabara.
Ushoroba unaopigiwa chapuo na Kenya ni WA Central Corridor ambao unaanzia Barabara ya Kutoka Mombasa-Voi-Taveta/Holili-Arusha-Singida Hadi Bujumbura via Kahama kwamba itapunguza umbali wa Transit goods Kwa zaidi ya km 350 badala ya Ushoroba wa Northern Corridor wa kutoka Mombasa-Kampala-Kigali Hadi Rwanda/DRC.
Lengo la Kenya sio kuwasaidia wasafirishaji Bali ni kuua Bandari ya Dar na kupokonya Wateja wa Tanzania ambao ni Rwanda,Burundi na Kaskazini mwa DRC ambao wanatumia Njia ya kuanzia Bandari ya Dar-Moro-Dodoma-Singida-Kahama Hadi Nchi hizo.
Naomba Serikali isikubali Kufa ya jambo hili Kwa Kisingizio Cha mtengamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na kukuza biashara maana itapunguza zaidi ya robo ya mizigo Bandari ya Dar na kuifaidisha Mombasa.
View: https://twitter.com/The_EastAfrican/status/1817152138822246778?t=RN3quU6xyzkIhdhRJi3zmw&s=19
My Take: Kama Wakenya Wana hamu sana ya Kutumia njia hiyo ni Bora Serikali iwaeleze kwamba itafungua njia hiyo mara baada ya kukamilisha ujenzi wa njia zifuatazo:
1. Kupanua kina na kununua vifaa vya Kisasa Bandari ya Tanga.
2. Kujenga Barabara ya Kutoka Tanga-Handeni-Kibaya-Chemba-Singida
3. Kujenga SGR ya kutoka Tanga-Same-Arusha-Musoma
4. Kujenga na kuimarisha Bandari ya Musoma pamoja na kununua meli ya kubeba treni/behewa za mizigo.
Tukifanya hayo ndio Sasa tutaweza kushindana vizuri na Bandari ya Mombasa vinginevyo itakuwa ni kujitia dole mwenyewe na kupoteza pambano la Biashara ya logistics Kwa knockout.
@) Greenline ndio WaKenya wanapigia chapuo.
b) Blueline ndio njia proposed ya Serikali Kujenga.
View attachment 3054817
===========
Transporters accuse Tanzania of laxity in geofencing the Arusha-Singida road, which forms part of the Northern Corridor, but some observers blame it on the insidious competition for business between Mombasa and Dar es Salaam ports.
If the corridor increases efficiencies, importers and exporters in some parts of Tanzania, Burundi and DRC might prefer Mombasa to Dar es Salaam as their port of choice.
Transporters between Mombasa and Bujumbura are yet to fully utilise the Voi-Taveta/Holili-Arusha-Singida road network, part of the trunk road between the two cities, because Tanzania is yet to geofence the Arusha-Singida stretch.
A road is geofenced when it has inspection points, and cargo passing through it can be tracked electronically for taxation and to avoid dumping of goods.
Geofencing guards against theft and loss of cargo while in transit.
The highway, covering 1,545km, was completed in 2018, and is meant to reduce the transit distance from Mombasa to Bujumbura on the Northern Corridor by 358 kilometres.
“We are caught up between the regional ports scramble for business, and that is why we can’t ferry goods past the Taveta One-Stop Border Point, as, past there, the goods would not be tracked and would therefore be declared stolen,” explained Hamisi Juma, a Mombasa transporter.
The Citizen
Wewe mwenye mawazo ya kitajiri na upepo mkubwa kafungue hiyo routeMawazo ya KIMASKINI na Upeo MDOGO
Huu ushoroba wa Mombasa-Voi-Holili-Moshi-Arusha ni muhimu mno kwa uchumi wa Tanzania na Kanda ya Kaskazini ni vizuri ushoroba huu ukafunguliwa haraka sana.Nchi ya Kenya Kupitia Mgongo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC inafanya juhudi kubwa ya kuishinikiza na kuihujumu Tanzania Kwa kuwarubuninkina Rwanda,Burundi na DRC Ili kufungua njia Mpya ya usafiri wa barabara.
Ushoroba unaopigiwa chapuo na Kenya ni WA Central Corridor ambao unaanzia Barabara ya Kutoka Mombasa-Voi-Taveta/Holili-Arusha-Singida Hadi Bujumbura via Kahama kwamba itapunguza umbali wa Transit goods Kwa zaidi ya km 350 badala ya Ushoroba wa Northern Corridor wa kutoka Mombasa-Kampala-Kigali Hadi Rwanda/DRC.
Lengo la Kenya sio kuwasaidia wasafirishaji Bali ni kuua Bandari ya Dar na kupokonya Wateja wa Tanzania ambao ni Rwanda,Burundi na Kaskazini mwa DRC ambao wanatumia Njia ya kuanzia Bandari ya Dar-Moro-Dodoma-Singida-Kahama Hadi Nchi hizo.
Naomba Serikali isikubali Kufa ya jambo hili Kwa Kisingizio Cha mtengamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na kukuza biashara maana itapunguza zaidi ya robo ya mizigo Bandari ya Dar na kuifaidisha Mombasa.
View: https://twitter.com/The_EastAfrican/status/1817152138822246778?t=RN3quU6xyzkIhdhRJi3zmw&s=19
My Take: Kama Wakenya Wana hamu sana ya Kutumia njia hiyo ni Bora Serikali iwaeleze kwamba itafungua njia hiyo mara baada ya kukamilisha ujenzi wa njia zifuatazo:
1. Kupanua kina na kununua vifaa vya Kisasa Bandari ya Tanga.
2. Kujenga Barabara ya Kutoka Tanga-Handeni-Kibaya-Chemba-Singida
3. Kujenga SGR ya kutoka Tanga-Same-Arusha-Musoma
4. Kujenga na kuimarisha Bandari ya Musoma pamoja na kununua meli ya kubeba treni/behewa za mizigo.
Tukifanya hayo ndio Sasa tutaweza kushindana vizuri na Bandari ya Mombasa vinginevyo itakuwa ni kujitia dole mwenyewe na kupoteza pambano la Biashara ya logistics Kwa knockout.
@) Greenline ndio WaKenya wanapigia chapuo.
b) Blueline ndio njia proposed ya Serikali Kujenga.
View attachment 3054817
===========
Transporters accuse Tanzania of laxity in geofencing the Arusha-Singida road, which forms part of the Northern Corridor, but some observers blame it on the insidious competition for business between Mombasa and Dar es Salaam ports.
If the corridor increases efficiencies, importers and exporters in some parts of Tanzania, Burundi and DRC might prefer Mombasa to Dar es Salaam as their port of choice.
Transporters between Mombasa and Bujumbura are yet to fully utilise the Voi-Taveta/Holili-Arusha-Singida road network, part of the trunk road between the two cities, because Tanzania is yet to geofence the Arusha-Singida stretch.
A road is geofenced when it has inspection points, and cargo passing through it can be tracked electronically for taxation and to avoid dumping of goods.
Geofencing guards against theft and loss of cargo while in transit.
The highway, covering 1,545km, was completed in 2018, and is meant to reduce the transit distance from Mombasa to Bujumbura on the Northern Corridor by 358 kilometres.
“We are caught up between the regional ports scramble for business, and that is why we can’t ferry goods past the Taveta One-Stop Border Point, as, past there, the goods would not be tracked and would therefore be declared stolen,” explained Hamisi Juma, a Mombasa transporter.
The Citizen
Lakini sasa makubaliano ya ushirika yatalazimisha, ndiyo maana ya kelele hizo nyingi.Hakuna njia ikezuikiwa,do it at your own risk , Serikali haiwezi fanya geofencing kwenye route ambayo haiwanufaishi.
Ndugu strategic decisions ni data sio porojo.Tatizo lako wewe siku zote ni lilelile, kudhani kwamba hiyo fani (taaluma) uliyo nayo wewe ndio ufunguo wa matatizo yote yanayoikabili Tanzania!
Haya yote uliyo eleza hapa ni upuuzi. Katika kupanga mipango ya maendeleo ya nchi huwezi kujifungia ofisini na vidigrii vyako (sijui katika nini), halafu na kuwasilisha kuwa ndiyo ramani inayotakiwa kufuatwa.
Huu utakuwa ni zaidi ya ujinga.
Lakini ninakubaliana na wewe kuhusu hao ulio wataja hapo kwenye andiko lako; hata kama na wewe sioni kuwa na utofauti na wao.