Kenya yaiwakilisha vizuri EA, yashika namba 3 Afrika

Maeneo kama haya, Kenya haiwezi kukosekana katika nafasi tatu za juu. Ushindi ni ushindi, hongereni sana majirani kwa kutuwakilisha, mwakani mjitahidi zaidi japo mpande nafasi mbili Juu. Kenya hoyeeee.
Kama mnavyoshikilia nambari moja duniani katika ulaji wa albino
 
Niliona video ya polisi wa kenya wakimtandika mwanafunzi wa chuo Jana, Aisee inatisha.

The Star, Kenya: IG Mutyambai takes action after viral video of police brutality at JKUAT.
Na hatua kuchukuliwa mara moja! Hapa tunapiga kelele hadi mtu awajibike! Huu ushenzi hatuukubali karne hii!
 
Mngekuwa hamkubaliani angalau tungeona mkikemea hapa JF kama wenzenu wa twitter wanavyofanya,
Alafu hayo matukio huwa yanatokea sana kenya,
Polisi kupiga raia kenya ni kitu cha kawaida sana.
 
Ushenzi hamuukubali wakati Kenya inaongoza Afrika katika " police killings & Brutality", mngekuwa hamkubali hilo tatizo lingeshaisha zamani.
 
Ushenzi hamuukubali wakati Kenya inaongoza Afrika katika " police killings & Brutality", mngekuwa hamkubali hilo tatizo lingeshaisha zamani.
Kwenu Lissu liliishia wapi? Enyi nchi ya amani bila Police Brutality
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…