Kenya yajiandaa kuagiza maziwa lita milioni 200 kutoka kwa majirani, haya wenye akili changamkieni fursa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Uhitaji wa maziwa nchini umeongezeka kutokana na kuongezeka kwa viwanda na mambo mengine mengi kiasi kwamba pamoja na Kenya kuzalisha maziwa zaidi ya mataifa yote ukanda huu lakini hatujitoshelezi, sasa imetangazwa kwamba tutanunua lita milioni mia mbili kutoka kwa mataifa majirani, walio na akili wachangamkie fursa, lakini mivivu ya wivu wivu na chuki shauri yenu mtabaki na umaskini.
-----------------

Dar es Salaam. Tanzanian livestock keepers should prepare to exploit the Kenyan milk market after the industry regulator announced that the country is planning to import 200 million litres of the commodity from East Africa.
Xinhua news wire reported yesterday that the quantity is demanded only for this year and the East African countries will be targeted as main sources of imports.
https://www.thecitizen.co.tz/News/B...lk-from-EAC/1840414-5078838-3bgtfz/index.html
 
mtoa UZI punguza bias ...alivyokuja M7, UK na m7 walisaini mikataba kadhaa ya biashara pamoja na kuingiza mayai, maziwa na asali toka UG ajabu wakenya wali react sana wakaja juu mnoooooo wakionyesha CHUKI live.... ss kama iyo fursa imejitokeza msubirie magari ya watz yakileta maziwa moaka mta choka .....maana mfano mdogo tu pale SIA wilaya kuna miradi ya kuwasaidia vijana wamepiewa ng'ombe na wanakamua sanaaa maziwaaa pale nazani ss wata export sana maziwa kenya maana ni karibu hapo SIA na Kenya
 
Sijui kama hata mwenyewe umejua umeandika nini au kama umerudia kusoma ulichoandika au labda utakua hujajua habari inahusu nini, lakini kwa kifupi tunawakaribisha wote wenye maziwa wachangamkie fursa, japo kama serikali yao imekaa kichuki chuki watakatazwa kuyauza nje ya nchi.
 
ndugu mwenye huduma namba wajemeni una kichwa kigumu sanaaa
 
Tanga fresh hawapati maziwa yakutosha sasa tuache kuwauzia hao tuwauzie nyie?fugeni ng'ombe acheni kufuga majizi
 
Ndio nilichokua nakuambua kwenye uzi mwengine, sababu kuu za umaskini kwenu ni uzembe na chuki, maana kwa mfano hapa sisi pamoja na kainchi ketu kadogo na nusu yake kame tupu, tunazalisha maziwa kuwazidi nyie, sasa imetokea tunahitaji zaidi hivyo inatubidi tusake kutoka kwa majirani, sasa nyie mna nchi kubwa yenye rotuba kila mahali badala ya kutumia ubongo muwekeze kwenye ukulima na kuwa bread basket wa Afrika, mumekalia uzembe na kauli za chuki eti sijui mara Tanga freshi mara nini.

Umaskini utawatesa sana kwa muda mrefu huku mkiangalia raslimali na macho hamjui mufanye nini.
 
Wewe unataka maziwa au vilio? [emoji23][emoji23][emoji23]
Maziwa tunauzia kampuni za ndani kwanza hadi zishibe mtaletewa yalioongezewa thamani sio raw...mtanunua Tanga fresh,Nronga,Asas, Dar fresh kwenye super market...biashara yakuja kulangua haipo tena....
Mnajenga viwanda ng'ombe maziwa yatoke Tz?sasa mvivu ni nani ?
Fugeni ng'ombe
 
Jombaa, unataka kutuhadaa kwamba Tz mnazalisha maziwa mengi zaidi ya Kenya? Au kwamba viwanda vya kuprocess maziwa ni vingi Tz kuliko Kenya? Kumbuka kwamba wakenya wanatumia maziwa mengi zaidi ya watanzania. Nasikia mtz huwa anatumia maziwa kibahati mbaya wakati amekunywa sumu na hana hamu kabisa ya kuenda kwa baba.
 
Jombaa, unataka kutuhadaa kwamba Tz mnazalisha maziwa mengi zaidi ya Kenya? Au kwamba viwanda vya kuprocess maziwa ni vingi Tz kuliko Kenya? Kumbuka kwamba wakenya wana'consume' maziwa mengi zaidi ya watanzania. Nasikia mtz huwa anatumia maziwa kibahati mbaya wakati amekunywa sumu na hana hamu ya kuenda kwa baba.

Halafu hii desturi ya wao kutokupenda kunywa maziwa niliishangaa sana, siku zote nilikua najua ni Dar tu maana kule ni pwani, lakini niliikuta hata kule mikoani.
 
Endelea kusikia,juzi kati hapa Kiwanda cha Tanga fresh walikua wanatangaza masoko yaani wanapata maziwa machache ,kiwanda chao kina uwezo mkubwa zaidi. ..Lakini ni uongo mpate maziwa ghafi kutoka Tz ...Serikal hii haitaki kuuza vitu ghafi tena, mkishauziwa nyie mnayaongezea thaman alafu mtuuzie tena...iyo haiwezekan utawala huu...Nimewaambia fugeni ng'ombe naona hamuelewi ....Sio kwamba tunawaonea wivu hapana,hakuna haja ya kufanya hivyo hata huku kun viwanda vingi vya kuchakata maziwa

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Jombaa, unataka kutuhadaa kwamba Tz mnazalisha maziwa mengi zaidi ya Kenya? Au kwamba viwanda vya kuprocess maziwa ni vingi Tz kuliko Kenya? Kumbuka kwamba wakenya wanatumia maziwa mengi zaidi ya watanzania. Nasikia mtz huwa anatumia maziwa kibahati mbaya wakati amekunywa sumu na hana hamu kabisa ya kuenda kwa baba.
Hahahaha kunywa maziwa iko kwenye damu ni gene zetu hatunywi maziwa na sio peke yetu wapo wengi duniani hawatumii maziwa kwa maisha yao
Hebu jipe mda kidogo usome
Nyie mnakunywa sana maziwa lakini sisi mwili haulazimishwi
Hata China hawanywi maziwa hivyo na wasomali bila maziwa haishi haha
 
Uhitaji wa maziwa nchini umeongezeka kutokana na kuongezeka kwa viwanda na mambo mengine mengi kiasi kwamba pamoja na Kenya kuzalisha maziwa zaidi ya mataifa yote ukanda huu lakini hatujitoshelezi, sasa imetangazwa kwamba tutanunua lita milioni mia mbili kutoka kwa mataifa majirani, walio na akili wachangamkie fursa, lakini mivivu ya wivu wivu na chuki shauri yenu mtabaki na umaskini.
-----------------

Dar es Salaam. Tanzanian livestock keepers should prepare to exploit the Kenyan milk market after the industry regulator announced that the country is planning to import 200 million litres of the commodity from East Africa.
Xinhua news wire reported yesterday that the quantity is demanded only for this year and the East African countries will be targeted as main sources of imports.
https://www.thecitizen.co.tz/News/B...lk-from-EAC/1840414-5078838-3bgtfz/index.html

Kwani ukisema tu watu wachangamkie fursa bila kutumia maneno yenye kashfa hutaeleweka?
 
  • Thanks
Reactions: Oii
I doubt kama mtapata hayo maziwa ghafi toka tz,
Viwanda vya ndani vinastruggle kupata Maziwa halafu nyie myapate,
Kingine huwa sielewi kwanini Kenya Kunywa maziwa is a Big deal,
Why?? Sababu ya Calcium?
Mimi hapa nakula bia aisee, Habari za Maziwa huwa ni Nadra sana.
 
Halafu hii desturi ya wao kutokupenda kunywa maziwa niliishangaa sana, siku zote nilikua najua ni Dar tu maana kule ni pwani, lakini niliikuta hata kule mikoani.
WaTz labda utupe mtindi (yogurt) na hapo ni wa kula na ugali...

Ila tamaduni ya kunywa maziwa fresh ni kama hakuna na sio kutokana na kipato ila ni DESTURI kama ulivyosema... najua wajua kuwa kila soko lina tabia zake na hiyo ndo tabia ya Tz ... by the way karibu tule senene na hayo maziwa utanywea Kenya [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom