Kenya yajiandaa kuagiza maziwa lita milioni 200 kutoka kwa majirani, haya wenye akili changamkieni fursa

Kenya yajiandaa kuagiza maziwa lita milioni 200 kutoka kwa majirani, haya wenye akili changamkieni fursa

Hakuna kuuza unprocessed products, tutawaizia processed milk and milk products tu.
 
Tanga fresh hawapati maziwa yakutosha sasa tuache kuwauzia hao tuwauzie nyie?fugeni ng'ombe acheni kufuga majizi
Issue bei kwanini mfugaji asifaidi bei nzuri iwapo Kenya itanunua kwa bei kubwa zaidi?
 
Issue bei kwanini mfugaji asifaidi bei nzuri iwapo Kenya itanunua kwa bei kubwa zaidi?
Kaka usiwe na mawazo finyu kiasi hicho, tukiuza maziwa ndani ya nchi hata tukipata bei ndogo, tinapata faida nyingi
1) Tunatengeneza ajira kwa watoto wa hao hao wakulima
2) Serikali inapata kodi nyingi kutoka kiwandani na Kodi ya PAYEE toka kwa wafanyakazi wa viwanda vya maziwa
3)Maziwa tutayauza njee ya nchi kwa bei ya juu zaidi kuliko yangeuzwa unprocessed
4) Viwanda vitapata pesa nyingi kwa kuuza processed milk, hivyo kuwa na mtaji mkubwa wa kununua maziwa mengi zaidi na kwa bei ya juu ili kumfaidisha mkulima.
5) Maziwa toka viwanda vya ndani yanakua cheap kuliko yanayotoka nje ya nchi.
 
I doubt kama mtapata hayo maziwa ghafi toka tz,
Viwanda vya ndani vinastruggle kupata Maziwa halafu nyie myapate,
Kingine huwa sielewi kwanini Kenya Kunywa maziwa is a Big deal,
Why?? Sababu ya Calcium?
Mimi hapa nakula bia aisee, Habari za Maziwa huwa ni Nadra sana.
Hilo shirika halijasema kuwa wanataka maziwa ghafi, Pili hii ni njama ya Uhuru kuagiza Yale maziwa yake kutoka Uganda na Rwanda , maana 70% ya viwanda vya maziwa kule Uganda na Rwanda vipo chini ya brookside, processed milk imepandishwa bei ilhali maziwa ghafi kutoka Kwa wakulima hayajapanda pia ukizingatia bei ya maziwa ghafi hapa na kule Uganda na Rwanda nitofauti sasa amepandisha maziwa na kufua mlango Kwa viwanda vyake vya kule Uganda na Rwanda vije vituibie,#resistbrookside #resisthandshake ,nitakunywa crown milk hadi kiyama.
 
WaTz labda utupe mtindi (yogurt) na hapo ni wa kula na ugali...

Ila tamaduni ya kunywa maziwa fresh ni kama hakuna na sio kutokana na kipato ila ni DESTURI kama ulivyosema... najua wajua kuwa kila soko lina tabia zake na hiyo ndo tabia ya Tz ... by the way karibu tule senene na hayo maziwa utanywea Kenya [emoji4][emoji4][emoji4]
Senene zipo? Nitumie kama parcel.
 
Kaka usiwe na mawazo finyu kiasi hicho, tukiuza maziwa ndani ya nchi hata tukipata bei ndogo, tinapata faida nyingi
1) Tunatengeneza ajira kwa watoto wa hao hao wakulima
2) Serikali inapata kodi nyingi kutoka kiwandani na Kodi ya PAYEE toka kwa wafanyakazi wa viwanda vya maziwa
3)Maziwa tutayauza njee ya nchi kwa bei ya juu zaidi kuliko yangeuzwa unprocessed
4) Viwanda vitapata pesa nyingi kwa kuuza processed milk, hivyo kuwa na mtaji mkubwa wa kununua maziwa mengi zaidi na kwa bei ya juu ili kumfaidisha mkulima.
5) Maziwa toka viwanda vya ndani yanakua cheap kuliko yanayotoka nje ya nchi.
Cry the beloved country, wakulima watatubeba hadi lini?
 
Bei ndio itazungumza,
Hakuna mjinga atakata pesa juu ya uzalendo
 
Cry the beloved country, wakulima watatubeba hadi lini?
Kama umesoma vizuri utagundua kwamba kila mtu anasaidia mwengine, mkulima anauzia viwanda maziwa kwa bei nafuu, na viwanda vinatengeza ajira kwa watoto wa wakulima.
 
Sasa tutengeneze powdered milk na tuwarudishie na bei ya juu. Deal
 
Ni sababu ya njaa na ukame ng'ombe wa kenya wamegoma kutoa maziwa
Lazima demand itakua kubwa,hence ni lazima kununua kwa jirani
 
Back
Top Bottom