Kenya yajiondoa kwenye mpango wa kuunganisha masoko ya hisa ya Afrika Mashariki

Ila katika hili la reli, Kagame wala Tanzania hazina lawama kwa Rwanda kuamua kuchagua Tanzania, Kagame alikuwa tayari kuunga ya Northen corridor, ila Uganda ilisema kwa sasa kipaumbele chake ni Kampala Juba, sio Kampala Kigali, kwahiyo Rwanda ikabaki na chaguo moja tu.

Kama ambavyo kwa sasa Uganda inaisubiri Kenya kuthibitisha kama itafikisha reli hadi Malaba, Kenya isipofikisha hadi Malabaa ikiamua kuishia Kisumu, Uganda itakuwa haina sababu ya kujenga kipande cha Kampala Malaba, kama bado Uganda itakuwa inahitaji reli ingine zaidi ya RVR iliyopo sasa, basi itabidi wajenge kipande cha Kampal Rwanda, ili kuunganisha na Central corridor.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…