Kenya yajiondoa kwenye mpango wa kuunganisha masoko ya hisa ya Afrika Mashariki

Kenya yajiondoa kwenye mpango wa kuunganisha masoko ya hisa ya Afrika Mashariki

Hapana jamii ya intellijensia haihusiki kwenye maswala ya kisiasa tu kama tunavyofaham.
Kazi yao tofauti na kuhusishwa na political espionage, ni kukusanya information tena a lot of information na kuwashauri policy makers kwa module IPI nzuri ya kufuata
Ila katika hili la reli, Kagame wala Tanzania hazina lawama kwa Rwanda kuamua kuchagua Tanzania, Kagame alikuwa tayari kuunga ya Northen corridor, ila Uganda ilisema kwa sasa kipaumbele chake ni Kampala Juba, sio Kampala Kigali, kwahiyo Rwanda ikabaki na chaguo moja tu.

Kama ambavyo kwa sasa Uganda inaisubiri Kenya kuthibitisha kama itafikisha reli hadi Malaba, Kenya isipofikisha hadi Malabaa ikiamua kuishia Kisumu, Uganda itakuwa haina sababu ya kujenga kipande cha Kampala Malaba, kama bado Uganda itakuwa inahitaji reli ingine zaidi ya RVR iliyopo sasa, basi itabidi wajenge kipande cha Kampal Rwanda, ili kuunganisha na Central corridor.
 
Back
Top Bottom