Ile sio marathon ya wanariadha pekee, ile kuna kuanzia 5 km I guess, sijui 1 ile, hadi hizo za athletics, ashinde athlete au common man, atatuzwa, wapo wanaotembea tu, sababu moshi pazuri, hizo routes wanapita kuko poa kutalii, fine house, roads, environment, weather.
Kwa wale mnapenda chini, bitches from all over Tz hufika moshi, na huenda marathon, na nguo zao za mitego, wao huprefer kutembea tu, na kukimbia mara moja moja wakitingisha inye zao, u know, ni kama ka festival flani hivi, sasa unaweza jikuta mbele wapo bibi, nyuma ako bibi, unafanya kuamua tu utembee na wepi, usiku ukawale, wako weusi, wazungu.
Kunakuwaga na music festivals kuanzia mchana hadi usiku.
Wakenya kibao wanaelewa what really happens, hawakosi mzee, au unataka ni kuprove siku enyewe ikifika