pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Alafu utamsikia Jiwe akiomba msaada wa madawati kutoka S. Africa. Jombaa hiyo ndio taswira ya 'priorities' za CCM. Ukichambua mgao wa sekta zingine nyeti kama afya na usalama kwenye bajeti yao ya 2019/2020, ukilinganisha na Kenya, ndio utajua kwamba Tz ni kichwa cha mwendawazimu.Yaani budget mzima ya education ldc ni $630mln na Kenya ni $4.7bn[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tuusan njoo hapa