Kenya yakusanya kodi mara mbili ya Tanzania - pesa yetu ya ndan

yeah while kenya has a smaller population
 
Kama atulipi kodi ujue hiyo hela tunaitumia huku majumbani kujenga uchumi wa MTU mmoja mmoja uenda nyinyi Kwa kulipa kodi hela nyingi inaingia serikalini ila mnabaki kwenye makazi duni ya slum
 
Ukicheki jiji la Lagos wanavyo lisifia kumbe hakuna chochote kila nikitazama youtube nashindwa kuanini kuwa ndiyo Lagos naendelea kutafuta picha zaidi labda nitapata picha ya lagos yenyewe lakini ola!!! Nikajifunza kumbe Dar bonge la mji kinyume na ss wenyewe tunavyo udharau
 
Hahhaha,, katika majiji mazuri na yanayovutia Africa Dar ipo namba 3 huku Nairobi ikitupwa hadi namba 7 [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama atulipi kodi ujue hiyo hela tunaitumia huku majumbani kujenga uchumi wa MTU mmoja mmoja uenda nyinyi Kwa kulipa kodi hela nyingi inaingia serikalini ila mnabaki kwenye makazi duni ya slum

Moja, ni kwamba uchumi wenu mdogo hivyo hata wigo la kodi na walipa kodi bado ndogo sana, Tanzania yote muungano wa mataifa mawili uchumi wake wote unatoshana na Nairobi pekee yake, sasa hapo kwa kweli ligi yenu bado sana.
 
Uongo wewe Chamoto that's a fool's errand.Tatizo la kukula tu ni kujipata unategemea misaada ya wageni kila wakati -sisi Kenya we learn how to fish efficiently sio kama nyie .
Mnashindwa hata kukarabati MGR wenyewe hiyo kodi inawasaidia nini?
 
Reactions: Oii
Hehehe Lagos ni jina tu. Tukotoa their residential department hata Dar inaichapa tu.
 
I have never seen a president muongo Kama Magufuli. Sasa anadanganya watanzania ati terminal 3 imejengwa kutumia pesa za ndani wakati tunajua si sote hati pesa ni grant from Netherlands.

 
Safi sana majirani, lakini tunataka kuona makusanyo hayo yanawanufaisha wanainchi wote wa kenya kutia ndani wa kibera na turkana.
 
Pengo kubwa baina ya wenye nacho na wasio nacho lipo kenya kwa kuwa pesa inayokusanywa inaliwa juu kwa juu na matapeli, huku wananchi wengi wakiwa kwenye lindi la umasikini.
 
Ukiwaambia ukweli wanakuja na statistics uchwara [emoji23][emoji23][emoji23]
Pengo kubwa baina ya wenye nacho na wasio nacho lipo kenya kwa kuwa pesa inayokusanywa inaliwa juu kwa juu na matapeli huku wananchi wengi wakiwa kwenye lindi la umasikini.
 
I have never seen a president muongo Kama Magufuli. Sasa anadanganya watanzania ati terminal 3 imejengwa kutumia pesa za ndani wakati tunajua si sote hati pesa ni grant from Netherlands.
Uongo uko wapi wakati tumegharamia 15% ya mradi na 85% ni mkopo kutoka kwa nchi mkandarasi na hii ni kwasababu ya masharti ya mkataba?

Tangu lini mkopo ukawa msaada?
 
Tunanunua mahindi yenu kwa pesa yetu ya ndani....mlime tule sisi.
lipeni Madeni ya China,
huu kila siku tunawaona mipakani Last Holili na Namanga mnakimbiza viroba vya mahindi wakati mnadai mnanunua kihalali.
Hebu wapelekeeni wenye njaa huko Karamoja, hamuwezi tuwasaidieni km Msumbiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…